Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,929
- 9,467
Mimi nimeshindwa kabisa kumuelewa
Kwema Bro
Ni kasagaji hako kabinti,,kwema bro..majambo yanaenda vp huko??
Hiii ni nani kaonaaaa?
Dunia sio mbaya,binadamu ndio wabaya,,huku freshi pia!!Pande hizi Fresh, Bro dunia inamachaguo mengi kweli aisee
Eeeh hii ni nani kaonaHiii ni nani kaonaaaa?
Likely anaangalia pono huyo tena za majimama. Ona hapo kwenye miwani. Jimama la kufa mtu dadeki
Na kwa mavazi na mwonekano huo likely kenyewe ndo kanasaga...Nasikia kasagaji aisee