Uwoya hataki kurudi kwa mumewe?

Brooklyn

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
1,460
Likes
51
Points
145

Brooklyn

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
1,460 51 145
teh teh teh nasikia ni kiburudisho kizuri sana...hii ni kwa mujibu wa swahiba wangu (ambaye pia ni memba humu jamvini)!! Jamaa anasema mengi mabaya yanayosemwa juu yake 80% si ya kweli, ukimtaka jiandae kuazimwa gari ili binti awe anazunguka nayo mjini!!
 

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
1,534
Likes
20
Points
0

Leornado

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
1,534 20 0
Pengine kazoea bongo so kiwinter cha Cyprus kimemshinda ndo kabaki bongo kwa gia ya kuigiza filamu..
Angekuwa mkeo wewe mtoa mada ungefanyaje??
 

KIBE

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
943
Likes
1
Points
0

KIBE

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
943 1 0
Ukweli kwa maadili ya kiafrika mwanamke lazima atulizane na ndoa yake na mume wake sasa yeye kila kuukicha bongo ,ndo mana watu wanajiuliza au ndoa imemshinda ua huku kuna mapapa yanakula ndogo . Mwanamke anatakiwa atulie kwa mumewe kulikoni yeye kila kuchaoooo bongo ..............!!!!!!alaaaahhhh
 

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
1,756
Likes
40
Points
145

mama D

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
1,756 40 145
maisha ya watu hayatuhusu! tumwache irene na ndoa yake jamani kha!! kuolewa, kuishi hapa au pale si kazi ya yeyeote zaidi yake na mumewe
 

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
38,353
Likes
7,297
Points
280

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
38,353 7,297 280
Arudi huko haraka viporo vyake vya Bongo atachemsha saa ngapi?
listen jamani
Kwa wana anga mtanielewa zaidi..ndege ina cheki kama 3 ama 4 inategemea na aina
kuna CHK A
CHK B
CHK C
CHK D
nakila cheki ina umuhimu wake jamani zingine mpka utoke nje ya nchi..sasa mwnzenu alikuwa uko ugaibuni yawezekana imefika sehemu ya cheki anaitaji kuja tanzani kama tunavyopeleka ndege zetu marekani na kwingineko..so tusimhukumu sana ,....kuna moja ya chk d hiyo ni long chk inaitaji kuchekiwa sehemu nyingi yawezekana ndio muda wake anapga chk D mama fanya cheki vizuri wasikulazimishe uwahi waweza kuvuja oil gari ikashindwa kuondoka salama
 

Forum statistics

Threads 1,203,431
Members 456,762
Posts 28,113,228