BinMgen
JF-Expert Member
- Jun 18, 2008
- 1,854
- 262
Sasa shida iko wapi hapo?We jamaa unahangaika huchoki kila mda unaanzisha uzi
Sasa shida iko wapi hapo?We jamaa unahangaika huchoki kila mda unaanzisha uzi
Hivi kabudi alipataje Uprofesa ?Ukisikiliza Video Hii Waziri Kabudi Anasema '.Kule Madagascar Dawa Hii Anagawa Raisi Mwenyewe. Dawa Hii Haigaiwi Hovyo hovyo.' Lakini ukweli ni kwamba hadi kwenye Super market dawa hii inauzwa Siku Zote Za kuambiwa changanya na zako View attachment 1445926View attachment 1445926
Taarifa za wapekuzi zinaonyesha kwamba Kabudi hakupewa na rais wa nchi ile wala hata hakupokelewa , kanunua Super Market tu , tena bei yenyewe kapigwa kishenzi !! kumbe alienda madagascar kama wanavyoenda wateja wengine tu .Usimwamini mwana siasa (hasa wa ccm) hata kama akiwa baba/mama yako mazazi.
DuuhTaarifa za wapekuzi zinaonyesha kwamba Kabudi hakupewa na rais wa nchi ile wala hata hakupokelewa , kanunua Super Market tu , tena bei yenyewe kapigwa kishenzi !! kumbe alienda madagascar kama wanavyoenda wateja wengine tu .
Poor Kabudi !
We jamaa unahangaika huchoki kila mda unaanzisha uzi
Hayo maduka yametoa wapi?Ukisikiliza Video Hii Waziri Kabudi Anasema '.Kule Madagascar Dawa Hii Anagawa Raisi Mwenyewe. Dawa Hii Haigaiwi Hovyo hovyo.' Lakini ukweli ni kwamba hadi kwenye Super market dawa hii inauzwa Siku Zote Za kuambiwa changanya na zako View attachment 1445926View attachment 1445926
Ndio hata mimi nimemuuliza, hayo maduka yametoa wapi?Sasa uongo wake upo wapi? Rais ndiyo kawagawia hao wenye maduka!
Zichechou uuhRiziwa amuaka nyangadatuku veli veli......
Noma likwe likwe
Impact yake ni ipi kwako? Imekuathiri vipi?Impact ya kusema uongo au kutarget vilaza of your type ?
Imenipotezea. Carolies zanguImpact yake ni ipi kwako? Imekuathiri vipi?
Eti carolies..,ukiulizwa imekuathiri vipi,jibu la kueleweka huna😅..,Sasa unavyojadili hili toka jana si umepoteza calories zaidi.Imenipotezea. Carolies zangu
Wewe kilaza ni kuwa.ukizoea kusema uongo,na watu wakazoe kuwa wewe no msema uongo,Kuna siku utasema Jambo la kweli Ila watu watapuuza wakiamini ni uongo ule ule,hapo ndo ule msemo wa majuto ni mjukuu humake senseEti carolies..,ukiulizwa imekuathiri vipi,jibu la kueleweka huna😅..,Sasa unavyojadili hili toka jana si umepoteza calories zaidi.
We sema tu kuwa wewe na serikali hazipandi..,sio unajizungusha zungusha tu.Wewe kilaza ni kuwa.ukizoea kusema uongo,na watu wakazoe kuwa wewe no msema uongo,Kuna siku utasema Jambo la kweli Ila watu watapuuza wakiamini ni uongo ule ule,hapo ndo ule msemo wa majuto ni mjukuu humake sense
Nalipa 2.5M PAYE every month mkuuWe sema tu kuwa wewe na serikali hazipandi..,sio unajizungusha zungusha tu.
Naam, uamuzi wa busara.