Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

Binafsi ninaomba Mwenye connection na kazi za research au projects anisaidie. Kazi niliyonayo ni uncertain KWA 100%
Mlioko vyuoni tafadhali sana naomba msaada.
Pia connection ya kufundisha chuoni research methodology na development studies ninaomba anisaidie.
Mkoa wowote nipo tayari.
Niko zaidi ya serious.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
International rescue committee walitangaza kazi ya research ungeomba
 
Habari mimi pia natafuta ajira. Nina diploma ya UTUNZAJI WA KUMBUKUMBU NA NYARAKA. (RECORDS AND ARCHIVES MANAGEMENT). Napatikana Dar es salaam pia sio lazima iwe utunzaji wa kumbukumbu nachoomba ni kazi yoyote ambayo ni halali. Asanteni
 
Natafuta kazi Mimi ni chef napatikana Arusha pia catering nafanya mwenye connection anisaidie
 
Habari wadau natafuta connection ya ajira.

Jinsia. Kiume

Elimu: Bachelor degree of Science in Accounting and Finance

Uzoefu: Zaidi ya miaka miwili katika
  • Kufile Return za Kodi (VAT, SDL, PAYEE)
  • Kuandaa Mahesabu (Financial statements)
  • Bank reconciliation
  • Maintaining Petty Cash Account
  • Payroll preparation
  • Other accounting duties and general office operations

Napatikana DSM na nipo tiari kwa kazi nje ya DSM.
Nipo tiari kujifunza kwa wengine na kufanya kazi kama team, pia ni muaminifu na hofu ya Mungu

Mawasiliano: 0623887495
 
Namba mbona hujaweka
 
Naombeni connection ya kupata sugar mamy jamani anilee , ninapatikana dar nina umri wa miaka 25 , nguvu za kiume ninazo , serious mwenye connection aniunganishe , sina mpango na vischana kwa sasa

Kama una connection njoo PM
 
Binafsi ninaomba Mwenye connection na kazi za research au projects anisaidie. Kazi niliyonayo ni uncertain KWA 100%
Mlioko vyuoni tafadhali sana naomba msaada.
Pia connection ya kufundisha chuoni research methodology na development studies ninaomba anisaidie.
Mkoa wowote nipo tayari.
Niko zaidi ya serious.

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Kama hujapata kazi tuwasiliane nina kazi ya kufanya research na kuandika proposal ya afya mkoan
 
Dhamira ni kwamba kama unapofanyia kazi kuna nafasi hapo wastue wenzako kupitia uzi huu ndo maana ya connection
Kipaza sauti cha nini wakati unaweza kumnongoneza akasikia.Ajira za sasa ndivyo zilivyo
 
Kama kichwa cha habari kinavyo someka
ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za kazi .

Katika kuzunguka kwangu kote kutafuta kibarua/kazi nimebaini kuwa bila kujuana na mtu ni vigumu kupata kibarua/kazi .

bila connection ni ngumu kupata kazi hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za kazi

Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbal mwisho wa siku kupeana connection za kazi kutokana na ombi la muhusika.

Tupo watu mbalimbali jamii forum tukitafuta kazi/kibarua lakini kutokana na kutokuwa na connection tunakosa Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwetu.

Elezea unahitaji connection ipi katika kazi kisha subiri kupewa connection na wadau mbali mbali katika kai/ajra Na tenda

Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo Kwa taifa.
Nimesikia watu wakisema eti hii bongo bila Connection hata ndoa inakuwa ngumu.
 
Natafuta connection ya UDEREVA wa magari madogo/Makubwa.

Viambatanishi vyote vya kitaaluma na vinginevyo ninavyo.

Napatikana Dodoma.

Kwa yeyote mwenye mazingira ya connection tafadhali tuwasiliane kwa namba hii +255(0) 654 486 097.
 
Mi naomba connection ya kaz yyte nmeishia form four. Nina lesen ya udereva na nna ujuzi wa kutumia computer.
 
Natafuta kazi
Jinsia mwanaume
umri:miaka ishirini na mitano(25)
elimu shahada ya teknolojia mawasiliano na kopyuta(bachelor degree in information technology)
Napatikana dar es salaam
Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote
#pia kazi yoyote inayoendana na kozi yangu nafanya au itakayonihitaji kupata mafunzo na maelekezo kwa muda naweza fanya.
Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom