uzee umeniingia vibaya

uzee umeniingia vibaya

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
naombeni anaejua sehemu wanauza miwani classic! sio ya urembo mi computer imenidhuru
uzee umeniingia vibaya mwenezu
 
Msasani opposite na Kanisa la Lutheran kuna Jamaa wanajiita Siha wanauza mawani kwa bei nzuri..... Ukifika tu pale utaona tangazo lao.
 
issue sio bei mbe ...quality nataka classic yaani mizuuuriii ya kidada dada
 
kabla hujawaza kkutumia miwani hebu jaribu njia mbadala ,weka mbali hiyo screen au wakununulie ile screen protector .miwani bwana sio mizuri sana!
 
Sasa na wewe Mpenzi Smile, acha ubahili bana. Hapo hapo wanapopima, wanatakiwa wawe na miwani pia.

Kama umeenda tu sehemu na kupima, hasa serikalini, basi wanaweza kuwa wamelipua kazi.

Nenda huko madukani ila kabla hujanunua, nie vema ukapima tena. Karibu kwenye wavaa miwani ya kusomea.

Inadaiwa, baada ya miaka 40, uwezo wa macho unashuka. Na hata kama bado na unakaa sana kwenye computer, basi ni vema pia ukawa unatumia miwani kujilinda na mionzi ya SCREEN. Bahati mbaya mie siyo mwenyeji wa Dar hivyo siwezi kukupa anwani ya duka.

Pole kwa tatizo la macho, ila uzee? Mwanamke ni kama Mvinyo.......
 
mi nimeambiwa nivae ya kujilinda na huo mwanga...mi sio bahili hata hapa nimetenga m na ushee kwa ajili ya miwani....nipe tu location
 
Back
Top Bottom