Uyu kaka ameniganda nataka nimuache

Uyu kaka ameniganda nataka nimuache

Yamekushinda ndo umekuja kutushirikisha!? Anyway mwongezee mapicha picha tu, atachomoka mwenyewe
 
Ukimpenda mtu kupitiliza, lazima uonekane mpumbavu.
 
Jibu maswali hay
1. Je mnaishi wote?
2. Nani anakuwezesha kumudu maisha
 
Dawa ndogo hapo tafuta pisi kali zaidi yako mlengeshee mwamba atakusahau mwenyewe.
 
Back
Top Bottom