Uzi Maalum: My Adsense Journey to $100 per month

Mkuu hongera sana, Binafsi nakushauri kama unatumia blogger platform iache, tumia wordpress ambayo ipo very simple na ina themes nzuri mfano sahifa na pia ina plugins kibao zitakazokurahisishia kazi yako.

Sauzi ukiwa na views 5,000 na clicks kama 2,000 tayari ushalaza dola mia tatu, so kule ni kwepesi sana tofauti na bongo ambako unaweza pata hata views 10,000 lakini wanaoclick tangazo haya 1,000 hawafiki ukizingatia pia cpc ni mabua unaweza kupata dola 30 tu kwa hizo views 10,000

Hapo kwenye facebook accounts jaribu kutumia hata proxy moja kwa accounts za fb tatu, Wale fb wakijua unafanya spamming wanablock accounts zote ambazo zinatumia ip moja mbadala wake tengeneza multiple devices kwa kutumia memu android emulator na enye kila emulated android device tumia account tatu.

usiweke hapa blog yako,,Sio wote wataopenda mafanikio yako...It is likely watu wenye roho mbaya watakutumia invalid clicks ilii ufungiwe
Nmekuelewa sana mkuu
 
Ctr ikizidi 10% tu ni hatari mkuuu... Normal ctr 3-5% ikizidi sana 5-8%. Kuanzia 10% hayo ni matatizo lazima wataramba account
hapana mkuu.. mimi page ctr hua inacheza 9-15 wakati mwingine mpaka 18 na pesa inatoka vizuri ndugu..
 
mkuu kwa page views 5000 na clicks 2000 hapo page ctr ni 40% hivi hapo pesa inaweza kutoka kweli?????? Mi najitahidi sana ctr isizidi 15%
ukiona umeanza kufikisha dola 2000 ambazo unaweza piga ka siku 10 hivi unaanza kupunguza spidi maana zikizidi dola 5000 jamaa wanakujaga kuoiga manual verification na ole wako wakute unapost zile uncut za kina zodwa:):), Utakua umefanya kazi ya kanisa
 
Kumbe mkuu basi mimi nilikuwa naogopa sana ctr ikiwa juu
mkuu kuna vitu viwili CTR na page CTR.. page ctr ipo kwenye home page ya adsense na ctr ipo kwa ndani hapa nazungumzia page ctr... Angalia hizi picha mbili hapa..
Hii ni CTR>>>>
ctr.JPG

Hii ni PAGE CTR>>>
page ctr.JPG
 
Nilikuwa nikisubiri kwa muda mrefu article kama hii ili nipate kujifunnza.
Swali langu vipi nikianza kuandika content kwa luga ya kingereza nitawezaje kutarget hao wasouth ambao ni very responsive
 
ukiona umeanza kufikisha dola 2000 ambazo unaweza piga ka siku 10 hivi unaanza kupunguza spidi maana zikizidi dola 5000 jamaa wanakujaga kuoiga manual verification na ole wako wakute unapost zile uncut za kina zodwa:):), Utakua umefanya kazi ya kanisa
Kazi ya Kanisa inalipa sana. Soma haya maandiko na UACHE KUDHARAU KAZI USIZOZIJUA....

Marko 10 :28-30

28 Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe.

29 Yesu akasema, Amin, nawaambieni, Hakuna mtu aliyeacha nyumba, au ndugu waume, au ndugu wake, au mama, au baba, au watoto, au mashamba, kwa ajili yangu, na kwa ajili ya Injili,

30 ila atapewa mara mia sasa wakati huu, nyumba, na ndugu waume, na ndugu wake, na mama, na watoto, na mashamba, pamoja na udhia; na katika ulimwengu ujao uzima wa milele.

MUNGU KWANZA
 
duuh
 
good... pia kwa sasa kuna ugonjwa mkubwa wa baadhi ya account za fb kugoma ku-post link.. je umshakutana na hili tatizo... post ukishare inaenda ila kwenye group haionekani...

ukiona account yako ya fb kila ukipost posts zako hazionekani "ghosted" basi jua umeongeza kupita kiasi zoezi la kushare post...I recommand uposti mara 6 tu kwenye magroup tofauti kwa account moja tu, Ubaya wa fb siku hizi yai moja likioza yote yameoza..Siku hizi ukiposti kwenye fb account moja then ukalogout kisha ukalogin hapo hapo account nyingine ili uendelee kuposti jua ya kwamba siku post zako zikianza kuwa ghosted basi hapo zile account zako zote ambazo ulikuwa unatumia kwenye browser moja zote zinafyekwa chap chap nazo zinakuwa ghosted ukipost kwenye groups.

Suluhisho kwangu nna wana wengi sana kitaa nlichofanya nmewaunga magroups kadhaa so kila moja nampa bando la mb 500 ananpostia link zang kwenye magroup nliyomuelekeza then yeye anaendelea kuzidufua mb zake nlizompa..

usiwe unaposti tu....Be like a fb user..like, comment add more friends
 
poa mkuu.. ila kuna account zina roho ngumu hua napost mpaka groups 45 kwa siku kwa interval ya 15-30 seconds na bado hazisumbui ila nyingine ndio mziki...
ngoja niendelee kujaribu...
adsense1.JPG
 
ukiona umeanza kufikisha dola 2000 ambazo unaweza piga ka siku 10 hivi unaanza kupunguza spidi maana zikizidi dola 5000 jamaa wanakujaga kuoiga manual verification na ole wako wakute unapost zile uncut za kina zodwa:):), Utakua umefanya kazi ya kanisa
Mkuu Machozi ya Simba nime update na tayar nimekutana na challenges naomba nisome kisha nisaidie mawazo tafadhali bro
 
Back
Top Bottom