Uwanja wa KIMATAIFA Chato ulipokea wageni wa kimataifa mara ya mwisho mwaka 2021

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,662
Uwanja wa hadhi ya kimataifa, haujapata ugeni wowote wa kimataifa tangu Mzee wetu JPM afariki mwaka 2021. Hakuna watalii Wala tukio lolote la kimataifa.

Kwa nini ulijengwa kwa hadhi ya kimataifa na mataifa hayafiki hapo uwanjani?

Au walijengewa watu wa mataifa(wakristo watanielewa)
 
Bila picha huu ni upumbavu na roho ya kishetani imo ndani yako.
Roho ya kishetani imo kwa aliyepeleka international airport Chato huku wananchi wake hawana maji ya kunywa!!

Uwanja wa bilioni 59 unaanikiwa mpunga na watu hawana maji?

Stendi kubwa kuliko zote haina hata daladala moja huku watu hawana maji na wanakunya ziwani?

Nyie watu mna laana!
 
Wewe na akili zako kweli unamsikiliza na kumwamini Shoga Lissu!!?
Je nyiye mlioruhusu ushoga kila mkoa Wana uongozi wao na wahamasishaji mpaka wilayani siyo mashoga nyiye

Mmeruhusu ushoga na kutuharibia vijana wetu mwakyembe aliwaumbua nyiye tena mnyamaze
 
Roho ya kishetani imo kwa aliyepeleka international airport Chato huku wananchi wake hawana maji ya kunywa!!

Uwanja wa bilioni 59 unaanikiwa mpunga na watu hawana maji?

Stendi kubwa kuliko zote haina hata daladala moja huku watu hawana maji na wanakunya ziwani?

Nyie watu mna laana!
Weka picha tuone wakianika huo mpunga.
Bila picha bado utaendelea kuoneka ni mnafiki
 
Marehemu alikua Raisi wa hovyo kuwahi kutokea katika nchi hii.

Hashauliki haambiliki visasi udikteta utesi uongo propaganda ukabila ukanda roho ya kwa nn n.k

“Waliokua wanaishi kama malaika wataishi kama mashetani “

Wtf?🥸🥸

Malaika mpeni kichapo huyo mshamba hadi akome.
 
Back
Top Bottom