Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

Wana jf kuna punguzo? Sasa wataamini vip au ni mambo ya kuonesha ID??
Punguzo kwa wanaJF ni asilimoa 50.

Ni kutaja tu ID yako....halatu tunakupa tablet una log in ili kuthibitisha you are who you say you are....bingo!
 
I knoow but Simiyu mbali chief. Ukijenga kama hiyo Dar nitakua mteja wa kwanza [emoji8]
Oh word?

I like the sound of it.

Ila Simiyu si mbali kivile kama ukipanda ndege mpaka MZA halafu unachukua basi mpaka BRD....masaa mawili tu ushatia timu.
 
Nadhani mnaweza kunisaidia utalii wa Ndani.ya Bariadi..mfano nataka Kufika Gamboshi nimuone Mwanamalundi...nipate uchawi nafanyaje kutokea hapo Nzagamba....?
 
Nadhani mnaweza kunisaidia utalii wa Ndani.ya Bariadi..mfano nataka Kufika Gamboshi nimuone Mwanamalundi...nipate uchawi nafanyaje kutokea hapo Nzagamba....?

Unaweza ukakodi gari, bajaji, bodaboda, au baiskeli na sisi tutakupatia na tour guide kabisa.
 
Punguzo kwa wanaJF ni asilimoa 50.

Ni kutaja tu ID yako....halatu tunakupa tablet una log in ili kuthibitisha you are who you say you are....bingo!
na wewe hao wahudumu wako wanakujua kwa hii ID ya jf a.k. USA baby
maana nikifika ntataka kuonana na owner wa hotel
 
Ukishuka hapa Salunda unafuata hii barabara ya lamo kama unaelekea Sima CCM halafu yenyewe itakuwa mkono wa kulia...imepakana na Sunga Kingdom Hotel...

View attachment 492053

View attachment 492054
Hahah kumbe gesti nayo ni "mkabala na" kama zile college za daslam,vipi mnatoa huduma ya BnB,alafu around hapo watoto wazuri wanapatikana,mana ntakuja peke yangu na sitaki yankute kama yalonkuta musoma.
 
na wewe hao wahudumu wako wanakujua kwa hii ID ya jf a.k. USA baby
maana nikifika ntataka kuonana na owner wa hotel
Oh yeah...wananijua.

We ukifika mapokezi unawaomba kuonana na bosi halafu utaletwa huku nyuma ofisini kwangu....[emoji6]
 
Nakuja huko next week nampitia shemeji yako anafundisha dutwa sekondari, nakuja kumtafunia hapo nzagamba, uniandalie wine ya kutosha.
 
Natumai nyote mna jioni njema kabisa kama ilivyo kwa upande wangu.

Napenda kutumia fursa hii kuwataarifu nyote kuwa iwapo ikatokea unakuja mjini Bariadi kwa shughuli yoyote ile, iwe kikazi, kibiashara, au hata kubanjuka na mchepuko wako basi Nzagamba ya Migato Guest House ndo pahala pako.

Hii ni guest house yangu mimi mwenyewe Ngabu. Yaani mimi ndo owner na operator.

Hivyo usalama wako na faragha yako ni 100% guaranteed.

Tuna all year round special kwa wanaJF wote.

Ukiitaja tu JF unapata punguzo la bei la asilimia 50.

Karibuni sana, karibuni nyote.

Nzagamba ya Migato Guest House baby.

View attachment 492043
Mkuu kuna kitu cha sunga kingdom ndio habari ya bariadi..nzagamba ya migato ilikua kipindi hicho...
 
Mkuu kuna kitu cha sunga kingdom ndio habari ya bariadi..nzagamba ya migato ilikua kipindi hicho...

IMG-20170331-WA0017.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom