Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Kawaida ya Jipu ni kwamba muda ukifika hata usipolitumbua litapasuka lenyewe.


Hili limeshapasuka.. Kasi iliyobaki ni Kusafisha tu Kidonda.



Mzee!
 
Kauli ya membe inatimia kuwa jpm anawatumbua watumishi ambao hajawateua yeye na tuone atakao wateu yeye majaliwa alisema apewa jina la aliye tuma sms haya kapewa jina waonyeshe misuli sasa
***********************************************
....mna macho lakini hamuoni...
Ni wapi ambapo palitumbuliwa pakakosa A REAL EVIDENCE?&FACTS OR LIVES!
Unafiki ni mbaya sana !
 
Mbona watu wote huwa tunatumiana SMS?, acheni hizo, huyo mama alikosa point ya kujitetea akaona amsingizie mzee wa watu
Wewe ndo umekosa point ya kumtetea huyo mtu wako, unadhani serikali inafanya kazi kinyemela eee, hilo jina lako kwanza siwezi shangaa
 
Government makini haifanyi kazi kwa kukurupuka! Kama kweli Muhongo alikuwa na taarifa za muda mlefu kuwa meter hazifanyi kazi na akaacha waendelee kukisia vipimo hili ni tatizo.
Ila nadhani amepata taarifa za ghafla kuwa kuna meters hazifanyi kazi naye kwa kudhani anatatua tatizo on the sport ndo akaagiza within 24hrs zifanye kazi..
Bila kujua tangu lini hazifanyi kazi na kwa nini...
 
Natabiri hivi;

Magufuli na majaliwa watalipotezea hili....

They can not put him responsible....
Mkuu wala usitabiri. Ndo ishakuwa hivyo.

Baada ya mama wa watu kusimamishwa kazi.... ujue ndo mbuzi wa kafara kishaelekezwa kiblah
 
Government makini haifanyi kazi kwa kukurupuka! Kama kweli Muhongo alikuwa na taarifa za muda mlefu kuwa meter hazifanyi kazi na akaacha waendelee kukisia vipimo hili ni tatizo.
Ila nadhani amepata taarifa za ghafla kuwa kuna meters hazifanyi kazi naye kwa kudhani anatatua tatizo on the sport ndo akaagiza within 24hrs zifanye kazi..
Bila kujua tangu lini hazifanyi kazi na kwa nini...
Wakati yeye ndo alizifunga akiwa waziri kwenye serikali ya utalii wa nje??
 
Jamani jinamizi likikuandama halikuachi mpaka utubu dhambi ya awali. ESCROW alinasa akanasuliwa je hili mafuta atatokea wapi? Nani atamsafish? Kma sio eneo lake la kazi ilikuwaje atoe agizo la kufunguliwa pump? Hii nchi ( njii hii) kweli ni mazingaombwe.

Inanikumbusha habari ya jamaa mmoja alikuwa na katabia ka udokozi katika nyumba ya kuabudia. Alidokoa mpaka watu wakamstukia wakamkata. Ijulikane kwamba yeye ndio alikuwa ameaminiwa na waumini wote na kupewa jukumu la kusimamia ukusanyaji nakutoa report kila wiki kabla ya kuzikabidhi ngazi za juu.

Mara ya kwanza alipokamatwa aliomba msamaha viingozi wakamsamehe wakayamaliza kimyakimya lakini akaachwa aendelee na majukumu yake. Panya ni panya tu. Baada ya muda mfupi tu akarudia tena kale kamchezo.

Waumini wakastuka tena.Mbona mambo kama yamejirudia? Wakaweka mtego tena. Hii siku aliiba kumbe kaiba fedha iliyokuwa chambo. akanaswa red handed! Hakuwa na la kusema kawa mdogo kuliko piriton tablet.

Kachukua tu simu yake kamtumia mshirika wake msg "Wamenikamata tena" Tangu siku ile hakuonekana tena katika nnyumba ile ya kuabudia. Alihama mtaa kimyakimya kusave aibu. Muhongo jiondor usingoje kupigiwa kelele km wakati wa ESCROW aibu yako.

AIBU AIBU AIBU KWA KIONGOZI
 
Si yeye tu hata na katibu mkuu wake aondoke. Kwa kifupi mungu humfichua adui alipo daima. Na siyo ajabu magufuli akafunika kombe ili lipite. Akifanya hivyo asije lalama juu ya hujuma atakazofanyiwa mbeleni. Magufuli watrench tra, TPA na usalama wa taifa kwani wanafanya Kama awamu ile iliyokuwa ikiishi angani.
 
Muhongo ni jipu la utosi tangu enzi za escrow.
Tuone kama Rais ataweza kulitumbua.
 
Mbona watu wote huwa tunatumiana SMS?, acheni hizo, huyo mama alikosa point ya kujitetea akaona amsingizie mzee wa watu
Huwezi kutoa maagizo ya kazi za serikali kwa sms! Why asingemtumia email ya kikazi?
 
12669658_1237775639585288_978554263339994292_n.jpg

Haya kumekucha Prof Muhongo matatani tena ahusika na kumtumia meseji yule mama mkurugenzi wa wakala wa vipimo.Mkurugenzi amtaja live uliambiwa hili ni jipu, ukakataa linakutumbukia asubuhi mapema.

Kazi kwako sasa
alimtumia sms kumwambia nini?
 
Watu tulisema kumrudisha muhongo nia dhambi kwa watanzania, watu wakamtetea weee, hata wakati sakata la escrow kuna waliomtetea eti anahujumiwa? Khaaa mtu uibe fedha za uma na bado wapambe wanasema unaonewa wivu? Mbaya sana akapewa ubunge na watanzania sisi sijui nani katuroga, leo hii huyu hapa uso kwa uso, sijui wanaompenda kama hata watathubutu kunywa nae chai.
 
Back
Top Bottom