Uzi Maalum: My Adsense Journey to $100 per month

سعر النقرة في أدسنس CPC بزاف ديال الناس كيسولو على كيفاش يطلعو السعر ديال النقرة.jpg
كيفاش درتي حتا حققتي هاد الأرباح؟ ورينا حتا حنا باش نخدمو اخويا... هاد السؤال وص.jpg

NILIMUONA HUYU JAMAA INSTAGRAM KAPOST HII MPAKA NIKAHAMASIKA





























"MBWA WAKO MKALI"
"ASANTE,NA WEWE PIA"
 
YA
Kazi ya Kanisa inalipa sana. Soma haya maandiko na UACHE KUDHARAU KAZI USIZOZIJUA....

Marko 10 :28-30

28 Petro akaanza kumwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe.


29 Yesu akasema, Amin, nawaambieni, Hakuna mtu aliyeacha nyumba, au ndugu waume, au ndugu wake, au mama, au baba, au watoto, au mashamba, kwa ajili yangu, na kwa ajili ya Injili,


30 ila atapewa mara mia sasa wakati huu, nyumba, na ndugu waume, na ndugu wake, na mama, na watoto, na mashamba, pamoja na udhia; na katika ulimwengu ujao uzima wa milele.

MUNGU KWANZA
Ya kaisali
 
Mkuu ujue unapiga pesa mingi sana, lakini mimi
underground nahangaika hata nipate dola 5 kwa
siku nashindwa kwa sababu sijapata magrupu
active ya kushare link zangu hasa USA na UK.
Ungenisaidia hata magrupu mawili tu ingekuwa
sadaka ya kutosha kabisa jumapili ya leo na Mungu atakubariki sana mkuu.


Nimecheka kwa masitiko makubwa ogopa kua na njaa halafu unaona jirani anakaangiza tu maini kila dakika inauma sana....

"Chipukizi kazeni buti ili mng'atuke mlipokwama vumilieni kama nyota mtayoka jua likizani...'' japo sijui hadi leo level gani ulipo?
 
Habari wakuu...

Mimi nipo haPa kwa ajili ya maswali yaliyokosa majibu..........LETENI MASWALI TUONE TUNASAIDIANAJE.


ASANTE.
Mimi nna macheche, kwanza niseme nimevutiwa na na hii industry ya content creating kwa ujumla! Pamoja na pesa ila dhumuni langu kuu ni "kusambaza/kushare' ujuzi. Pia demography yangu napendelea zaidi iwe nje sio hapa Tz!

Mpaka sasa nna vitu hivi...

1. Host/account.

2. Domain name (bado niko na brainstorm).

SWALI.

1. Kama nipo Tz, je kama contents zangu zinasomwa na watu wa nje (za english) malipo yake yata kuwa determined na nchi gani? nje au Tz?

2. Nnapanga nitumie theme ya Divi, je kwa uzoefu wako theme gani ni nzuri kwa maswala ya blogging/ contents?

3. Je una ushauri gani kwa sisi tulio na mawazo ya kuanza kwenye industry?

Thanks in advance!

cc Machozi ya Simba algorithim LIKE Niku ADD
 
Back
Top Bottom