Mwenyekiti wa chipukizi Taifa anaweza kufokewa na Mkuu wake wa Shule?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,622
15,950
Kama tunavyojua Mwenyekiti wa Chipukizi taifa bado ni mtoto anasoma tena itakua shule ya msingi.

Sasa kwa upuuzi huu wa CCM kumpa cheo huyu mtoto hivi walimu wake darasani au hata mwalimu mkuu watakua na ujasiri wa kumkemea anapokosea au kumrekebisha kama mtoto au mwanafunzi?

Tuendelee kushangaa upuuzi wa CCM.
 
Kama tunavyojua Mwenyekiti wa Chipukizi taifa bado ni mtoto anasoma tena itakua shule ya msingi.

Sasa kwa upuuzi huu wa CCM kumpa cheo huyu mtoto hivi walimu wake darasani au hata mwalimu mkuu watakua na ujasiri wa kunkemea anapokosea au kumrekebisha kama mtoto au mwanafunzi?

Tuendelee kushangaa upuuzi wa CCM.
Hawasomi hizo shule mnazosoma nyinyi 😂😂..
Kwamba kufundishwa mpaka ufokewe 😂😂
kuna shule nyingi tu zipo na zingine zina mtaala wa Cambrige nyingine Ni hybrid curriculum na nyingine mtawala wa Tanzania lakini Walimu wanafundisha kwa kufuata kanuni, sheria na Haki za binadamu bila kusababisha Psychology demage..

Mwanangu wa mwisho ambaye sasa yupo chuoni alisoma mojawapo wa hizo shule..
Mwalimu hawezi kumfokea mwanfunzi na wanafundisha kwa upendo sana
 
Kwanini afokewe?
 
Shule kama Feza boy watoto hawafokewi au kuchapwa sana, shule za kidumu na mfagio ndio kuna mambo ya kufokeana na kupigwa bakora mpaka uchanganyikiwe.
 
Mnadanganyana sana
 
Shule kama Feza boy watoto hawafokewi au kuchapwa sana, shule za kidumu na mfagio ndio kuna mambo ya kufokeana na kupigwa bakora mpaka uchanganyikiwe.
Sahihi

Wengi wa hao watoto walioshinda wanatoka shule zisizofokea mtoto za private ambazo mtoto na Mwalimu ni marafiki sio maadui na Mwalimu anafundisha sana mwanafunzi aelewe na mtoto anasoma sana aelewe Kwa hiyo agenda za Mwalimu na mianafunzi zinashabihiana tofauti na shule za public Mwalimu anafundisha sana mitoto haitaki kusoma ndio inalazimisha Mwalimu kufoka na kutumia viboko akiwa kachanganyikiwa anaogopa kutoa failures
 
Hawasomi hizo shule mnazosoma nyinyi 😂😂..
Kwamba kufundishwa mpaka ufokewe 😂😂
kuna shule nyingi tu zipo na zingine zina mtaala wa Cambrige nyingine Ni hybrid curriculum na nyingine mtawala wa Tanzania lakini Walimu wanafundisha kwa kufuata kanuni, sheria na Haki za binadamu bila kusababisha Psychology demage..

Mwanangu wa mwisho ambaye sasa yupo chuoni alisoma mojawapo wa hizo shule..
Mwalimu hawezi kumfokea mwanfunzi na wanafundisha kwa upendo sana
Mtoto wako amekudanganya.
 
Hawasomi hizo shule mnazosoma nyinyi ..
Kwamba kufundishwa mpaka ufokewe
kuna shule nyingi tu zipo na zingine zina mtaala wa Cambrige nyingine Ni hybrid curriculum na nyingine mtawala wa Tanzania lakini Walimu wanafundisha kwa kufuata kanuni, sheria na Haki za binadamu bila kusababisha Psychology demage..

Mwanangu wa mwisho ambaye sasa yupo chuoni alisoma mojawapo wa hizo shule..
Mwalimu hawezi kumfokea mwanfunzi na wanafundisha kwa upendo sana
Mkuu kwa maadili yetu ya kitanzania mtoto lazima afunzwe adabu. Huoni tunapoelekea ni kubaya ile tabia ya mtoto kusema anachoamua ni yeye binafsi mzazi hupaswi kumpangia?
 
Back
Top Bottom