Uwoya hataki kurudi kwa mumewe?

Sasa bwegebwege kweli wewe inakuhusu nini akigoma kurudi kwa mumewe? Au unamtaka ndugu? thread zengine zinashusha hadhi ya JF inakuwa kama Zeutamu

This is Celebrities Forum, inazungumzia maisha, mafanikio, matukio pamoja na vituko vya "maceleb" mbalimbali! Iwe ndani ya nchi au nje ya nchi! Ndiyo maana kuna magazeti mashuhuri kama the "Sun" "Chronicles" etc...! Magazeti ta TZ yameandika hivyo, it was not my post, ndiyo maana nimeiweka kama ilivyotolewa kwa magazeti! Kama una-criticise basi fanay hivyo kwa mwandishi husika....

Si wewe tu, pamoja na wengineo wenye mtazamo kama wako! JF inaruhusu uhuru wa kuweka posts, kama haikuwa sahihi basi wacha Mods waibandue, ila si kwa mtazamo wa kibinafsi unaouweka hapa!
 
Maisha yake yanawahusu nini nyie ndo mnapiga chabo kwenye vyumba vya watu mjue yanayofanyika ndani
 
Quote from Mr Ndikuamana Hamad Kataut, Irene's husband:
Comment by ndikumana 4 hours ago
HAMUWEZI KUTUCHONGANISHA NILISHA WAMBIA ALAFU KWA TAARIFA YENU TUKO KWENYE FURAHA KUBWA SAAAAAAAAAAANA YA NDOA YETU,MKE WANGU KWASASA YUKO CONGO NA WASANI WENZAKE NTAKUWA NAE JUMATATU DAR KAMA MNATAKA KUJUWA NAKUPATA MANENO YAKUANDIKA YAUKWELI MNAKARIBISHWA LAKINI SIO UJINGA MNAO ANDIKA KWAKUTAFUTA WAUZAJI WAMAGAZETTI KWA UONGO MWINGI.

Comment by ndikumana 4 hours ago
LAKINI NYINYI WABONGO NAWASHANGAA SANA KILA LEO MNATENGENEZA MANENO KWAKUARIBU NYUMBA ZAWENZENU SIJUWI MNAONA RAHA?KIUKWELI MIMI SIJAMHARAKISHA MKE WANGU KURUDI CYPRUS SABABU AMEONDOKA APA KWA RUHUSA YANGU NA NILIKUJA KUMUONA KWA SIKU MBILI NILIPOPATA MDAA KUMLETEA PESA ZAKUFANYA MOVIE NAMAMBO YANGINE YAFURAHA AMBAYO MTAYAJUWA KARIBUNI.KWAKIFUPI NATAKA KUWAMBIA KUWA MKE WANGU NAMUAMINI SANA ALAFU SIO KWAMANENO YAWALIMWENGU NDOA YANGU ITAVUNJIKA.ALAFU MWEWAANDISHI ACHENI WONGO MIMI SIZIMI SIMU ATANIKIWA NIMELALA LINI MMENIKOSA?
Jamaa kafa kaoza na anamuamini mkewe 100%.
 
Ha ha ha ha! GPL wadaku wakubwa afu waongo. Uyo aliyejibu sina hakika kama ndiye mwenyewe Ndi****na!
 
6.gif



Huyu bibi esi nimesikia alikuja huku "KUREKODI MUVI" TUU? Imekuwaje? Utamu wa nyumbani umemzidia?

hamna picha, weka walau picha tano za Irene tumwone
 
Jamani ndoa zina matatizo yake acha tu apumzike, mimi mwenyewe natamani ningekuwa na mahali pa kwenda ningeenda nikajichimbia huko angalau miezi miwili.
 
Na magazeti ya udaku nayo yamezidi. acheni Ndikumana awalipukie tu. Hapo naamini Shigongo alishamtaka Irine akamkataa maana nasikia akikukuta anga zako akikutaka ukimkataa ni lazima akulipue. Eric Shigongo si unasema umeokoka wewe? Mbona unafanya mambo ya kishetani hivyo? Na mimi nitafute uniandike mambo yangu na mke/mume wangu. Na sisi hapa JF inabidi tuwe tunakandia story a kupotosha kama hizi ili waanzilishi wake waache udaku huu, wanaboa.
 
Back
Top Bottom