- Thread starter
- #21
Sitaki kufikia uko itamuathiri sana!!njoo nikuzagamue hadi utoke kojo la maana halafu umtumie picha na video 'view once'
Sitaki kufikia uko itamuathiri sana!!njoo nikuzagamue hadi utoke kojo la maana halafu umtumie picha na video 'view once'
anaetaka kujiua hasemi.Inaeza ikasababisha tabu nataka nitoke bila tatizo!! Kuna mda anasema atajiua nikimuacha!!!
Nataka niwaachie wengine wakahaike nae!! Nimemchoka ana visa alaf hataki tuachane!!sio uyu ni huyu.
Unatuita ndugu zako wakati ndugu yetu unataka umuache..!!
Ni hivi baki na hilohilo jini lako huku nje kuna majini kama akina kenzy tunamakeke dada hautaweza kustahimili!. usimuache mvumilie ukimuacha unamuachia nani..?
Makorokocho at its peakSasa Hapo Utakuta Dereva Ni Undercover Na Halafu Utakuta Anasubiriwa Kwenye Kikao Kwa Hiyo Mimi Naona Huyo Mwanafunzi Aliyepewa Mimba Aendelee Na Masomo Chini Ya Uangalizi Wa Balozi Maana Haiwezekani Chadema Wasusie Uchaguzi Na Jumuiya Ya Umoja Wa Mataifa Uingilie Kati Wakati Tanzania Haina Urafiki Na Ufisaidi Hata Hivyo Tundulisu Alivyozuiwa Sudan Binafsi Sijapenda Hata Kidogo
Kwelii kichekeshoo unaanzaje kulia asee. Au tumuulize mleta mada analia akiwa amekunywa? Maana ukilewa chozi linatoka kirahisi.Ogopa sana mwanaume anayelia, wengi ni wanafiki.
😂 mwamba anaililiaOgopa sana mwanaume anayelia, wengi ni wanafiki.
Hatumii kilevi aina yoyoteKwelii kichekeshoo unaanzaje kulia asee. Au tumuulize mleta mada analia akiwa amekunywa?
Sis said it all 📌📌📌Ogopa sana mwanaume anayelia, wengi ni wanafiki.
Waongo sana watu kama hao. Anaweza hata kujitishia kujiua.😂 mwamba anaililia
Si kama namtesa nimemchoka ana wivu kupita kiasi mpk keroBinti naona umempata wa kumtesa, Kila kukicha wamtishia kumwacha ili ujiridhisha ni kwa kiasi gani anakupenda na kupiga kwake magoti ndo furaha yako.
Jitathmini sana.
Nilishawahi kumuona mmoja, analia hata hajanya yupo vizuri kabisa. Yaani yale machozi ya kububujika kama ya Lucas.Kwelii kichekeshoo unaanzaje kulia asee. Au tumuulize mleta mada analia akiwa amekunywa? Maana ukilewa chozi linatoka kirahisi.
Mwanamke kulia kawaida sasa dume zima unalia nini?Kama wanawake wanao lia
KAZI ni kipimo cha utu
Sema mwanaume kulia uongoWaongo sana watu kama hao. Anaweza hata kujitishia kujiua.

Na kukupenda kote huko leo unataka uniache?😭😭😭Yamenikuta mwenzenu mimi!! Nipo ktk mahusiano na uyu aka kwa miaka 3, mwanzoni tulikua tunaelewana vizuri lakini kipindi kama cha miezi sita tunafarakana kila wiki.
Kila nikitaka kuachana nae uyu kaka analia hadi ananipigia magoti nisimwache!! Nimechoka kua nae!!
Nataka niachane nae nitafute ustaarabu mwingine!
Nifanye nini uyu kaka aniache mwenyewe ili niweze kuondoka kwa amani!! Naombeni ushauri ndugu zangu!!!
Kwa niaba yake naomba mpende tu na mungu atakusaidia.Si kama namtesa nimemchoka ana wivu kupita kiasi mpk kero