Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,476
- 119,290
Natumai nyote mna jioni njema kabisa kama ilivyo kwa upande wangu.
Napenda kutumia fursa hii kuwataarifu nyote kuwa iwapo ikatokea unakuja mjini Bariadi kwa shughuli yoyote ile, iwe kikazi, kibiashara, au hata kubanjuka na mchepuko wako basi Nzagamba ya Migato Guest House ndo pahala pako.
Hii ni guest house yangu mimi mwenyewe Ngabu. Yaani mimi ndo owner na operator.
Hivyo usalama wako na faragha yako ni 100% guaranteed.
Tuna all year round special kwa wanaJF wote.
Ukiitaja tu JF unapata punguzo la bei la asilimia 50.
Karibuni sana, karibuni nyote.
Nzagamba ya Migato Guest House baby.