Dr Simba
JF-Expert Member
- Apr 27, 2016
- 997
- 1,241
Kila nikifikilia ile siagi ya mende. .....ndio inamnenepesha kuku! !!!doooh.Kwanini mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nikifikilia ile siagi ya mende. .....ndio inamnenepesha kuku! !!!doooh.Kwanini mkuu
Hahahaha kule tu kwasababu hata binadamu ndani anauchafu mwingi tu so usione kinyaa.Kila nikifikilia ile siagi ya mende. .....ndio inamnenepesha kuku! !!!doooh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaa wanaliwa kweli hao?ugali wa dona na rosti la mende lilokolezwa ndimu..na mboga za majani pembeni..bila kusahau maji ya baridi au juice ya matunda.
yummy yummy
just kidding dear...
Dah mi hata mende mmoja nkimuona ni kizazaaMimi ninafuga mende na nina species tano tofauti.
Naamini after two years nitaingiza pesa nyingi mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
duh.Wakuu mende hutumika kutengeneza Chakula cha kuku, kwasasa ufugaji wa mende unafaida kubwa sana na unaweza kukuingizia kipato kikubwa.
Ndio inawezekana mkuuVipi hivi mende wanaweza changanywa kwenye chakula cha samaki?
Ahahahahahaaaaaa hii hapana aiseeugali wa dona na rosti la mende lilokolezwa ndimu..na mboga za majani pembeni..bila kusahau maji ya baridi au juice ya matunda.
yummy yummy
China wanakula nenda YouTube utaona video ya shamba la mende na jamaa wanavyokula, mi nliona mkulima alihojiwa na bbcjust kidding dear...
asante mkuu ntaenda.China wanakula nenda YouTube utaona video ya shamba la mende na jamaa wanavyokula, mi nliona mkulima alihojiwa na bbc