Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

Watoto wazuri wapo ? Na bei gan ? nna mpango wa kuja huko mwez wa 3
 
Napajua hapo make umetazamana na Saloon ya Jose mi nadhani ndo kinyozi bora bariadi mzima.Hajawahi kuniharibia ndevu zangu.Nilibahatika kurejea ntakuja mkuu.
 
Hello wanaJF, Naomba kuzijua cheap Guest House za Bariadi mjini na bei zake ikiwezekana
 
Nimeishi hapo sima B, palinishinda wanaloga sana ila angalau now pamechangamka na wagen wengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom