Habari za udaku hizi!
Miaka nane yuko la kwanza au la pili anatakiwa shuleni anagombea nini? does not make sense!
Wanaomchagua katoto hako ndio wasio na akili hata kidogo
Kama itakuwa kweli basi this the end of CCM nahisi ni udaku so far ! lets wait and see.
Ha ha ha ha ha. Mtoto wa nyoka ni nyoka tu. Lakini kweli last born wa Salma na Jakaya ana umri gani?
Mama Salma , kazi unayo.
Hata hivyo, ni uhuru wake kugombea. Hakuna mahali katiba imesema mtoto wa kigogo asigombee uongozi kama amekidhi vigezo. Ni uamuzi wa wapiga kura kumchagua au la. Ila nifahamuvyo watanzania wanasiasa hasa SSM wana woga na wanataka kujipendekeza, hivyo sitashangaa wakimchagua. Yetu macho.
hebu tuamke tuache mawazo mnato. hivi kuna mtu anakazwa kugombea?
Acheni ujinga na kupotosha nimefatilia si kweli mtoto wa JK anagombea nafai hiyo tuache majungu
kweli kabisa sijui nini kinasababisha kuwapigia kura?Jamani ya Mbongo wa Gabon,sasa mtoto raisi nahisi yanakuja TanzaniaTatizo si yeye kugombea. Tatizo ni nyinyi makabwela kumpigia kura!
Amandla........
Hii cheo iko siku nyingi sana.....1983 nikiwa STD VII mwenyekiti alikuwa Frank Uhalula...last time alikuwa mkuu wa wilaya somewhere
Mie nasubiri Mbwa wa Kikwete au Paka au house girl, ALETWE KUGOMBEA.
CHEO.
Mkuu Tumaini
uenyekiti wa chipukizi taifa upo na mwisho wa umri wa kugombea ni 14 yrs. Mwenyekiti anayemaliza muda wake anatoka shinyanga jina nimemsahau kidogo