D_ullah
Member
- Jul 21, 2022
- 20
- 18
Habai wnaJF!
Embu tutafakari kwa pamoja juu ya hili suala la CCM Chipukizi wadau tusaidiane kufikiri, umri ambao mtoto anatakiwa ajengewe uwezo wa kifikra na kitaaluma, muda wa mtoto kuwa mtoto lakini CCM pamoja na wazazi wa watoto wanaona kuwajenga watoto katika siasa.
Kiaikolojia imekaaje? Na je katika umri huo hawa watoto walikua na uweso wa kujiamulia kuwa ccm au ni wazazi wao waliwajengea hio njia, wadau wa watoto na wataalamu watuambie kiathari na vipi hili suala lina tija kwa taifa kuwaandaa watoto kuwa wanasiasa badala ya wataalamu!?