samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,594
- 4,798
Unajua kazi ya Mbunge? Mbunge Ana kazi Tatu tu.. Soma elimu ya uraia na katiba ya JMT! Mbunge afanye nini jimboni anakusanya Kodi? Nyie watu aisee..Uwakirishi wa mbunge wako sio kupiga kelele bali ni vitendo. Pitapita uone kafanya nini jimboni? This is the best tool to measure his/her perfomance. Unataka umuone kwenye TV live kule Dodoma? Achana na mauzauza amefanya nini? Kama hajafanya chamaana tupa kule 2020.