uzee umeniingia vibaya

uzee umeniingia vibaya

Ahh, location siwezi kukupa maana mie ni Mshamba wa Sikonge. Ni muhimu sana miwani kama unakaa kwenye Comp. kwa masaa mengi. Pia kuna dawa fulani/maji ambayo unatakiwa kutumia ili macho yasiwe makavu sana. Naamini maduka waliyoandika wadau, utapata miwani yako.

World's Largest Designer Reading Glasses Store - ReadingGlasses.com

mi nimeambiwa nivae ya kujilinda na huo mwanga...mi sio bahili hata hapa nimetenga m na ushee kwa ajili ya miwani....nipe tu location
 
naombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu

Kama upo dsm, nenda UPANGA EYE CENTRE, ipo karibu na muhimbili hospital! ni wataalam wa macho na miwani! Hutajutia kwenda pale! Ushuhuda ni mwingi! Pole sana!
 
Kama upo dsm, nenda UPANGA EYE CENTRE, ipo karibu na muhimbili hospital! ni wataalam wa macho na miwani! Hutajutia kwenda pale! Ushuhuda ni mwingi! Pole sana!
shukrani bro
 
naombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu

Mkuu me nafahamu Loliondo kwa babu..panaitwa "Kikombe dispensary"

Mafanikio mema.
 
Sasa na wewe Mpenzi Smile, acha ubahili bana. Hapo hapo wanapopima, wanatakiwa wawe na miwani pia.

Kama umeenda tu sehemu na kupima, hasa serikalini, basi wanaweza kuwa wamelipua kazi.

Nenda huko madukani ila kabla hujanunua, nie vema ukapima tena. Karibu kwenye wavaa miwani ya kusomea.

Inadaiwa, baada ya miaka 40, uwezo wa macho unashuka. Na hata kama bado na unakaa sana kwenye computer, basi ni vema pia ukawa unatumia miwani kujilinda na mionzi ya SCREEN. Bahati mbaya mie siyo mwenyeji wa Dar hivyo siwezi kukupa anwani ya duka.

Pole kwa tatizo la macho, ila uzee? Mwanamke ni kama Mvinyo.......

Mkuu @skionge, nadhani hapo in bold umempaka mafuta kwa mgongo wa chupa! that should be a man.

mi nimeambiwa nivae ya kujilinda na huo mwanga...mi sio bahili hata hapa nimetenga m na ushee kwa ajili ya miwani....nipe tu location
Smile, huwezi kutumia contact?
 
Last edited by a moderator:
naombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu

mjini yapo, lakini ukifanya vipimo itakuwa nzuri sana kuliko kuvaa tu...
 
naombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu

Arusha- uhuru road karibu na duka la Benson

Dar- CCBRT , msasani

DOM- Mackay House au Mvumi hospital
 
mhhhhh.......

women_are_like_wine_they_improve_with_age_shirt-r9ad8824e7b8841658ac3d03f72c37850_8nhm6_512.jpg

Mkuu @skionge, nadhani hapo in bold umempaka mafuta kwa mgongo wa chupa! that should be a man.
 
nenda Dar es salaam optical karibu na jengo lililoanguka wanamiwani classic sana nlinunua apo au shoppers plaza vision plus pia wanamiwani mizuri.
 
heee
acha kuchungulia,
hapo regency hosp utapata
bei ilikuwa 150,000 sijui bei ya leo
ukiona vipi nikupe na. ya dr. wangu
upate kwa bei ya kuzunguka mbuyu.

naombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu
 
mhhhhh.......

women_are_like_wine_they_improve_with_age_shirt-r9ad8824e7b8841658ac3d03f72c37850_8nhm6_512.jpg

images

Z

Hii inamfaa kwamtoro...

9k=

Au NJIA RAHISI TU YA KIBONGO BONGO: Muulize mwanamke umri wake atakuambia 5 -10 years younger than her real age. Then muulize mwanaume umri wake atakuambia 5 years older than his real age.

Back
Top Bottom