Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Kwanza hata kuteuliwa ktk nafasi hiyo inaonyesha dhahiri wanvyolindana.Mwaka jana ndo alifukuzwa bungeni kwa SHINIKIZO la wabunge leo yupo tena.tunamwomba Rais Magufuli asafishe uozo uliofanyika kwenye utoroshwaji wa fedha za umma ambazo zingineJakaya alikataa kuwa siyo za umma,wanyama kupandishwa kwenye ndege, mikataba mibovu kwenye migodi ili tuzidi kujenga imani na kazi unayofanya ya kumbua mjipu.
ashaambiwa sanaa haya mambo na kina mnyika bungeniiii
rais hashauriki mkuu yeye ndo mfalme wetu....
 
Haya kumekucha Prof Muhongo matatani tena ahusika na kumtumia meseji yule mama mkurugenzi wa wakala wa vipimo.Mkurugenzi amtaja live uliambiwa hili ni jipu, ukakataa linakutumbukia asubuhi mapema.

Kazi kwako sasa

===================

Chanzo: Mtanzania

kwann Prof. Muhongo amtumie msg huyo mama Chuwa? wana uhusiano gani? tuache kumchafua Prof. kwa vinyongo jamani. Huyu mama hayupo wizara ya Prof., hawana udugu na hata urafiki ila nionacho mm ni kutoelewana kwa Prof. na Mngi.ndio mwenzie bado anamtafuta kwa kumchafua kwa mapandikizi

hizo meter hazifanyi kazi miaka 5 sasa kama sikosei Prof. ameingia serikalin 2012.
 
....That's mean Magdalena chuwa aliwekwa chini / undercontroled na mabosi waandamizi! ktk kutimiza UTII NA NIDHAMU KAZINI.SHE IS INNOCENT.
 
ataikataa hiyo sms kwamba wabaya wake hasa ukawa, wame hack # yake ya simu! muda utasema..
 
kwann Prof. Muhongo amtumie msg huyo mama Chuwa? wana uhusiano gani? tuache kumchafua Prof. kwa vinyongo jamani. Huyu mama hayupo wizara ya Prof., hawana udugu na hata urafiki ila nionacho mm ni kutoelewana kwa Prof. na Mngi.ndio mwenzie bado anamtafuta kwa kumchafua kwa mapandikizi

hizo meter hazifanyi kazi miaka 5 sasa kama sikosei Prof. ameingia serikalin 2012.

Tusilete siasa kwenye mambo ya msingi.
Mengi hapa ameingiaje?
Yani nyie ndio miaka yote mnatudanganya kua Makampuni ya IPP yanaongoza kwa kukwepa kodi kumbe mlikua mnayapigavita kwa jinsi yanavyofichua uovu wenu na marafiki zenu.

Yule mama ametamka mwenyewe live kuwa Amepokea msg kutoka kwa Prof.Muhongo.
Wewe unafikiri yule mama kwa madaraka na nafasi aliyo nayo hana namba za simu za Prof. Muhongo?
Na kwa nini huoni kuwa Muhongo anajua jambo hilo wakati Mafuta yanayopita pale yako chini ya wizara yake!?
Tangu lini Mengi akaingia kwenye baraza la mawaziri na kujua kuwa waziri mkuu amekwazwa na kufungwa kwa miaka mitano kwa flow meter kule bandarini na kupanga ziara ya kushtukiza ili abaini yanayotokea?
Mengi aliijuaje hiyo ziara ya kustukiza ili aweze kumhujumu Prof.Muhongo?

Wewe huoni na iko dhahiri kuwa landa Prof alikua anataka kumsaidia Mwizarubi ili asishtukizwe na Waziri mkuu na hali ikawa ni mbaya zaidi?
Na pia kwa nini tusiomlaumu Prof. Kwa kutoa siri za utendaji wa serikali?
Kama ni kweli hiyo msg imetoka kwa Prof.Muhongo, atakua na tofauti gani na askari polisi anayetoa siri za utendaji kwa wahalifu ili wasikamatwe?

Na ndugu yangu usije ukamwamini mwanasiasa yoyote kuwa yeye ni mwema kwa sababu ya Elimu yake.
Ikiwa ni hivyo basi wasomi wote wataenda peponi.
Binadamu wote wanahulka ya ubinafsi na hawaridhiki na walicho nacho hata akisoma vipi na ndio maana hata Prof. Muhongo hakuridhika na elimu aliyokuwa nayo mpaka akaamua kusoma mpaka kuwa profesa. Muhongo ni binadamu kama binamu wengine. Huwezi kusema kila analofanya jema ndio la kwake lakini baya anasingiziwa!!! Humtendei haki Mengi kwani hata yeye anayo mema na mabaya yake !
Hata hivyo unapotumikia umma ni lazima ufanye kazi kwa kufuata sheria na unapofanya fyongo basi unapaswa kuwekwa pembeni.

Hapa ndio tutakapo mkumbuka Mh. sana Bernad Membe kwa kuweka wazi kuwa ni rahisi kwa rais kumwajibisha mtu ambaye hakumchagua lakini pia ni vigumu sana kumwajibisha mtu ambaye umemchagua na kumpa madeaka.
 
Kweli kwa stail hii mhongo atakuwa jibu aise
1455364549164.jpg

Muhongo
Niwakati wako sasa
 
Kama UN wanamlilia kwanini anakubali kuja kufanya kazi tanzania na kulipwa ela za madafu?awache kutudanganya sisi watu na akili zetu bhana

Mmawia;
Hushangai mpaka anakubali mpaka kwenda vijijini kwenda kuwapigia magoti wampe ubunge. Nakwambia huo uwaziri kuna kitu si bure.
 
Mmawia;
Hushangai mpaka anakubali mpaka kwenda vijijini kwenda kuwapigia magoti wampe ubunge. Nakwambia huo uwaziri kuna kitu si bure.
Ni kweli kabisa mkuu, wizi wa namna hiyo ndio unawafanya wautafute ubunge kwa kila hila ili kuingia ikulu
 
Ni kweli kabisa mkuu, wizi wa namna hiyo ndio unawafanya wautafute ubunge kwa kila hila ili kuingia ikulu

Hivi kweli jiulize, Dewji ana shida gani mpaka agombee udiwani?? Ka ni uongozi, si angali anzia basi hata ubunge na kina Kubenea?? Huko hakutaka, kaanzia chini, Udiwani. Aupate Umeya wa Darisalama baas. Tusipokuwa macho, hakika tutauzwa mchana peupeeeee.
 
Mkuu hii nchi ni zaidi ya inavyo onekana machoni mwetu,nchi imegeuzwa kichaka cha kwenda kuchanja kuni
 
Huyu ni jpu toka kpnd kleee cha ileserkal isyo na macho
 
Back
Top Bottom