Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu nilikuwa nakutafuta tangia mchana ili nikufikishie hizi salamu zako
6cbd6f96610b42078de023acaa99fe01.jpg
Mbona ka photoshop hivimsinipige mawe
 
Hapo sawa nimekuelewaila inaelekea bob alikutingisha
Bob aliingia kama mchungaji aliyeokoka. Baadaye akageuka akaanza kusema anahitaji milonge. Gia ya mwisho akawa singo faza anayelea kabinti ka miaka mitatu kaitwako Viv. Basi Jakitoo hoi mpaka akajitolea kupeleka mapera. Hata alipoambiwa kuwa kaViv hakali mapera akasema atapeleka biskuti na milonge. Hapo ndo nikajua kuwa nimepigwa shemeji
 
Back
Top Bottom