Uwazi wa Mikataba katika Sekta ya Uziduaji (Mafuta, Gesi na Madini)

Ukisema hivi unatukosea kwani lengo la jf ni kusaidia kujenga hoja mbadala kulingana na uelewa wetu juu ya jambo fulani na huenda wengine ni wataalam katika jambo hilo ambao wapo nje ya mfumo husika na wengine ni wadadisi ambao wana maarifa zaidi kushinda watendaji waliopo kwenye mfumo! Kusema ni uchochezi ili hali mmetofautiana kimtazamo ni makosa!
unachokisema kipo sahihi kabisaa, maana jamii zilizo endelea sana zinaamini katika mawazo ya wengi na mijadala ya kitaalam, yenye tija. Lakini zama zimebadilika, "tanzania ya viwanda" haiamini kabisa katika hiyo misingi, tunaenda kwa "zidumu fikra za mwenyekitii,,,,zidumuuuu"....kubadilisha hiyo hali kiuhalisia ni zoezi moja gumu mnoo ambalo kwa uzoefu wangu,,,, almost impossible! (kwa hapa kwetu lakini)
 
Serikali inapokubaliana na makampuni binafsi katika kuchimba maliasili wananchi huwa na haki ya kujua kile kilichokubaliwa.

ANGALIA VIDEO:

Meneja wa kampeni Oxfam, Jovita Mlay anasema: “Serikali imeingia kwenye mikataba kadhaa kwenye sekta ya Uziduaji lakini wananchi hawajui ni kitu gani kipo kwenye hiyo mikataba.”

Kikatiba inaelezwa kwamba wananchi wana haki ya kupata taarifa na rasilimali hizi ni mali ya wananchi na Serikali imepewa dhamana ya kuzishika rasilimali hizo, hivyo ni muhimu kwa wananchi kujua na kuelewa ni nini kinafanyika kwenye rasilimali zao na Serikali yao imeingia kwenye mikataba ya aina gani.

Pia upepo wa kiuchumi unaonesha kwamba sekta ya Uziduaji inakua na kuendelea kutokana na teknolojia mpya na makampuni ya uwekezaji yanazidi kuja nchini kwa wingi. Hivyo kutokana na ukuaji huo ni vizuri kuelewa ni mikataba ya aina gani Serikali ya Tanzania inaingia na makampuni hayo ya uwekezaji.

Meneja wa Programu kwenye chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Steven Msechu anasema: “Uwazi wa mikataba kwenye sekta ya Uziduaji ni kitu ambacho wananchi wamekuwa wakidai kwa muda mrefu na tumeona ni kitu muhimu kuwepo kutokana na sababu kadhaa.”

Sekta ya uziduaji ni sekta yenye rasilimali ambazo zinakwisha na ni sekta ambayo katika utekelezaji wake huharibu sana mazingira hivyo ni vizuri kuweka tozo stahiki itakayosaidia baadaye na ili wananchi waifahamu tozo iliyopo ni lazima kuufahamu mkataba unasemaje.

Sekta ya uziduaji imekuwa ikiendeshwa kwa usiri mkubwa na pamoja na kuwepo kwa madini na mafuta kwa kiwango kikubwa lakini bado umasikini ni changamoto kubwa sana.

Kutokana na hali hii ndiyo maana ndiyo maana ni vizuri kujua kwanza mikataba inasemaje na kwa kufanya hivi itakuwa rahisi kuishauri Serikali juu ya nini cha kufanya au kurekebisha.

Thamani ya mkataba haipo kwenye fedha tuu maana yenyewe hubeba fedha na hasara zinazoweza kujitokeza, ikiwemo hatua za kupunguza uharibifu wa mazingira na haki ya uwazi.

Ni msukumo mzuri kwa Serikali kuhakikisha wanaingia kwenye mikataba yenye manufaa kwa wananchi ambao kimsingi ndiyo wamiliki wa rasilimali za taifa.

Uwazi wa mikataba ni njia mojawapo ya kuhakikisha pande zote zinafaidika kwenye shughuli za Uziduaji.

Tanzania ilipitisha sera ya uwazi na uwajibikaji katika sekta ndani ya sheria ya mwaka 2015 na dhumuni kubwa ni kuongeza uwazi na uwajibikaji katika sekta ya Uziduaji.

Sheria inaitaka Serikali kuweka mikataba wazi kupitia Waziri wa madini ambapo kamati ya madini hulazimika kumuhimiza waziri katika kuhakikisha anatekeleza jukumu hilo kwa manufaa ya wananchi.

Mpaka sasa ni miaka takribani 3 tangu sheria ipitishwe lakini mikataba bado haijawekwa wazi. Kutokana na utafiti uliofanywa na HakiRasilimali unaonesha kwamba Wizara ya madini ipo kwenye hatua nzuri ya kuhakikisha mikataba inawekwa wazi.

Asasi za kiraia kupitia mtandao wa HakiRasilimali zinapendekeza kwamba mchakato mzima wa uandaaji wa mikataba uwe wazi, wa haki na wenye ufanisi. Kutokea kwenye hatua za upangaji, utoaji wa zabuni, ugawaji linganifu, na utoaji wa mikataba hadi utekelezaji.

Hivyo wananchi wanashauriwa kuendelea kudai taarifa kuhusu utayarishwaji wa mikataba kwa umma, muundo wa uendeshaji shughuli, mapato, tathmini ya matokeo ya mazingira na mgawanyo wa mapato yanayotokana na shughuli za sekta ya madini, mafuta na gesi.

hii taifa laelekea kufa
 
This is misleading statement with malicious intention. The TEITA Act (2015) is overt about mining, oil and gas contract disclosures. These poor NGOs have self-masked in the old discourse to cheat and continue extracting money from their funders. They are imperialists' agents, period.
 
Uwazi wa mikataba ni njia mojawapo ya kuhakikisha pande zote zinafaidika kwenye shughuli za Uziduaji.
Sipingi hili suala wala la Oxfam kufadhili mkakati wa huu wa kuweka Mikataba wazi. Na msimamo wangu huo unajionyesha wazi kwenye post number 20 ya uzi huu.

Nadhani katika hili, Tanzania siyo kwamba ndiyo inataka kubuni/gundua/invent gurudumu. Nina uhakika gurudumu lilishabuniwa/gunduliwa kitambo. Sasa, ningeomba wenye uelewa na mambo haya ya mikataba...watupe ushahidi, wa Uwazi wa mikataba katika sekta ya Uziduaji (Mafuta, gesi, na Madini) kwa nchi zilizoendelea ikiwemo US, Russia, UK, Spain, France nakadhalika pia na kwa zinazoendelea mfano China, Angola, Etswana (Botswana), Algeria nakadhalika. Hii itatoa motisha ya kwa 'sisi tusiojua mambo haya yanakwendaje' kufuatilia kwa karibu sana.

Natanguliza shukrani.
 
Jinsi ya kutatua matatizo matatu ya Mwl. Nyerere (Ujinga, Umasikini na Maradhi) - JamiiForums
 
Mikataba hata ikiwa wazi watanzania hatupendi kusoma.

Kama tu sheria ardhi ipo wazi ila watanzania wengi hawajui,sheria ya hifadhi ya barabara ipo wazi ila watanzania hawaijui
 
Sipingi hili suala wala la Oxfam kufadhili mkakati wa huu wa kuweka Mikataba wazi. Na msimamo wangu huo unajionyesha wazi kwenye post number 20 ya uzi huu.

Nadhani katika hili, Tanzania siyo kwamba ndiyo inataka kubuni/gundua/invent gurudumu. Nina uhakika gurudumu lilishabuniwa/gunduliwa kitambo. Sasa, ningeomba wenye uelewa na mambo haya ya mikataba...watupe ushahidi, wa Uwazi wa mikataba katika sekta ya Uziduaji (Mafuta, gesi, na Madini) kwa nchi zilizoendelea ikiwemo US, Russia, UK, Spain, France nakadhalika pia na kwa zinazoendelea mfano China, Angola, Etswana (Botswana), Algeria nakadhalika. Hii itatoa motisha ya kwa 'sisi tusiojua mambo haya yanakwendaje' kufuatilia kwa karibu sana.

Natanguliza shukrani.
Ni sawa kabisa; japo siyo lazima tu-copy na ku-paste ila inatusaidia kujua ni ipi njia sahihi ya kupita na kufikia mafanikio. Ndiyo maana wahenga husema "elimu hutafutwa" siyo kusubiri mpaka uletewe.
 
lakini wanasheria wanasemaga mikataba yoote mikubwa ( zaidi ya10m USD) huwa ni confidential? au huwa wanatulisha matango pori?
 
Mkuu anayeweza kuweka wazi mikataba ya madini na gesi naona bado hajazaliwa!!!! Tutasubiri sana!!! Inaelekea kilichoko huko ni aibu tupu!!!!!!
 
S
Tatizo ni utayari wa kuisoma na kuielewa.

Ukweli ni kwamba kama kuna upigaji ni wakati wa kusainishana hiyo mikataba

Wengi mnajua mambo yalivyokua huko nyuma mfano mtu anainflate gharama za ujenzi wa miundo mbinu ili apewe cha juu

Vivyo hivyo ndio imekua kwenye mikataba mingine kama ya madini

ndio maana leo Magufuli analia kila kukicha anajua kilichofanyika na tiyari mikataba imeshasainiwa.

Aiweke wazi hiyo iliyokwisha kusainiwa hata kama kuna kipengele kwenye mkataba kinazuia hilo. Kipengele hicho ni batili hivyo mikataba yote iwekwe wazi!!!!!
 
Mikataba hata ikiwa wazi watanzania hatupendi kusoma.

Kama tu sheria ardhi ipo wazi ila watanzania wengi hawajui,sheria ya hifadhi ya barabara ipo wazi ila watanzania hawaijui
Ndio tatizo lilipo halafu sasa tulivyo gullible atatokea mtu mmoja kujifanya mtaalamu na kupotosha kila kitu kwa maslahi yake na asilimia kubwa kumuamini.

Ni bora kusema wabunge wajengewe kwanza uwezo wa kuielewa hiyo mikataba technically kabla ya kupewa kuisoma. Kwa sasa wengi wao cant even comprehend dynamics za mwekezaji na mwenye mali let alone technical aspects of investment and return. Kwa mazingira hayo ata kama mikataba mibovu kweli wao watakuja na sababu zingine kabisa tofauti na technical issues na kuanzisha balaa lingine.

Rugemalila mpaka leo anasota jela zaidi ya mwaka kwa maneno tu ya wanasiasa kama ingekuwa hela ya serikari kama walivyokuwa wanajiamini mbona mpaka leo awana kesi na walisema JK anawachekea. Be very wary of Tanzanians kabla ya kuwapa nyenzo ambazo kuzielewa shida.
 
Mnampinga mzalendo?
Serikali inapokubaliana na makampuni binafsi katika kuchimba maliasili wananchi huwa na haki ya kujua kile kilichokubaliwa.

ANGALIA VIDEO:

Meneja wa kampeni Oxfam, Jovita Mlay anasema: “Serikali imeingia kwenye mikataba kadhaa kwenye sekta ya Uziduaji lakini wananchi hawajui ni kitu gani kipo kwenye hiyo mikataba.”

Kikatiba inaelezwa kwamba wananchi wana haki ya kupata taarifa na rasilimali hizi ni mali ya wananchi na Serikali imepewa dhamana ya kuzishika rasilimali hizo, hivyo ni muhimu kwa wananchi kujua na kuelewa ni nini kinafanyika kwenye rasilimali zao na Serikali yao imeingia kwenye mikataba ya aina gani.

Pia upepo wa kiuchumi unaonesha kwamba sekta ya Uziduaji inakua na kuendelea kutokana na teknolojia mpya na makampuni ya uwekezaji yanazidi kuja nchini kwa wingi. Hivyo kutokana na ukuaji huo ni vizuri kuelewa ni mikataba ya aina gani Serikali ya Tanzania inaingia na makampuni hayo ya uwekezaji.

Meneja wa Programu kwenye chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Steven Msechu anasema: “Uwazi wa mikataba kwenye sekta ya Uziduaji ni kitu ambacho wananchi wamekuwa wakidai kwa muda mrefu na tumeona ni kitu muhimu kuwepo kutokana na sababu kadhaa.”

Sekta ya uziduaji ni sekta yenye rasilimali ambazo zinakwisha na ni sekta ambayo katika utekelezaji wake huharibu sana mazingira hivyo ni vizuri kuweka tozo stahiki itakayosaidia baadaye na ili wananchi waifahamu tozo iliyopo ni lazima kuufahamu mkataba unasemaje.

Sekta ya uziduaji imekuwa ikiendeshwa kwa usiri mkubwa na pamoja na kuwepo kwa madini na mafuta kwa kiwango kikubwa lakini bado umasikini ni changamoto kubwa sana.

Kutokana na hali hii ndiyo maana ndiyo maana ni vizuri kujua kwanza mikataba inasemaje na kwa kufanya hivi itakuwa rahisi kuishauri Serikali juu ya nini cha kufanya au kurekebisha.

Thamani ya mkataba haipo kwenye fedha tuu maana yenyewe hubeba fedha na hasara zinazoweza kujitokeza, ikiwemo hatua za kupunguza uharibifu wa mazingira na haki ya uwazi.

Ni msukumo mzuri kwa Serikali kuhakikisha wanaingia kwenye mikataba yenye manufaa kwa wananchi ambao kimsingi ndiyo wamiliki wa rasilimali za taifa.

Uwazi wa mikataba ni njia mojawapo ya kuhakikisha pande zote zinafaidika kwenye shughuli za Uziduaji.

Tanzania ilipitisha sera ya uwazi na uwajibikaji katika sekta ndani ya sheria ya mwaka 2015 na dhumuni kubwa ni kuongeza uwazi na uwajibikaji katika sekta ya Uziduaji.

Sheria inaitaka Serikali kuweka mikataba wazi kupitia Waziri wa madini ambapo kamati ya madini hulazimika kumuhimiza waziri katika kuhakikisha anatekeleza jukumu hilo kwa manufaa ya wananchi.

Mpaka sasa ni miaka takribani 3 tangu sheria ipitishwe lakini mikataba bado haijawekwa wazi. Kutokana na utafiti uliofanywa na HakiRasilimali unaonesha kwamba Wizara ya madini ipo kwenye hatua nzuri ya kuhakikisha mikataba inawekwa wazi.

Asasi za kiraia kupitia mtandao wa HakiRasilimali zinapendekeza kwamba mchakato mzima wa uandaaji wa mikataba uwe wazi, wa haki na wenye ufanisi. Kutokea kwenye hatua za upangaji, utoaji wa zabuni, ugawaji linganifu, na utoaji wa mikataba hadi utekelezaji.

Hivyo wananchi wanashauriwa kuendelea kudai taarifa kuhusu utayarishwaji wa mikataba kwa umma, muundo wa uendeshaji shughuli, mapato, tathmini ya matokeo ya mazingira na mgawanyo wa mapato yanayotokana na shughuli za sekta ya madini, mafuta na gesi.
 
Mikataba wanaificha kwa urahisi kwasababu ya lugha
Kweli, waweza kuwa sahihi. Kama kingereza cha kuongea tu ni tatizo sasa nambie utaweza kuelewa mkataba wa madini au gesi wa kingereza? Bora watunze wenyewe hao makaratasi.
 
Ukiona tunafichwa ujue wakubwa wana maslahi yao humo.. Ilianza awamu zilizopita nilitegemea awamu hii wawe wazi kwani tumeambiwa tunapambanana ufisadi

Sasa kama hata uwakilishi wa wananchi tunafichwa, wabunge wetu wanatuwakilisha kisiri siri bila sisi kuona uwakilishi wao tutajuaje ufanisi wao? how do we measure their performance?
Uwakirishi wa mbunge wako sio kupiga kelele bali ni vitendo. Pitapita uone kafanya nini jimboni? This is the best tool to measure his/her perfomance. Unataka umuone kwenye TV live kule Dodoma? Achana na mauzauza amefanya nini? Kama hajafanya chamaana tupa kule 2020. Muulize pia pesa ya jimbo kaifanyia nini? Kama yote kala mwenyewe na familia yake achana nae.
 
Back
Top Bottom