Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Naweza kuorodhesha Mawaziri zaidi ya kumi wa awamu hii nisiowaamini na kamwe Muhongo hawezi kuingi kwenye orodha hiyo.
mazezeta ndio watakaomtetea lakini watanzania hawana imani nae. Ni jizi tu kama majizi mengine hakuna namna kuepuka kuoshwa hilo donda ndugu.
 
Anahujumu kupitia nyie vibaraka wake.....mnashangilia utadhani nini sijui.
mwizi ni mwizi tu ata mungu humumbua siku ya 40. Ata utete kwa namna gani hili ni donda ndugu na ninakuombea kwa mungu rais wetu mtiifu magufuli umshuhulikie hili donda ndugu.
 
Hii kitu inashangaza sana lakini inatokea. Mama Tibaijuka alikuwa Exec Director wa UNHABITAT pale Nairobi. Ukiongea na watu waliofanya naye kazi wanadai muda wote alikuwa na "political ambition" kubwa sana. Mara nyingi akitimkia Tz kuweka sawa mustakabali wake ndani ya CCM. Wengine wanadai kumsikia akidai CCM iko ndani ya damu. Nafikiri si suala la pesa tu labda kama alikuwa akifikiria utajiri wa kitisho kupitia mianya ya ufisadi. Maana mshahara na mafao ya UN yanakuweka vizuri lakini hayakutajirishi.

Kwa Prof. Muhongo alitafuta sana kazi za "kiwango chake" nje lakini hakufanikiwa. Kwa vile amekuwa na uhusiano mzuri na serikali basi kaamua kukaa karibu ashiriki "kujenga taifa".
Siasa ikikuingia akilini na kuamua iwe kazi ya kukuendeshea maisha, uankuwa nusu mwehu, hawa watu wasingetakiwa kuchafua hivi kwa kashfa kama kweli elimu waliyoipata wangeitumia kwa kujenga nchi, ulafi na kupenda umaarufu kumewafikisha hapa, nafikiri wanapenda tu kuitwa waheshimiwa.
 
''Kwa namna yoyote ile sitatoa siri za baraza la mawaziri" Amen kubwa tu. Wote tumesikia akitajwa kutuma sms kwa mtu aliyekwisha simamishwa kupisha uchunguzi.Siamini sana kama bwana huyu atafumbiwa macho kwa mara ya pili.Naona kazi yake itakuwa ngumu sana kutokana na hili,sijui atakiepuka vipi kikombe hiki kilichojaa siki.Naiona safari yake ikifuata nyayo za Maswi tu hata kama ni mzuri vipi kwenye taaluma ya miamba.
 
Ha ha ha mkuu umenikumbu

Ha ha ha mkuu umenikumbusha hiyo nyimbo nimekumbuka mambo mengi sana, wacha niitafute
Hiki kiswahili chenu cha kisasa hebu tizameni,na hasa Diamond na kina nyie,mmoja ni wimbo nyie mna ita nyimbo, sasa zikiwa nyingi ndio mta itaje,,a kwenye hili Daimond ndio mharibifu mkubwa,mbwembwe nyingine hazina maana.
 
Kauli ya membe inatimia kuwa jpm anawatumbua watumishi ambao hajawateua yeye na tuone atakao wateu yeye majaliwa alisema apewa jina la aliye tuma sms haya kapewa jina waonyeshe misuli sasa

utakuwa na mtindio kusikia chochote cha membe!
 
Muhongo alikosea na anapaswa kuwajibishwa, kuonywa na kukosolewa

alichemka big time
 
Kundi la majipu ndio linalokaa chini kutaka Mheshimiwa Mhongo aondolewe na tunamtahadharisha sana Rais asichukue hatua yoyote huyu mtu ni hazina ya taifa yote haya ni kwa kuwa wamedhibitiwa vilivyo na mwaka huu mtaipata kwa wizi wenu mpaka taifa lote litakate, wizi na uzembe viondoke.
unatia aibu sana,serikali haiwezi kuendeshwa kwa meseji,kassim majaliwa.mnalea upuuzi halafu mkiulizwa kwanini nchi ni masikini hamna majibu.wema asilimia mia moja huaribiwa na ubaya asilimia sufuri nukta sufuri.wizara haimhusu kwanini atume sms.ni agent red
 
Tusilete siasa kwenye mambo ya msingi.
Mengi hapa ameingiaje?
Yani nyie ndio miaka yote mnatudanganya kua Makampuni ya IPP yanaongoza kwa kukwepa kodi kumbe mlikua mnayapigavita kwa jinsi yanavyofichua uovu wenu na marafiki zenu.

Yule mama ametamka mwenyewe live kuwa Amepokea msg kutoka kwa Prof.Muhongo.
Wewe unafikiri yule mama kwa madaraka na nafasi aliyo nayo hana namba za simu za Prof. Muhongo?
Na kwa nini huoni kuwa Muhongo anajua jambo hilo wakati Mafuta yanayopita pale yako chini ya wizara yake!?
Tangu lini Mengi akaingia kwenye baraza la mawaziri na kujua kuwa waziri mkuu amekwazwa na kufungwa kwa miaka mitano kwa flow meter kule bandarini na kupanga ziara ya kushtukiza ili abaini yanayotokea?
Mengi aliijuaje hiyo ziara ya kustukiza ili aweze kumhujumu Prof.Muhongo?

Wewe huoni na iko dhahiri kuwa landa Prof alikua anataka kumsaidia Mwizarubi ili asishtukizwe na Waziri mkuu na hali ikawa ni mbaya zaidi?
Na pia kwa nini tusiomlaumu Prof. Kwa kutoa siri za utendaji wa serikali?
Kama ni kweli hiyo msg imetoka kwa Prof.Muhongo, atakua na tofauti gani na askari polisi anayetoa siri za utendaji kwa wahalifu ili wasikamatwe?

Na ndugu yangu usije ukamwamini mwanasiasa yoyote kuwa yeye ni mwema kwa sababu ya Elimu yake.
Ikiwa ni hivyo basi wasomi wote wataenda peponi.
Binadamu wote wanahulka ya ubinafsi na hawaridhiki na walicho nacho hata akisoma vipi na ndio maana hata Prof. Muhongo hakuridhika na elimu aliyokuwa nayo mpaka akaamua kusoma mpaka kuwa profesa. Muhongo ni binadamu kama binamu wengine. Huwezi kusema kila analofanya jema ndio la kwake lakini baya anasingiziwa!!! Humtendei haki Mengi kwani hata yeye anayo mema na mabaya yake !
Hata hivyo unapotumikia umma ni lazima ufanye kazi kwa kufuata sheria na unapofanya fyongo basi unapaswa kuwekwa pembeni.

Hapa ndio tutakapo mkumbuka Mh. sana Bernad Membe kwa kuweka wazi kuwa ni rahisi kwa rais kumwajibisha mtu ambaye hakumchagua lakini pia ni vigumu sana kumwajibisha mtu ambaye umemchagua na kumpa madeaka.

kaka yule mama hayupo ndani ya wizara ya prof Muhongo yule yupo chini ya wizara ya viwanda na biashara na ndio maana katibu mkuu wa wizara ya Viwanda ndiye aliye muandikia barua ya kumsimamisha

hzo habari ya kwamba mama Chuwa amemtaja Prof. sio ukweli huyo aliyemtumia msg yupo kwenye mabano wanamjua ni wachache tu. sasa wanaovumisha ni prof. si wengine bali ni wapinzani/ maadui zake

ni kweli kila mwnaadam ana mazuri na mabaya yake ila kusiwe kupewa ubaya wa kupachikwa ndio tunaoukataa
 
Back
Top Bottom