Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amesema kuna mzozo wa wazi kati ya taifa lake na taifa jirani na Rwanda katika kinachoonekana kuwa kudorora zaidi kwa uhusiano baina ya mataifa hayo mawili.
Rwanda na Burundi zimekuwa na uhasama kwa muda sasa, Burundi ikiituhumu Rwanda kwa kuhusika katika jaribio la kupindua serikali mwaka 2015 ambalo lilifeli.
Burundi hudai kwamba Rwanda iliwafadhili waliohusika na kwamba inatoa hifadhi kwao. Rwanda mara kwa mara imekuwa ikikanusha tuhuma hizo.
Rais Nkurunziza amemwandikia barua mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Yoweri Museveni ambaye ni rais wa Uganda akisema Rwanda sasa si mshirika tena ndani ya jumuiya bali ni kama adui.
 
Rwanda ndiyo nchi pekee katika kanda hii ambayo ndiyo moja wa wahusika wakuu katika kuvuruga uthabiti wa taifa langu na kwa hivyo siichukulii kama taifa mshirika, lakini kama adui ya nchi yangu," barua hiyo, ambayo inaonesha ilitiwa saini na Bw Nkurunziza tarehe 4 Desemba, imesema.
Kiongozi huyo anataka kufanyike mkutano maalum wa EAC wa kujadili mzozo huo kati ya Rwanda na Burundi.
 
Viongozi wa mataifa ya jumuiya hiyo ambayo kwa sasa inajumuisha Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya, Tanzania na Sudan Kusini wamepangiwa kukutana tena 27 Desemba.
Hii ni baada ya mkutano wao wa karibuni zaidi kukosa kuendelea jijini Arusha kutokana na kutokuwepo kwa ujumbe kutoka Burundi.
 
Burundi inasisitiza kwamba Rwanda ndiyo chanzo kikuu cha machafuko yaliyotokea Burundi tangu Aprili 2015, na kwamba mzozo huo ulianza mapema mwaka 2010 baadhi ya makundi ya upinzani yalipoanza kusema kwamba hakungekuwa na uchaguzi 2015.
Burundi inadai kwamba Rwanda imekuwa ikihusisha katika visa vya utovu wa amani Rwanda, ikishirikiana na mkoloni wa zamani Ubelgiji.
"Rwanda ilikataa kushirikiana na kundi la pamoja la kutathmini hali halisi lakini Burundi ilishirikiana kikamilifu, na huu ni ushahidi tosha kwamba taifa hilo halijawahi kutaka ukweli ufahamuke kwa sababu ya uchokozi wake dhidi ya Burundi.
"Ni wazi kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki haifai kufumbia macho mateso haya yanayowakuta wana wa Burundi."
 
Burundi imesema kamwe haitakubali pendekezo la jumuiya ya kimataifa la kuruhusu vikosi kutoka nje kudumisha amani Burundi na kutolewa kwa msamaha kwa wanaodaiwa kuhusika katika jaribio la mapinduzi ya serikali ya mwaka 2015 kama masharti kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa mwaka 2020.
Barua hiyo inasema kukubaliwa kwa mapendekezo hayo kutakuwa ni ukiukaji wa sheria za Burundi.
"Wahusika katika mapinduzi ya serikali kote huwajibishwa na kushtakiwa katika mahakama na majopo ya mahakama, kwa nini basi hawa wa Burundi iwe tofauti kwao?," barua hiyo inasema.
 
Nasikitika, Mheshimiwa Rais (Bw Museveni) kukufahamisha kwamba kamwe sitaketi meza moja na wahusika wa mapinduzi…ninapendekeza kuandaliwa kwa kikao maalum cha viongozi wa mataifa ambacho ajenda yake itakuwa kutatua suala la mzozo wa wazi kati ya Burundi na Rwanda," amesema Bw Nkurunziza kwenye barua hiyo.
 
1. Turn off the boiling kettle.

75b2d9b8eac798f833ac6a42c3d0959332a4c98c.webp

If you've chosen the kettle, it can mean that you're a passionate and rather quick-tempered person. You make decisions quickly without doubts, and nothing will stop you from achieving your goal.
You can quickly get bored with monotony. You care about your safety and don't like surprises. It's easier for you to follow a clearly defined plan without unexpected twists and turns.
 
Kulitokea jaribio la mapinduzi mwezi Mei lakini baadaye Julai akachaguliwa tena.
Inakadiriwa kwamba watu zaidi ya elfu moja wameuawa tangu wakati huo.
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) ilitangaza kwamba inafanya uchunguzi kuhusu mauaji hayo.
Lazima wanachama wote wawepo
 
Mnamo 30 Novemba, Rais Magufuli, Rais Museveni na Rais Kenyatta walipokuwa wamekwenda kwa Mkutano wa 20 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), hawakuweza kuendelea na kikao.
Rais Museveni ambaye ni Mwenyekiti alisema mkutano huo uliahirishwa hadi tarehe 27 Desemba, 2018 kutokana na mmoja wa wanachama wa jumuiya hiyo ambaye ni nchi ya Burundi kutohudhuria, ilihali mkataba wa jumuiya hiyo unataka maamuzi yafanywe na wanachama wote kwa pamoja.
 
Tuliamua kuahirisha mkutano kwa leo kwa sababu mmoja wetu ambaye ni Burundi hakuja, tumeahirisha mkutano mpaka tarehe 27 Desemba, 2018 wakati sisi wote tutakapokuwepo, kwa sababu mkataba wa Afrika Mashariki unasema mambo mawili, moja lazima tuwe na mkutano mmoja wa kawaida kila mwaka na ndio huu wa leo.
"Lakini vile vile uamuzi wowote utakaofanyika lazima wanachama wote wawepo, kwa hiyo kama mmoja hayupo sio vizuri kuendelea, inakuwa inakwenda kinyume na mkataba" alisema Rais Museveni.
 
3. Calm the crying baby.

167b2971fab2479733a565393066504240f4813d.webp

If you would first try to calm the child, you're a calm and resourceful person. You like helping other people and are ready to sacrifice yourself for the benefit of others. You're a family person and appreciate human relations.
You're afraid of loneliness and it's important that someone is always near you. For you, a quiet cozy evening with the family is more appealing than a noisy party at a bar.
 
Imeripotiwa kuwa kocha wa Spurs Mauricio Pochettino ndie anayepigiwa chapuo na Viongozi wa wa Club ya Man United kurithi mikoba ya Mreno Jose Mourinho mwishoni mwa msimu huu, inaelezwa Mabosi wa United wanataka kuachana na Mourinho mwishoni wa msimu huu
Habari Njema.
Mourinho ni bonge la kocha tatizo lake hana nidhamu mbele ya wachezaji wake
 
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amesema kuna mzozo wa wazi kati ya taifa lake na taifa jirani na Rwanda katika kinachoonekana kuwa kudorora zaidi kwa uhusiano baina ya mataifa hayo mawili.
Rwanda na Burundi zimekuwa na uhasama kwa muda sasa, Burundi ikiituhumu Rwanda kwa kuhusika katika jaribio la kupindua serikali mwaka 2015 ambalo lilifeli.
Burundi hudai kwamba Rwanda iliwafadhili waliohusika na kwamba inatoa hifadhi kwao. Rwanda mara kwa mara imekuwa ikikanusha tuhuma hizo.
Rais Nkurunziza amemwandikia barua mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Yoweri Museveni ambaye ni rais wa Uganda akisema Rwanda sasa si mshirika tena ndani ya jumuiya bali ni kama adui.
Rwanda ni lazima iangaliwe kwa jicho la tatu ndani ya jumuiya hii
 
Back
Top Bottom