Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

Za siku bibie

Muree karibu sana Bariadi na hususan karibu saaana Nzagamba Ya Migato Guest House.

Na vile unapenda ku cum....basi hapo uta multiple cum kila siku utayokuwepo!
 
Natumai nyote mna jioni njema kabisa kama ilivyo kwa upande wangu.

Napenda kutumia fursa hii kuwataarifu nyote kuwa iwapo ikatokea unakuja mjini Bariadi kwa shughuli yoyote ile, iwe kikazi, kibiashara, au hata kubanjuka na mchepuko wako basi Nzagamba ya Migato Guest House ndo pahala pako.

Hii ni guest house yangu mimi mwenyewe Ngabu. Yaani mimi ndo owner na operator.

Hivyo usalama wako na faragha yako ni 100% guaranteed.

Tuna all year round special kwa wanaJF wote.

Ukiitaja tu JF unapata punguzo la bei la asilimia 50.

Karibuni sana, karibuni nyote.

Nzagamba ya Migato Guest House baby.

View attachment 492043
Mi nafikiria kuja huko next week ila nitafutie mganga kiboko unayemwamini nataka nije nimroge mzee yule ili alegeze geji.[emoji12]
 
Kaka iko sehemu gani? Si unajua kwetu huko.......

Somanda
Kidinda
Sima
Malambo or?

Location please bro
 
Nitakuja jumamosi na mchepuko no. 1, then pasaka naleta ticha wa kinang'weli
Ila shoo zingine popoooooz
 
Mi nafikiria kuja huko next week ila nitafutie mganga kiboko unayemwamini nataka nije nimroge mzee yule ili alegeze geji.[emoji12]
Hamna neno...ntakupeleka kwa mzee Masali Msakamali...huyo ni kiboko yao.
 
Zagamba ni mbaya sana kwanza ina kunguni kwa wingi. Kuna gest nzuri kama kitwima gest pako fresh sana
 
Duuh Ngabuuuu umeamua kujitangazaaaaa mwenyeweee saafi saana umesikika..
 
Hebu tupia mazingira ya ndani mkuu, tusijetukauziwa mbuzi kwenye gunia
 
Hapo nadhani ndipo kinapatikana kijiji cha wachawi ..gambooshi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom