Hooooooooooo![]()
Haya kumekucha Prof Muhongo matatani tena ahusika na kumtumia meseji yule mama mkurugenzi wa wakala wa vipimo.Mkurugenzi amtaja live uliambiwa hili ni jipu, ukakataa linakutumbukia asubuhi mapema.
Kazi kwako sasa
muongo ajifichi ata siku ya uongo. Tulipiga kelele Sana kuhusu uteuzi wa huyu bwana lakini maccm yalisema tuna chuki. Wakaenda mbali zaidi yakasema hakuna hazina tulionayo kama bwana muongo. Sasa limeoza lenyewe hili dawa ni kuliwekea spirit Tu.
Muhongo ni fisadi tangu utawala wa mkwere na sasa kanaswa,inabidi awajibishwe na huu ni mtihani kwa maguJamani jinamizi likikuandama halikuachi mpaka utubu dhambi ya awali. ESCROW alinasa akanasuliwa je hili mafuta atatokea wapi? Nani atamsafish? Kma sio eneo lake la kazi ilikuwaje atoe agizo la kufunguliwa pump? Hii nchi ( njii hii) kweli ni mazingaombwe.
Inanikumbusha habari ya jamaa mmoja alikuwa na katabia ka udokozi katika nyumba ya kuabudia. Alidokoa mpaka watu wakamstukia wakamkata. Ijulikane kwamba yeye ndio alikuwa ameaminiwa na waumini wote na kupewa jukumu la kusimamia ukusanyaji nakutoa report kila wiki kabla ya kuzikabidhi ngazi za juu.
Mara ya kwanza alipokamatwa aliomba msamaha viingozi wakamsamehe wakayamaliza kimyakimya lakini akaachwa aendelee na majukumu yake. Panya ni panya tu. Baada ya muda mfupi tu akarudia tena kale kamchezo.
Waumini wakastuka tena.Mbona mambo kama yamejirudia? Wakaweka mtego tena. Hii siku aliiba kumbe kaiba fedha iliyokuwa chambo. akanaswa red handed! Hakuwa na la kusema kawa mdogo kuliko piriton tablet.
Kachukua tu simu yake kamtumia mshirika wake msg "Wamenikamata tena" Tangu siku ile hakuonekana tena katika nnyumba ile ya kuabudia. Alihama mtaa kimyakimya kusave aibu. Muhongo jiondor usingoje kupigiwa kelele km wakati wa ESCROW aibu yako.
AIBU AIBU AIBU KWA KIONGOZI
Wamenywea na kuwa wadogo kama piriton,chezea hukumu ya mungu na laana za wapenda haki wewe?Watu tulisema kumrudisha muhongo nia dhambi kwa watanzania, watu wakamtetea weee, hata wakati sakata la escrow kuna waliomtetea eti anahujumiwa? Khaaa mtu uibe fedha za uma na bado wapambe wanasema unaonewa wivu? Mbaya sana akapewa ubunge na watanzania sisi sijui nani katuroga, leo hii huyu hapa uso kwa uso, sijui wanaompenda kama hata watathubutu kunywa nae chai.
Ni aibu kubwa sana mkuuMkuu sisi tumerogwa.... maana hatuwezi walaumu wananchi kwa kumpa ubunge Muhongo wakati wabunge wanaweza mmpa uenyekiti mzee wa nyoka wa makengeza..... sisi tumerogwa..... Muhongo aachie ngazi hii ni aibu.....
MADHARA YA KUTOA MADARAKA KIKANDA BILA KUANGALIA WELEDIPamoja yote yalotukia huko nyuma kuhusu huyu mtu, mkulu hakusikia wala kuona, tusubir Na tuone hatua gani atachukua dhidi yake
MBAYA ZAIDI UNAONEKANA KAMA UNATAKA KUMFANYA AONEKANE HAFANYI KAZI,Tatizo la Bwana Mkubwa ukimpinga unanekana wewe ni Jipu....
Ukiipata nitupieHa ha ha mkuu umenikumbu
Ha ha ha mkuu umenikumbusha hiyo nyimbo nimekumbuka mambo mengi sana, wacha niitafute
Jibu ni rahisi tuu. Muhongo hafanyi kazi kiuadilifu bali kwa mbinu za kimafia na kuwa inaonyesha ana watu wake wapo ofisi zile kuu ili kuntonya whats going on kila wakati. Na hili la mafuta wanajuana ndio maana yule mama kupata sms hakujiukiza mara mbili bali ni kuagiza mafundi haraka.Na hata kwa maelezo ya PM ni kuwa mita hizo zilifunguliwa siku moja kabla ya ziara yake. Je PM alishaongea na Prof. kumwambia kesho yake atafanya ziara pale? (Kushtukiza??)
Najaribu kuwaza hiyo sms ililenga kuagiza meter zifunguliwe kwa maana gani? Kuepusha soo la PM au Prof kumtaka huyo wakala aifungue haraka ifanye kazi kwa kutokuona mantiki ya kuzizuia kwa kigezo cha malalamiko?
Tujiulize kabla ya ushabiki...
All leaders phones are being monitored now...this is just a reminder. ..no more auto mode in the new government...please keep very well informedJamani jinamizi likikuandama halikuachi mpaka utubu dhambi ya awali. ESCROW alinasa akanasuliwa je hili mafuta atatokea wapi? Nani atamsafish? Kma sio eneo lake la kazi ilikuwaje atoe agizo la kufunguliwa pump? Hii nchi ( njii hii) kweli ni mazingaombwe.
Inanikumbusha habari ya jamaa mmoja alikuwa na katabia ka udokozi katika nyumba ya kuabudia. Alidokoa mpaka watu wakamstukia wakamkata. Ijulikane kwamba yeye ndio alikuwa ameaminiwa na waumini wote na kupewa jukumu la kusimamia ukusanyaji nakutoa report kila wiki kabla ya kuzikabidhi ngazi za juu.
Mara ya kwanza alipokamatwa aliomba msamaha viingozi wakamsamehe wakayamaliza kimyakimya lakini akaachwa aendelee na majukumu yake. Panya ni panya tu. Baada ya muda mfupi tu akarudia tena kale kamchezo.
Waumini wakastuka tena.Mbona mambo kama yamejirudia? Wakaweka mtego tena. Hii siku aliiba kumbe kaiba fedha iliyokuwa chambo. akanaswa red handed! Hakuwa na la kusema kawa mdogo kuliko piriton tablet.
Kachukua tu simu yake kamtumia mshirika wake msg "Wamenikamata tena" Tangu siku ile hakuonekana tena katika nnyumba ile ya kuabudia. Alihama mtaa kimyakimya kusave aibu. Muhongo jiondor usingoje kupigiwa kelele km wakati wa ESCROW aibu yako.
AIBU AIBU AIBU KWA KIONGOZI
Mtihani kwa Magufuli. Hapa lazima aonyeshe uongozi. Japo namkubali sana Muhongo, kama habari hizi ni za kweli, lazima atimuliwe haraka au ajiondoe mwenyewe. Itasaidia sana kuweka trend kwenye uongozi awamu ya tano.
Huyo mama ni wa wizara ya viwanda na biashara siyo ya MuhongoMbona mnakimbilia tu kuona Muhongo amekosea.
Kwani kama ametuma sms kwa kurespond taarifa ya gazeti tatizo hapo ni nini? mbona na Mh PM naye amerespond kwa taarifa hiyo hiyo ya Gazetini?
Kama kumekuwa na madudu hapo bandarini kwa miaka mitano, si Muhongo aliondoka akaingia Simbachawene na Muijage (ambaye ni mtaalamu wa eneo hilo) mbona naye hakung'amua uozo huo mpaka walipotibua Jamhuri?
Muhongo sio aina ya mtu wa kulea upuuzi...na kama alituma sms hakuwa na maana hiyo mnayoishabikia huku.
Pili...siku hizi watu si hucheza tu na mitandao...mara ngapi hata viongozi wakubwa wanaingizwa mkenge na kuishia kukanusha kuwa hawahusiki na taarifa fulani za mitandaoni.
Tuwe na subira tuache ushabiki, Muhongo sio mtoto kwamba akimbilie vyomba vya habari na kujitetea kama mnavyosubiri.