Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

Hahahaaaa Ngabu umenikumbusha mbali sana, nimeshalala hapo enzi zileee milango ya vyumba ikiwa ya magrill sababu ya wizi, namjua mzee anayesimamia, kama ni wewe mkuu tutafutane tuangalie fursa na changamoto za mji wetu wa Bariadi.
 
kw
Natumai nyote mna jioni njema kabisa kama ilivyo kwa upande wangu.

Napenda kutumia fursa hii kuwataarifu nyote kuwa iwapo ikatokea unakuja mjini Bariadi kwa shughuli yoyote ile, iwe kikazi, kibiashara, au hata kubanjuka na mchepuko wako basi Nzagamba ya Migato Guest House ndo pahala pako.

Hii ni guest house yangu mimi mwenyewe Ngabu. Yaani mimi ndo owner na operator.

Hivyo usalama wako na faragha yako ni 100% guaranteed.

Tuna all year round special kwa wanaJF wote.

Ukiitaja tu JF unapata punguzo la bei la asilimia 50.

Karibuni sana, karibuni nyote.

Nzagamba ya Migato Guest House baby.

View attachment 492043
kwa picha tu nahisi inanuka k na mikojo ya katerero
 
Napafahamu hapa!kunguni wameisha?
 
We Nyani Ngabu kumbe hua upo hapo tu Bariadi? sawa bhana nikija ntakucheki.nina mchepuko huko wa kinyantuzu umekwenda hewani mithili ya ngongoti japo mimi nipo huku chini kwenye magoti yake.karibu The RockCity
 
Nani huyo? Lucy aka Ms. Bariadi wa zamani?
 
Natumai nyote mna jioni njema kabisa kama ilivyo kwa upande wangu.

Napenda kutumia fursa hii kuwataarifu nyote kuwa iwapo ikatokea unakuja mjini Bariadi kwa shughuli yoyote ile, iwe kikazi, kibiashara, au hata kubanjuka na mchepuko wako basi Nzagamba ya Migato Guest House ndo pahala pako.

Hii ni guest house yangu mimi mwenyewe Ngabu. Yaani mimi ndo owner na operator.

Hivyo usalama wako na faragha yako ni 100% guaranteed.

Tuna all year round special kwa wanaJF wote.

Ukiitaja tu JF unapata punguzo la bei la asilimia 50.

Karibuni sana, karibuni nyote.

Nzagamba ya Migato Guest House baby.

View attachment 492043

Hahahahahhahaaa hahahahahahahah weeweeee

Neidudbdbdhdndiduxydbdbsnsksidusushsbsgysw982727263hebdnndkxos92827e7e63gevsbbdkxos9w8272726eyvebfjxidi8d7dyehebendod9d82u36e6egevbdjxosow9w8w7ey3hegdbndodo....
 
You're a liar. I know the owner of Nzagamba ya Migato nearby Sunga Kingdom. The owner doesn't know even how to speak Swahili. When did the man joined jf???
 
Umezindika hiyo gesti yako mkuu? Maana Bariadi kwa mambo ya Chimba Fukia wanajiita Iddi.
 
You're a liar. I know the owner of Nzagamba ya Migato nearby Sunga Kingdom. The owner doesn't know even how to speak Swahili. When did the man joined jf???
Anazingua huyu Mpuuzi, ameona MIAFRIKA WAJINGA SANA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom