Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

d44c578eed8007f01a26a9fda4546f76.jpg
 
Navy seal muziki huu wa kuviziana hawauwezi. Afghanistan na Iraq mpaka leo wanauliwa tu.

Hii inahitaji sana msaada wa jamii kwa sababu hawa watu wanajulikana ila watu wanaogopa ku-snitch. Unaweka moles kila mahali halafu ukimpata mmoja unamhoji "vizuri" anawataja wengine. Moles unawa-uproot na kuwapeleka kwingine mpaka mambo yakipoa. Siyo maguvu hapa bali intelligence zaidi...
Well said
 
Back
Top Bottom