AVO28
Senior Member
- Jan 4, 2018
- 140
- 240
AVO28
Kwanza heshina ziende kwa bloggers wote wakubwa kwa wadogo ndani forum hii, nimekua nikisoma mada na comments na zimekua zikinifunza vitu vingi tu,
Historia yangu katika blogging ni ndefu kidogo na nimeshapitia kila aina ya shida ambayo mabloggers wadogo wanapitia, na nimeona na kujifunza mengi kwakweli,
Leo 5/1/2018 siku ya tano kati ya siku 365 za mwaka huu nimeamua kuanza safari hii ya kutengeneza pesa kupitia blog, na lengo langu ni kutengeneza $100 ndani ya miezi mitatu kuanzia sasa.
Nimeamua kuweka kiwango hicho cha $100 japo ni kidogo ili ku inspire na wengine watakao amua kwenda na mimi sambasamba kwenye safari hii wasikate tamaa.
NOTE: Safari ya blogging ni ngumu na ina changamoto Kibao, Ndio maana nikaamua kuanzisha uzi huu ili twende sambamba na bloggers wachanga kwenye shida na raha, Kila challenge ntakayokutana nayo nitaiweka hapa ili wakongwe watusaidie, na pia kila mafanikio ntakayopata yawe kwa wote watakao amua kwenda na mimi:
Nitatumia Adsense kama njia ya kutengeneza pesa hyo.
VITENDEA KAZI NILIVYONAVYO MPAKA SASA
Wakati nikisubiri account hizo ziwe tayar, kazi ntakayofanya kwa siku hizi 5 ni kuset my blogg vizuri na kutafta template nzuri na simple na responsive na iwe rafiki wa adsense,
Kuhusu articles ntakazo kuwa na weka kwenye blogg yangu, nimepanga kupost article zozote ntakazoona zinaendana na sehemu ntapokua na share articles hizo huko facebook, kwakua ntakua nikishare kwenye groups za south africa bas ntakua nikizistudy hzo group na kuona topic gan itapata views then ndio ntaenda kutafta articles ya kuweka kwenye blog,
Mi sio muandishi wa articles lakini nimepanga kutafta articles kwenye site mbali mbali ambazo hazitumii adsense na ambazo sio maarufu sana kisha nta edit kidogo ndio niweke kwenye blog yangu "Wakongwe mtanisaidia hapa kama ntakua na kosea kutumia njia hii kupata articles"
Blog itakapokua tayari na articles kadhaa ntaweka screenshot ili muione:
wish me goodluck guys,
Ntakua nikitoa update kila siku juu ya wapi nilipofikia
UPDATES 10/1/2018
Wakuu mtanisamehe kidogo kwa kua kimya lakini kimya hiki kina maana, kama mwanzo nilivyosema blogging ina challenge kibao, kuanzia tarehe 5 nilipoleta uzi huu mpaka leo tayari nimeshakutana na machellenge yakufa mtu ambayo yanakatisha tamaa kwakweli, japo pia mafanikio yapo kwa mbali,
Challenge niliyokutana nayo kubwa ni ya Kufungiwa account zangu 6 za facebook (naambiwa ni verify) na pia Link zangu kua marked as a spam huko huko facebook wakongwe nitaomba maoni yenu kwenye hili
Najua nilisema sitaanza kushare mpaka nipate account za kushare 20, lakini mtu ambae alikua akipa hizo account na yeye kwa bahati mbaya nikakuta account old zile hana alibakiwa nazo 10 tu hivyo akanipatia hizo hizo, nikasema kwakua nimepata chache tofauti na lengo wacha nijaribu kitu nione,
nikaanza kujoin zile group za wa south africa ambazo nilikua nazo kama 20 hivi kwa kuanzia Thanks kwa hii post Bloggers wenzangu nahitaji msaada wenu kuna member altupa baadhi ya groups za south afrika hivyo nikajoin hizo pamoja na zangu nnazozijua zikafika kama 40 (sikujiunga zote kwa siku moja, siku ya kwanza nilijoin 20 na siku ya pili 20) lakini nikakutana na challenge hapa pia kwamba group nyingi mpaka sasa sijawa accepted, nikama 10 tu ndio zimeshanikubalia kua member,
Yote kwa yote, kuna rafki yangu ni blogger na anafanya blogg ya udaku tu na anapiga pesa nzuri tu kwa traffic ya ndan tz, nikasema kabla ruka kwenye traffic ya south ebu nijaribu kama anavyofanya jamaa nione kama nitaambulia kitu,
Basi nikaset blog yangu fresh nikaweka na post kama 15 kwa kuanzia kisha nika weka na codes za adsense, na nikaanza kazi, ilikua juzi yani tarehe 7, nikaanza kazi saa 6 mcahana, nilichelewa kwasababu ya kuset mambo,
Nikapost post mbili tu kwenye page yangu ya facebook, kisha kwa kutumia account hyo hyo moja ya facebook nika share kwenye magroup mawili tu ya udaku hapa bongo, yani nikashare tu post 2 kwa pamoja kwenye group kisha nikasema ngoja niache nione mpaka saa 6 usiku ntaambulia nini, Duh, nikapiga dola zangu 2
Najua ni pesa ndogo lakini nikapata moyo kwamba kama post 2 tu nikashare mara moja moja kwenye group 2 na nikaambulia $2 vipi nikishare post 20 kwa siku na nikashare kwenye group 20 nitapata nini?
Naam hapo ndo nahisi mchawi alipoingia kwani jana na leo nilipotest kama kawaida kuweka post za blog kwenye page kisha kutumia kila account yangu (nnazo 10) kushare post 7 zilizopo kwenye page kwenda kwenye groups ndipo nikapoteza account zangu 6 na sasa nimebaki na 4 na Domain zangu 2 za blog zangu tayari facebook wanasema ni spam na nikijaribu kuwaambia sio spam lakini bado wanamark as a spam
Wakongwe tunaomba msaada hapo kwenye Links kua marked as aspam na pia kuhusu na post nazo kua marked as a spam, ntashkuru sana nikijua wapi nakosea ili nirekebishe fasta
Ni hayo tu kwa leo.

- Adsense account
- Blog + TLD
- Facebook accounts (4) (Nimepanga kua na jumla ya account 50 ndani ya wiki moja ijayo)
- Computer + Internet
- Time