Mimi ndio nawategemea nyie ndugu zanguJackal moneytalk Its Pancho Kibunango
Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ?
mwendo wa marudio tu mwezi mzimaJackal moneytalk Its Pancho Kibunango
Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ?
Kha! Wanaboa sasamwendo wa marudio tu mwezi mzima
Ni mwendo wa marudio nduguMimi ndio nawategemea nyie ndugu zangu
wanarudia rudia tu ndugu tanguJackal moneytalk Its Pancho Kibunango
Vp jaman humu..... itv wanatuzingua na marudio. Jana sikuicheki vp kunaambae kaicheki waliendeleza au lah ?
wapuuzi tu hawa wanadhani hii tamthilia wataimaliza leo... naona ka vile wanaibania kuionyeshawanarudia rudia tu ndugu tangu
bora wasionyeshe kabisa kenge hao kuliko kutuwekea marudio mwezi mzima,tamthilia yenyewe ya dk 10wapuuzi tu hawa wanadhani hii tamthilia wataimaliza leo... naona ka vile wanaibania kuionyesha
sindo hapo sasa wanasema ety dkk 30 waapi.. geresha tubora wasionyeshe kabisa kenge hao kuliko kutuwekea marudio mwezi mzima,tamthilia yenyewe ya dk 10
ooh sawaNi marudio tu sema hivi karibuni sijaangalia ka wameendeleza