Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

Nikishuka stand ya Salunda naelekea wapi?, iko mtaa upi karibu na wapi?
Ukishuka hapa Salunda unafuata hii barabara ya lamo kama unaelekea Sima CCM halafu yenyewe itakuwa mkono wa kulia...imepakana na Sunga Kingdom Hotel...

IMG-20170331-WA0017.jpg


IMG-20170331-WA0052.jpg
 
Maana ya hayo maneno ni nini?, hongera sana kwanza. Alafu ungesema mapema, loh!.. Wiki iliyopita nimepita hapo na usafiri wa matairi mawili kuelekea shy town, ningesimama niwasalimie wahudumu hapo...aisee
 
mkuu lakini ungetumia camera nzuri,

afu piga picha za ndani mkuu tuone kukoje
 
Mkuu,niko nyakabindi,kesho ntakua hapo mjini..niandalie self yangu nzuri
uturushiepo kapicha bas ukikutana na Ngabu na vile alivyojazia [emoji23] mzee wa misuli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom