Uzi Maalum: My Adsense Journey to $100 per month

poa mkuu.. ila kuna account zina roho ngumu hua napost mpaka groups 45 kwa siku kwa interval ya 15-30 seconds na bado hazisumbui ila nyingine ndio mziki...
ngoja niendelee kujaribu...
View attachment 671826
Nice earning bro, vp kuhusu account kufungiwa na link kua marked as a sparm umeshawah kukutana na hyo challenge na dawa yake ilikua ni nini chief?
 
hapana mkuu ni USA/S.A/U.K etc....
Chief blog yako inahusiana na nini, au naomba link nikaicheki, pia katika kushare facebook ushawahi kukutana na tatizo la link kua marked as a spam na post zako kufutwa zote? na kama ndio huwa unakwepa vip hili?
 
Nice earning bro, vp kuhusu account kufungiwa na link kua marked as a sparm umeshawah kukutana na hyo challenge na dawa yake ilikua ni nini chief?
mkuu mimi sina tatizo la fungiwa account za fb, tatizo langu sugu ni account kugoma kupeleka post.ndio bado natafuta mwarubaini wake, kuna baadhi ya account zinapost hata mara 50 per day ila hazisumbui nyingine ndio zinagomaaaaaaa
 
Ctr ikizidi 10% tu ni hatari mkuuu... Normal ctr 3-5% ikizidi sana 5-8%. Kuanzia 10% hayo ni matatizo lazima wataramba account
Okay tufanyeje ili isizi hapo maana nshaanza kuogopa CTR yangu iko 16% duuh, what should we do mzee?
 
mkuu mimi sina tatizo la fungiwa account za fb, tatizo langu sugu ni account kugoma kupeleka post.ndio bado natafuta mwarubaini wake, kuna baadhi ya account zinapost hata mara 50 per day ila hazisumbui nyingine ndio zinagomaaaaaaa
Okay na vip kuhusu hili swala la CTR kuna jamaa nimemsoma hapo nyuma anasema ili kua salama CTR isizidi 5% lakini mimi yangu ni mara nne ya hyo, nafanyeje ili CTR iwe low, maana kwa sasa nimejaribu na traffic ya bongo na matokeo ndo hayo CTR kua juu, sasa kabla sijaanza traffic ya mbele naomba kujua hili swala la CTR
Capture5.PNG
 
Mkuu hongera sana, Binafsi nakushauri kama unatumia blogger platform iache, tumia wordpress ambayo ipo very simple na ina themes nzuri mfano sahifa na pia ina plugins kibao zitakazokurahisishia kazi yako.

Sauzi ukiwa na views 5,000 na clicks kama 2,000 tayari ushalaza dola mia tatu, so kule ni kwepesi sana tofauti na bongo ambako unaweza pata hata views 10,000 lakini wanaoclick tangazo haya 1,000 hawafiki ukizingatia pia cpc ni mabua unaweza kupata dola 30 tu kwa hizo views 10,000

Hapo kwenye facebook accounts jaribu kutumia hata proxy moja kwa accounts za fb tatu, Wale fb wakijua unafanya spamming wanablock accounts zote ambazo zinatumia ip moja mbadala wake tengeneza multiple devices kwa kutumia memu android emulator na enye kila emulated android device tumia account tatu.

usiweke hapa blog yako,,Sio wote wataopenda mafanikio yako...It is likely watu wenye roho mbaya watakutumia invalid clicks ilii ufungiwe
Dah nilikua sijaisoma hii, god bless you bro, umenifungua kidogo,
ila naomba nieleweshe tena kidogo hapa

kwamba kwa mfano nkatumia bluestack, nawezaje kutengeneza multiple devide ilinitumie kila device kwa account 3? bluestack ni mfano tu unaweza nishauri pia emulator nzuri kutumia ambayo haili ram sana
 
Okay na vip kuhusu hili swala la CTR kuna jamaa nimemsoma hapo nyuma anasema ili kua salama CTR isizidi 5% lakini mimi yangu ni mara nne ya hyo, nafanyeje ili CTR iwe low, maana kwa sasa nimejaribu na traffic ya bongo na matokeo ndo hayo CTR kua juu, sasa kabla sijaanza traffic ya mbele naomba kujua hili swala la CTRView attachment 672614
ipo hivi hata uwe na ctr ya 1 unaweza kufungiwa.. na unaweza kua na ctr ya 20 usifungiwe.. cha msingi hiyo ctr isitokane na ujanja ujanja.. mimi ctr yangu inachaza between 10-15, sometimes mpaka 17 na pesa inatoka boss
 
sawa mkuu ila nimeshastuka ngoja niachane na hawa wabongo maana nilijaribu jana na juzi na matokeo sio mazuri sana, acha nitafute old account nyingine nianze shuhuli ya huko njee, ntafika tu,

Also chief what's your niche, naomba ntumie link ya blog yako kwa PM nataka tu nipate Idea sitacopy chochote mkuu
 
Mm mwenyewe naamia south mkuu bongo tunatumia nguvu nyingi sana bt hakuna $$... Utapata jina tu kupitia site bt hauwez kumake mpunga wa heshima... Twende zetu SA MKUU
Twende kwa madiba tu mkuu, mi nshaanza safari
 
Mkuu hongera sana, Binafsi nakushauri kama unatumia blogger platform iache, tumia wordpress ambayo ipo very simple na ina themes nzuri mfano sahifa na pia ina plugins kibao zitakazokurahisishia kazi yako.

Sauzi ukiwa na views 5,000 na clicks kama 2,000 tayari ushalaza dola mia tatu, so kule ni kwepesi sana tofauti na bongo ambako unaweza pata hata views 10,000 lakini wanaoclick tangazo haya 1,000 hawafiki ukizingatia pia cpc ni mabua unaweza kupata dola 30 tu kwa hizo views 10,000

Hapo kwenye facebook accounts jaribu kutumia hata proxy moja kwa accounts za fb tatu, Wale fb wakijua unafanya spamming wanablock accounts zote ambazo zinatumia ip moja mbadala wake tengeneza multiple devices kwa kutumia memu android emulator na enye kila emulated android device tumia account tatu.

usiweke hapa blog yako,,Sio wote wataopenda mafanikio yako...It is likely watu wenye roho mbaya watakutumia invalid clicks ilii ufungiwe
Mkuu nipe ushauri wako hapa,nimekutana na hili rungu asee,akaunt zangu zote 4 fb zimekuwa blocked kushare link ya blog.....na wamefuta link zote nilizoshare[emoji27]
Screenshot_20180108-075339.png
 
Dah nilikua sijaisoma hii, god bless you bro, umenifungua kidogo,
ila naomba nieleweshe tena kidogo hapa

Hapo kwenye facebook accounts jaribu kutumia hata proxy moja kwa accounts za fb tatu, Wale fb wakijua unafanya spamming wanablock accounts zote ambazo zinatumia ip moja mbadala wake tengeneza multiple devices kwa kutumia memu android emulator na enye kila emulated android device tumia account tatu.

kwamba kwa mfano nkatumia bluestack, nawezaje kutengeneza multiple devide ilinitumie kila device kwa account 3? bluestack ni mfano tu unaweza nishauri pia emulator nzuri kutumia ambayo haili ram sana

Huko kwene proxy naona sikuhizi nako wameanza kukaza....jaribu kutafuta ndugu au marafiki 10 hivi wenye smartphone then waunge kila moja group 6 za fb....Hapo wewe uwe unawaambia tu waposti link unayowatumia kwenye groups ulizowaunga
 
Mkuu nipe ushauri wako hapa,nimekutana na hili rungu asee,akaunt zangu zote 4 fb zimekuwa blocked kushare link ya blog.....na wamefuta link zote nilizoshare[emoji27]
View attachment 672657
F.b wamekaza sana sikuhizi, Wakiona kwamba link inapostiwa zaidi ya mara 8 hivi na fb account moja wanaifanya iwe spam, Cha kufanya share link moja kwa fb accounts tofauti then uwe unapost mara mbili kwenye magroup kila baada ya dakika 30 hivi, Pia sikuhizi tunashare kwa njia ya page ambayo angalau ni salama kuzidi ile sharig ya kawaida
 
picha hapa chini.. tarehe 8 january niliweka habari bongo, nigeria, ghana RPM very low. kwa page views 9557 zimetengeneza dollar 94.91$
tarehe 9 na 10 january nimeweka habari USA, UK, Canada, S.A.. RPM very high.. kwa page views 4337 zimetengeneza dollar 99$
Hili ni somo tosha ... Tanzania RPM ipo chini, nguvu nyingi...
adsense123.JPG
 
View attachment 672814
mkuu una account kama ngapi za FB unazotumia kushare,
 
picha hapa chini.. tarehe 8 january niliweka habari bongo, nigeria, ghana RPM very low. kwa page views 9557 zimetengeneza dollar 94.91$
tarehe 9 na 10 january nimeweka habari USA, UK, Canada, S.A.. RPM very high.. kwa page views 4337 zimetengeneza dollar 99$
Hili ni somo tosha ... Tanzania RPM ipo chini, nguvu nyingi...
View attachment 672814
Aisee mungu wangu. Nasubiria nn mimi jamani

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Wakuu nikiweka propeller ads halafu ni boost page yangu ipate likes za South si itakuwa poa?
 
ITAPENDEZA ZAIDI.... note mziki wa propeller ni mzito kuna miamba wanaipatia kama [HASHTAG]#MAZAGAZAGA[/HASHTAG], [HASHTAG]#DECOMPLEX[/HASHTAG], [HASHTAG]#MZEE[/HASHTAG] WA RULA... niliona dollar zao kwa mwezi nikatetemeka, wanatembea na CPM kati ya 25-30, impression above 20,000++ per day.. earning 600$++ per day..
**NOTE**
Propeller inahitaji traffic nzito/kubwa sio kama adsense musee papa..
 
Back
Top Bottom