Uwezekano wa vita kati ya Urusi na Ukraine

We jamaa muongo mnooooo
weka hapa uwongo wng russia hajapeleka jesh ksa crimea kapeleka jesh ksa waasi wa mashark ndo kaambiwa aingze jesh hapo mashark aolewe na nato bila mahari hajafanya hvyo
vita ya waasi na ukraine inaendelea kama hao waasi wanafanya vzuri urusi kaenda kufanya nn
eti anawalinda waongea krusi kwaiyo uganda nao wasogeze jesh kagera kuwalinda wahaya ambao wanaongea kganda. Urus si kwmb anawapenda hao raia ye anataka lile eneo kwsbb za kiusalama
 
weka hapa uwongo wng russia hajapeleka jesh ksa crimea kapeleka jesh ksa waasi wa mashark ndo kaambiwa aingze jesh hapo mashark aolewe na nato bila mahari hajafanya hvyo
vita ya waasi na ukraine inaendelea kama hao waasi wanafanya vzuri urusi kaenda kufanya nn
eti anawalinda waongea krusi kwaiyo uganda nao wasogeze jesh kagera kuwalinda wahaya ambao wanaongea kganda. Urus si kwmb anawapenda hao raia ye anataka lile eneo kwsbb za kiusalama
hata Crimea Russia hakuingizà jeshi kabla ya kura ya maoni kujitenga
hata hapo mtashtuka kura ya kujiunga urusi inapigwa na kura ikiwhapigwa NATO hawatafanya kitu maana Ukraine sio member NATO:
je nato wataingia ukraine kufanyaje? je jiñsi ya kuingiza majeshi kwe nchi ya kigeni unaujua mchakatowake?
NB:kilichotokea Crimea those days kinaweza kutokea sasahivi (anytime) Russia sio fara kuwatumia waasi(by theway ni maspetznaz tupu)af kawapa jina separatists sio magaidi @El hoinu kura ya kujitenga na kujiunga RF inaandaliwa 'huko kote kunarudi Russia!!
 
Urusi wakiamua kuingia Ukraine ni dk 0 tu na hamna wa kumzuia!!...kwanza walishamvamia ndani ya wiki tu walikuwa wamekamata kila kitu na nato hao walishia kupiga kelele tu!
 
Mkakati wa muda mrefu wa Ukraine na NATO Ni Ukraine kujiunga na NaTO.

Urusi Wala Hana shida na Ukraine Tena
Wala hawezi kuizuia isijiunge na NATO,
Bali nawahakikishieni kuwa Ukraine atajiunga na NATO akiwa nusu nchi.

Namaanisha kuwa majimbo yote ya waasi yani Donbass,Donesk na Luhanski
Urusi itahakikisha yanabaki na Urusi.
Hapo ndipo Ukraine itajiunga na NATO ikiwa nusu nchi.
Waendelee kushupaza shingo.
 
Ukraine ana nini cha kuwapa NATO hadi watangaze vita na Urusi, NATO watakubali kuyumba uchumi wa nchi zao kwa kuitetea nchi ambayo si hata mshirika? Ni Uamuzi wa Urusi tu aingie sasa hivi au awaache.
 
Mkakati wa muda mrefu wa Ukraine na NATO Ni Ukraine kujiunga na NaTO.

Urusi Wala Hana shida na Ukraine Tena
Wala hawezi kuizuia isijiunge na NATO,
Bali nawahakikishieni kuwa Ukraine atajiunga na NATO akiwa nusu nchi.

Namaanisha kuwa majimbo yote ya waasi yani Donbass,Donesk na Luhanski
Urusi itahakikisha yanabaki na Urusi.
Hapo ndipo Ukraine itajiunga na NATO ikiwa nusu nchi.
Waendelee kushupaza shingo.
Yale sio majimbo ya waasi yalishapiga kura ya kujitenga na kujitangazia Uhuru kwa kufata taratibu za kimataifa inakua ngumu kupata sapoti ya mataifa ya magharib kwa sabab kwenye mpango huu USA na nato wamezidiwa mahesabu na urusi na km unavyosema Ukraine atajiunga nato akiwa kanyonyoka manyoya na hao anaowategemea kila moja anachukua tahadhar kubwa asije akajiharibia.
 
Mbona hujaulza swali ila mkuu umeweka ushabiki tu.
Labda nami nikulze je marekani hzo siraha una uhakika hana?
Pili we umejuaje kama hzo siraha haziwez zuiliwa?
Tatu wakati huyo mchina tena huyu ndo hamna ktu apga copy siraha za wenzake hata urusi iliwah lalamika jamaa ananunua siraha kwake halafu anapga copy. Haya we umejuaje wkt chna na urus wanatengeneza siraha hzo marekan ye kakaa tu au sbb haonyeshi?
Nne, vita gan unasema marekan hajawaishnda ya iraq au afghanstan? Huko vita alshamalza hana hbr hao mujahidina wanaovzia na kuua watu ndo ushahd kwmb marekan hajashnda? Je unajua kwmb urusi aliwahi furushwa afghanstan akakmbia vita je ni kwel kwmb afghanstan ilishnda vita ksa urus kaondoka!

Unajua taiwan pale nyumban kwa mchna kbs mchna hawez vamia pale ksa marekan yupo mle kama anajeuri si aende.

Haya yoote uliyoandka tyr ndo umeshajua marekan ana siraha dhaifu kbs na hao wachna wanaweza mmalza pamoja na urusi, we umewah kuona siraha za marekani, je wanaotoa data za nguvu za kjesh dunian tena kwa data wao ni waongo ila wewe ndo unaujua ukwel ambao ndo huu.

Mwisho kabs nambie pia urusi aliwah pgana vita gan akashnda hapa duniani?
Nambie china aliwahi pgana vta gan akashnda hapa duniani?
Usnambie mambo ya syria kwan marekan yupo pale anachota tu mafuta na urus hata hajamgusa.

Mwsho unambie kama urus ana nguvu hzo tyr nato wameshamwambia aingze jesh ukraine sasa anasubiri nn?
Asante.
Hakuna sehemu NATO wameruhusu Urusi aingize jeshi bali bato wanaomba Urusi aondoe jeshi mpakani mwa Ukraine. Umeelewa?
 
Kwan urusi kapeleka jesh ksa crimea? Hayo crimea hata nato hawakuwai kusema watapeleka jesh sasa awamu hii ndo wamemwambia ukingia ukraine tutaleta jesh ndo aende sasa mbona yupo huko mpakan na madude yake kmy.
Unaleta mambo ya georgia hapa kwan huko georgia nato walsema watapeleka jeshi, awamu hii putin kambiwa ingza jesh kama ulivyofanya crimea tuone hajafanya hvyo yupo uko maporin mpkan anawabwekea nato.
NATO haiwezi ingia kwenye Full War na Urusi, Vita ya Nuclear Ulaya nzima hakuna nchi inatamani, hakuna mchi Ulaya inatamani vita na Urusi,
 
Hakuna vita pale ni kupindisha umma uache kujadili suala la Alexey Navalny na kujaribu upepo wa Joe Biden.
Silaha na wanajeshi wanasogezwa mpakani kupima reaction ya NATO na Biden ni ipi lakini hakuna sababu ya kupigana wala Russia hawawezi anzisha vita kishamba bila sababu.

Vita ya NATO vs Russia lazima Russia apigwe kwa vile atapambana fronts nyingi. Hata Nazi Germany ilikuwa na nguvu ila ikapigwa na allies
Hahaaa apigwe kivipi? Urusi kajiandaa kwa vita kubwa, mkuu vita ya Urusi na NATO haitakuwa ya kupeleka wanajeshi sijui mstari wa mbele, ile ni vita ya Nuclear na nazani unajua vyema nuclear
 
Kwan urusi amesema kapeleka jesh mpakan ksa crimea? AU hujui knachoendelea mkuu. Mrusi kapeleka jesh mpkan kwa mission nyngn tena akasema anataka achukue ukraine yote na ndo maana jesh la urusi halijaenda kukaa lote pale crimea lipo kwngn kbs tena mpakan uko ndo wanaume wa nato wamemwambia aingie atoke huko mapangon mpakan aingie kama alivyoingia crimea ili wamuwowe mpk dk hz hajatia pua ndani
Alie kuambia Urisi anataka kuingia Ukrine ni nani? Au ni story za vijiwe vya kahawa?
 
Uelewa wako mkuu upo kshabk kwan jesh la urusi liko wp crimea ambayo tyr wanayo au lipo kwngn huko mpkan ambako nato wamemwambia aingie kama alivyoingia crimea na hajafanya hvyo na lile jesh halijaenda kwaajili ya crimea na ndo maana halipo crimea lipo kwngn. Hayo ma s400 unadhan nato hawayajui hakuna siraha iliyokamilika aslimia zote ye aingie atoke hapo mpakan aingie tuone kelele za crimea zann ye azame maana hayo ma s400, mavifaru , madege yako kwngn huko mpakan ndo wamemwambia ingza jesh tukuwowe
Uruso kwani kasema anataka kuingia Ukrine? Hahaaa
 
Kwa hiyo Urusi ndio anataka kupigana na nchi zenye ICBM?(US,France,UK)?? .Au unfkiri MAD (Mutually Assured Destruction),Russia haielewi hii doctrine?.
Ma pro Russia kuna muda mnajiongeleaga tu bila ku reason :D:D:D
Hahaaa France na UK nazania wana Vichwa vua Nuclear hawana ICBM, ICBM inabeba hivyo vichwa na Urusi ndo bingwa hio sehemu
 
mkuu vita ni uchumi na technology acha utan kbs hata knachomfanya myahud awe na kiburi pale mashariki ya kati ni tech na uchumi.

Urusi ni ngumu sn kushnda vita ikiwa nato na marekan kwel wameamua kupgana vita kamili acha utani kbs
Myahudi hana lolote hapa,anachezwshwa mziki na Hizbullah kila siku, hapa drone zake zinashushwa kama kunguru. Analindwa na ulimwengu tu hapa, lakini yeye kama yeye hanajeuri yoyote.
 
Myahudi hana lolote hapa,anachezwshwa mziki na Hizbullah kila siku, hapa drone zake zinashushwa kama kunguru. Analindwa na ulimwengu tu hapa, lakini yeye kama yeye hanajeuri yoyote.
Kazungukwa na adui zake kama hana lolote si wamtoe hapo . Hezbolah wale wanamgambo kama wanauwezo si wawasaidie syria kurudsha ile milima, hao wana mgambo kama wana uwezo si wawatoe wayahud kwny maeneo ya wapalestna kwan kuna ugumu gani au ulimwengu ndo unawazuia.
 
Hahaaa France na UK nazania wana Vichwa vua Nuclear hawana ICBM, ICBM inabeba hivyo vichwa na Urusi ndo bingwa hio sehemu
mimi sipo upande wa urusi lakn kwny hayo madude urusi n hatari sn aisee na ndiyo yanawaogopesha marekan na nato lakn mambo mengne urusi bdo hafui dafu kwa marekani
 
Back
Top Bottom