Uzi Maalum: My Adsense Journey to $100 per month

ITAPENDEZA ZAIDI.... note mziki wa propeller ni mzito kuna miamba wanaipatia kama [HASHTAG]#MAZAGAZAGA[/HASHTAG], [HASHTAG]#DECOMPLEX[/HASHTAG], [HASHTAG]#MZEE[/HASHTAG] WA RULA... niliona dollar zao kwa mwezi nikatetemeka, wanatembea na CPM kati ya 25-30, impression above 20,000++ per day.. earning 600$++ per day..
**NOTE**
Propeller inahitaji traffic nzito/kubwa sio kama adsense musee papa..
Duuuu poa aisee
 
sure bro kuna kipindi cha nyuma niliwahi kutest huku nikitegemea traffic ya facebook nikaambulia $9 tu, inahitaji traffic kubwa mno kwenda sawa na wale jamaa japo matangazo yao nimazuri na yanashawishi
 
picha hapa chini.. tarehe 8 january niliweka habari bongo, nigeria, ghana RPM very low. kwa page views 9557 zimetengeneza dollar 94.91$
tarehe 9 na 10 january nimeweka habari USA, UK, Canada, S.A.. RPM very high.. kwa page views 4337 zimetengeneza dollar 99$
Hili ni somo tosha ... Tanzania RPM ipo chini, nguvu nyingi...
View attachment 672814

5f3680575773edb7e9f5c0f4b4fbcfbb.jpg

Sasa hapo account yang inasoma CPC ya 0.01-0.02 , RPM. Ndo majanga 1.2-3.5 .... BOngo tunaumizwa Sana
 
Bongo hamna kitu mkuu... Bongo ublogger kutafutia jina tu na hela za kubadilishia mboga. Ila kama unataka mpunga nenda nje ya nchi huko[emoji41] [emoji41] [emoji41] rpm 20+ ni kawaida tu huko
 
mkuu wacha nikuulize kabla huja log out pengine ukawa na idea, hivi bloggers wa bongo kama kina machozi ya simba ( sijawahi ona blog zao) lakini ningependa kujua content za blog zao (kama ni za kiingereza) huwa wanaandika wenyewe au wana copy na ku edit,

na vipi nikichkua contents kutoka sites ambazo hazina matangazo yoyote especial ya adsense, kisha nika edit kidogo na kuweka hzo contect kwenye site zangu kutakua na tatizo na adsense yangu,

kuna jamaa ni blogger wa nje ila site zake zote content ana copyfrom others sites ambazo hazimonetize hzo contents, yeye ana edit tu kidogo bas, lakini naona mpaka leo site zake zinapeta tu
 
I think unaweza kukopy content ila tatizo litakuja utakapo anza kupiga mpunga mrefu sana ...watakuja kuchunguza account yako wakigundua una plagiarize content za watu hapo itakuwa shida

Ila bado sina ushuhuda ngoja waje wale jamaa akina machozi ya simba waje kujibu hili maana hata mimi sijawai ona site zao
 
wacha niendelee kufanya uchunguzi, vp ushaanza na wa south? au bado unakomaa bongo
 
Leo naweka earning zangu hapa kwa mara ya mwisho japo sijafanikiwa kuwa blogger mkubwa kwa msingi wa kuwapa hamasa wale wanaoanza..Ushauri ni huu.. ili kupata dollar nyingi jitahidi kuweka habari zako U.S.A,CANADA,S.A, GERMAN. UK, NORWAY. NETHERLAND .. etc.. wala usipoteze pesa yako ku-boost, kununua traffic sijawahi kufanya hivyo, share kawaida tuu kwenye pages na groups kubwa..Usilalamike hupati kipato hizi ndio nondo zenyewe japo kwa sasa facebook wanafuta post kwa wingi...
1.
add2.JPG

2.
add1.JPG
 
View attachment 673270
2. View attachment 673272
Thanks mkuu, kuweka earning zako tu pia ni kutupa hamasa, ila jambo nilikuomba tangu juzi hujanikubalia bado, niliomba unitumie kwa PM site zako nijaribu kujifunza vitu, na pia nika ku PM mimi mwenyewe leo lakini hujanijibu, hop utanisaidia hilo
 
I think unaweza kukopy content ila tatizo litakuja utakapo anza kupiga mpunga mrefu sana ...watakuja kuchunguza account yako wakigundua una plagiarize content za watu hapo itakuwa shida

Ila bado sina ushuhuda ngoja waje wale jamaa akina machozi ya simba waje kujibu hili maana hata mimi sijawai ona site zao
Ili ata mimi nasubiria kwa hamu nijue zaidi mana mfano website za afya magojwa ni yale yale nimeona kuna kukopiana sana na watu hawafungiwi
 
Leo naweka earning zangu hapa kwa mara ya mwisho japo sijafanikiwa kuwa blogger mkubwa kwa msingi wa kuwapa hamasa wale wanaoanza..Ushauri ni huu.. ili kupata dollar nyingi jitahidi kuweka habari zako U.S.A,CANADA,S.A, GERMAN. UK, NORWAY. NETHERLAND .. etc.. wala usipoteze pesa yako ku-boost, kununua traffic sijawahi kufanya hivyo, share kawaida tuu kwenye pages na groups kubwa..Usilalamike hupati kipato hizi ndio nondo zenyewe japo kwa sasa facebook wanafuta post kwa wingi...
1.
View attachment 673270
2. View attachment 673272
Kazi nzuri mkuu.
Itabidi nichukue ushauri wako.
 
NINAYO FURAHA YA KUKWAMBIA KUWA NITAKUWA HAPA KWA MSAADA WOWOTE UTAKAO HITAJI.

BEST OF LUCK
mkuu mimi naomba msaada wako ktk youtube channel tafadhari... nataka kupata viewers na subscribers ili nianze ku-earn cash... channel yangu nimeiset ktk animal and travel kwasababu ina deal na wanyama pori...
 
Mkuu hongera sana, Binafsi nakushauri kama unatumia blogger platform iache, tumia wordpress ambayo ipo very simple na ina themes nzuri mfano sahifa na pia ina plugins kibao zitakazokurahisishia kazi yako.

Sauzi ukiwa na views 5,000 na clicks kama 2,000 tayari ushalaza dola mia tatu, so kule ni kwepesi sana tofauti na bongo ambako unaweza pata hata views 10,000 lakini wanaoclick tangazo haya 1,000 hawafiki ukizingatia pia cpc ni mabua unaweza kupata dola 30 tu kwa hizo views 10,000

Hapo kwenye facebook accounts jaribu kutumia hata proxy moja kwa accounts za fb tatu, Wale fb wakijua unafanya spamming wanablock accounts zote ambazo zinatumia ip moja mbadala wake tengeneza multiple devices kwa kutumia memu android emulator na enye kila emulated android device tumia account tatu.

usiweke hapa blog yako,,Sio wote wataopenda mafanikio yako...It is likely watu wenye roho mbaya watakutumia invalid clicks ilii ufungiwe
mkuu kupata viewers wa SA ni lazima blog uipe usajili wa SA na kuondoa Usajili wa TZ?
 
ITAPENDEZA ZAIDI.... note mziki wa propeller ni mzito kuna miamba wanaipatia kama [HASHTAG]#MAZAGAZAGA[/HASHTAG], [HASHTAG]#DECOMPLEX[/HASHTAG], [HASHTAG]#MZEE[/HASHTAG] WA RULA... niliona dollar zao kwa mwezi nikatetemeka, wanatembea na CPM kati ya 25-30, impression above 20,000++ per day.. earning 600$++ per day..
**NOTE**
Propeller inahitaji traffic nzito/kubwa sio kama adsense musee papa..
mkuu sijakuelewa... una weza nielewesha tafadhari
 
Leo naweka earning zangu hapa kwa mara ya mwisho japo sijafanikiwa kuwa blogger mkubwa kwa msingi wa kuwapa hamasa wale wanaoanza..Ushauri ni huu.. ili kupata dollar nyingi jitahidi kuweka habari zako U.S.A,CANADA,S.A, GERMAN. UK, NORWAY. NETHERLAND .. etc.. wala usipoteze pesa yako ku-boost, kununua traffic sijawahi kufanya hivyo, share kawaida tuu kwenye pages na groups kubwa..Usilalamike hupati kipato hizi ndio nondo zenyewe japo kwa sasa facebook wanafuta post kwa wingi...
1.
View attachment 673270
2. View attachment 673272
Daah mkuu niche zipi unapost huko ..naomba msaada kuhusu hilo
 
Back
Top Bottom