Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

Hongera sana Ngabu. Kila la kheri.
 
mkuu ninakuja huko tareh 18 nina wife wa kinyantuzu.
 
Muree karibu sana Bariadi na hususan karibu saaana Nzagamba Ya Migato Guest House.

Na vile unapenda ku cum....basi hapo uta multiple cum kila siku utayokuwepo!
Kumbe huyu bibie anapenda ku cum!!? Lol! Nimejua leo btw hongera kwa kumiliki guest house.
 
Kumbe huyu bibie anapenda ku cum!!? Lol! Nimejua leo btw hongera kwa kumiliki guest house.
Hii Guest ni ya mzee Ng'ubishi wa kijiji cha Migato.Inamilikiwa na familia au washaiuza? Kijana wake mkubwa anaitwa Gata (Leonard Ng'ubisi) alinifundisha mwaka 2004 pale kanadi.

Huyu jamaa sijui alipoteleaga wapi,au ndio wewe nyani Ngabu?
Hii guest imejengwa sjui niko la ngapi,maana ilipigwa X mara yakatokea mengi sana.Wamiliki wa hii guest nafaham mpaka kwao kijijini migato.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom