"Na hizi school bus TUMECHAGULIWA na shule"Nitaijadili Shree Hindu Mandal Nursery School iliyopo Upanga Dar es salaam. Naikubali kwamba ni shule nzuri na wana system nzuri kuanzia elimu yake, na napenda sana wanavyowajali wanafunzi na kuwalinda.
Watoto wanareport 7.30 a.m na wanaondoka shule 12.00 pm. Wakiwa shuleni kila darasa lina waalimu wawili na caretaker mmoja. Hawa waalimu mmoja ni Mswahili (African) mwingine ni Muhindi.
Caretaker ni binti ambae kazi yake ni kama househelp wa nyumbani. Kuwaangalia watoto. Kuwasindikiza washroom, kuwanawisha mikono na sabuni akitoka washroom na wakati wa kula snacks wanazobeba kutoka nyumbani saa nje asubuhi. Wakimaliza anawasafisha pia. Na kuwasindikiza kwenda kupanda school bus ikifika saa sita.
Wakati wa swimming classes, wanafunzi wana swimming instructor ambae anashirikiana na caretaker wa darasani kuwabadilisha watoto nguo na wana pre shower kabla ya kuingia swimming pool na baadae kuwabadili nguo.
Wakati wa kuondoka shule mtoto huwa anakabidhiwa only kwa mzazi ama mlezi ambae wana picha yake ama kwa school bus na hizi school bus tumechaguliwa na shule so wanawafahamu vizuri. Watoto wanaletwa mpaka nyumbani na kukabidhiwa kwa mzazi ama mlezi anaefahamika.etc etc
Mtoto akienda na alama yeyote shule mzazi inabidi ujieleze mtoto kaumiaje na alama kaipataje. If its violence my friend you will get it.😀😀
Kiukweli sina complaints whatsoever kuhusu Shree Hindu Mandal Nursery School Upanga. Bravo.
Sorry, nilichomaanisha ni kwamba haya magari ya shule wamiliki na madereva wao wanajulikana na shule.
Sijui kama hapo mpana ufasaha nakaribisha kusahihishwa.
Kuna nchi nyingi kiingereza siyo lugha ya kufundishia.mimi bado nalia,lugha ya kiingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia vidudu mpaka chuoni,
kisha,Serikali ijenge state nursery schools,sasa hivi nursery nyingi ni private na kwa watu wachache wanaoafford hizo fees...serikali inaweza kutoa cheap nursery kila m toto apate better start..
Njoo PM ukomenti mi nitakuwakilisha.Wale tusiotajwa hapa tuna comment wapi?
Kuna nchi nyingi kiingereza siyo lugha ya kufundishia.
Hakuna nchi ambayo inaendelea kiuchumi halafu hapohapo inazikataa tamaduni zake, HAKUNA.
Tamaduni inatia ndani lugha.
Kama leo tukishakataa kiswahili kesho kutwa tutakataa nini?
Wachina, Wajapan, Wadenish n.k hakuna aliyeikataa lugha yake na kumfundisha mtoto kwa lugha ngeni. Leo hii ukiomba scholarship China cha Kwanza wanataka ujifunze kichina ndiyo udahiliwe.
Very true.mimi bado nalia,lugha ya kiingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia vidudu mpaka chuoni,
kisha,Serikali ijenge state nursery schools,sasa hivi nursery nyingi ni private na kwa watu wachache wanaoafford hizo fees...serikali inaweza kutoa cheap nursery kila m toto apate better start..
mnhhh.hata hizo nchi nyingi sasa hivi wanatafuta walimu wa English,
watoto wakifundishwa kwa kingereza madarasa yote,nursery,primary,secondary na chuoni sidhani kama itakua tatizo…..
kisha kwenye ajira mtu kama kasomea vitu kwa Kiswahili,inam limit huyu mtu afanye kazi katika nchi zinazoongea Kiswahili tu...au makampuni ya Kiswahili tu...ila kwa Kingereza inapanua wigo,unaweza uka explore hata kazi nje ya nchi...as English ni standard language...
Mambo ya culture yaache Adrian,hata tufundishwe ki china,kiswahili hakiwezi kufutika...
Ni kweli ila walimu wanatafutwa ili watu wafundishwe kukijua kiingereza kama lugha na siyo sehemu yao ya maisha.
Kama ujuzi wa mtu una soko lugha siyo kikwazo hata kidogo.
Acha hizo. Kuwa huru ku comment kwa kusifia ama kukosa shule yeyote ile ambayo ina experience nayoSisi wengine ambao hatujatajwa na mleta Uzi......tunachangia wapi?.
Sent using Jamii Forums mobile app