Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

aliyofanywa ni kitu cha kawaida kwa mawazr wengine
sema hii imevuja2 ndomana.....inaonyesha ndo michezo yao hawa mawazr wahunii
 
Ndugu zangu Hapo hakuna hatua yoyote atayo chukuliwa huyo bwana msaliti naomba tusiharibu mabando yetu bure.
 
nasikia huyu muhongo ni kati ya wale mawaziri watatu wasiotakiwa na ukawa, tutashuhudia figisufigisu nyingi kwao. Hata gazeti lililoshika bango ni Tanzania Daima, made in Moshi.
 
Huyu profesa anahujumiwa kuliko mawaziri wote na hiyo inatokana na utendaji wake wa kazi.. Mh Magufuli ukikubali hili utaendeshwa sana kama jk mawaziri wako wote wataonekana wabaya.. Kaza buti hapa kazi tu
Huyu lazima awajibishwe tu na hapo bado hatujaingia mjengoni kufurumua issue ya escrow
 
Naona Mnamukumu Mhongo hata hamjui meseji iliandikwaje acheni ushabiki wa kupitiliza , inabidi kufikiri kabla ya kusema . Je kama itaandikwa kuwa Mhe. Waziri Mkuu anakuja huko kesho ni kosa?
Kosa kubwa sana hilo maana ni kuvujisha siri za ofisi na hilo ndio linatikwa kumuondoa kazini
 
Hivi safari hii anapanda ndege class gani ?? Maana kwenye awamu ya Jakaya alikataa kupanda ndege kwenda EGYPT kisa haikua FIRST CLASS
Membe alimpa dongo kwamba anafukuza kwa sababu yeye hajawateau ,sasa ngoja tuone nani mkweli kati ya Membe na Magufuli
Muhongo ni mboa nchi
 
Kundi la majipu ndio linalokaa chini kutaka Mheshimiwa Mhongo aondolewe na tunamtahadharisha sana Rais asichukue hatua yoyote huyu mtu ni hazina ya taifa yote haya ni kwa kuwa wamedhibitiwa vilivyo na mwaka huu mtaipata kwa wizi wenu mpaka taifa lote litakate, wizi na uzembe viondoke.
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh naona wewe ni mwanawe muhongo unahofia kukosa mkate wa kila siku
 
***********************************************
....mna macho lakini hamuoni...
Ni wapi ambapo palitumbuliwa pakakosa A REAL EVIDENCE?&FACTS OR LIVES!
Unafiki ni mbaya sana !
mnafiki atajulikana tu subiri tuone watamfanyaje ?muhogo amedhamiria kumdanganya majalwa ili kuikosesha serikali mapato hii evidence inatosha simba anaweza kula wanyama wengine kwa uhodari ,inapokuja zamu ya kumla simba mwezie mtihani !
 
Mkuu achana nao hao wapambe, atakiwe na UN aache kutulia huko, aje afanye kampeni jua kali vumbi kuhonga wapiga kura, kukimbizana usiku wa manane, kutafuta ubunge? Au kuwa mbunge nchi hii ni kigezo cha kuingia mbinguni?

Hii kitu inashangaza sana lakini inatokea. Mama Tibaijuka alikuwa Exec Director wa UNHABITAT pale Nairobi. Ukiongea na watu waliofanya naye kazi wanadai muda wote alikuwa na "political ambition" kubwa sana. Mara nyingi akitimkia Tz kuweka sawa mustakabali wake ndani ya CCM. Wengine wanadai kumsikia akidai CCM iko ndani ya damu. Nafikiri si suala la pesa tu labda kama alikuwa akifikiria utajiri wa kitisho kupitia mianya ya ufisadi. Maana mshahara na mafao ya UN yanakuweka vizuri lakini hayakutajirishi.

Kwa Prof. Muhongo alitafuta sana kazi za "kiwango chake" nje lakini hakufanikiwa. Kwa vile amekuwa na uhusiano mzuri na serikali basi kaamua kukaa karibu ashiriki "kujenga taifa".
 
Napata maswali ambayo hayana majibu
1. Muhongo alituma hiyo sms kama nani ?
2. Je waziri wa nishati na madini anahusikaje na mambo ya mafuta
3. Je Muhongo alipata wapi taarifa kwamba Mh Majaliwa atatembelea WAMA kutumbua jipu vipimo?
4. Nani yupo nyuma ya Muhungo.
Wazungu wanasema "Nyuma ya kila waziri jeuri kuna genge la majangiri"
 
Back
Top Bottom