Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Hii ni vita kati ya muhongo na mafisadi ni mtihani kwake ogopa genge hilo ni adui wa nchi hii baada ya kudhibitiwa huja na plan zingine kwa kutumia manilioni yao
Magufuli uzuri haendeshwi atataenda haki
 
Hii ni zaidi ya mbaya maana hata nitashangaa rais akimuacha huyu mtu kama tuhuma ni za ukweli
 
Haya yote ni maua ya ccm. Nani hakujua huyu mtu ni mwongo, mdanganyifu asiye na uzalendo hata? Nani hakuona alivyoambatisha vipeperushi fake kwenye utetezi wake bungeni kuwafanya Watanzania wapumbavu na kuendeleza ubabe wa ccm chini ya dolla?

Kila mtu aliona aliyoyfanya kikwte mdau kubwa la ufisadi Tanzania kuwlainda mafisadi wenzake. Magufuli ni ccm ile ile isiyosikia wala kuelewa lolote lihusulo maslahi ya taifa. Watanzania waliguna na kulalamika sana uteuzi wa mawaizri kwa kuwaweka watu ka ma muhongo, mwakyembe ambao ni dhahiri walitakiwa wawe mahakamani ama segerea. Lakin magufuli kwa kiburi hakutaka kuwasikiliza wala kuwajibu kwa staha waandishi wa habari waliohoja swali kwa ajili ya kumkumbusha.

Leo anaona namna baraza lake lilivyo na vibaraka wa ufisadi. Ni sawa na wapiganaji mamluki kutoka kwa jeshi la adui ndani ya kikosi chako. Ndiyo kazi wanafanya hawa. Ku spy mwelekeo na kuwapa mafisadi wenzao ama kupanga hatua za tahadhari ili kuharibu maboresho. Muhogo anatakiwa leo awe amesha ondolewa kwenye uwaziri. Ninashangaa magazeti hayajasema kitu.

Hawa watu ni washirika wa karibu kama si moja kwa moja na uhujumu wa uchumi na jitihada za ukombozi wa taifa.
Muhongo kupiga simu ni dhahiri anajua mchezo mzima na mpango wa serikali kutembelea kitengo aliujua. Angelikuwa si mdau wa hujuma ile, bila shaka angelichukua hatua juu ya suala la metre mara moja. Lakini kwa kumzunguka raisi na waiziri wake mkuu, anajifanya yuko nao machoni, halafu mikono inaoperate the other side. Anaamua kuidanganya serikali kwa kumpigia mdau mwenzake wafungue mita ili kufunika kombe. Upumbavu huu.

Muhongo na watuhumiw awote wa ufirauni wapelekwe mahakamani. Kwa kuwa ccm haina watu wenye sifa za kuongoza serikali, taratibu zifanyike kuwe na serikali shirikishi ya mseto kwa maslahi ya taifa. Kinyume cha hapa, yanayokuja kutokea, bahati nzuri ccm ndiyo watakoanza kuuona moto. Haiwezekani kuwafanya Watanzania taifa zima ni majuha kwa kuw atu mafisadi wanalindwa na jeshi la polisi.
uko sahihi kaka wanaboa sana hawa watu.......................wanatudharau wananci sana
wenye nchi yetu
 
TE="Elungata, post: 15313130, member: 36407"]hamna kesi hapo[/QUOTE]
Nani kasema kuna kesi? Hapo ishu ni jipu limejitumbua lenyewe.
 
Eti watanzania uzen juice wagen ndo wenye uwezo wa kujenga nchi, wee unazan hata mimi ukiniruhusu nije kupakia wese bure ntashindwa kuijenga nchi !!!?
 
Tuletee Hiyo sms siyo unaleta kichwa cha habari cha gazeti bila kutupa sms yenyewe tusome in details then Unaweza Kuwa na uhalali wa ku judge
 
tuone unafiki wa jpm sasa.......
hivi haya yataendelea had lini wakuu
kusimamisha watumkishi kaz na kuwarudisha kimjyakimya kazini?????
kuleta mashine ya ct scan kutoka dodoma na kuwadangANYA WANANCHI IMENUNULIWA CHINA????
kesi za kina masaki ndo bas tena,,.
kuleta mawaziri wale wale ambao ni mafisadi kutaleta maendeleo kweliii???
minaona muendelezo wa serikali wa awamu ya nne unaendelea tusitegemee maendeleo yoyoteeeeeeeeeeeeeeeeee
hopeless ndani ccm
 
waliolamba za escrow si wamerudi bungeni? yaani nchi hii sijui tutachangamka lini au upole wa kupitiliza ,uoga .kwa wenzetu huko majuu tuhuma tu mtu hawezi hata kuunusa ubunge hata kwenye kura za maoni asingepita mtuhumiwa au mhisiwa
 
Kwanza hata kuteuliwa ktk nafasi hiyo inaonyesha dhahiri wanvyolindana.Mwaka jana ndo alifukuzwa bungeni kwa SHINIKIZO la wabunge leo yupo tena.tunamwomba Rais Magufuli asafishe uozo uliofanyika kwenye utoroshwaji wa fedha za umma ambazo zingineJakaya alikataa kuwa siyo za umma,wanyama kupandishwa kwenye ndege, mikataba mibovu kwenye migodi ili tuzidi kujenga imani na kazi unayofanya ya kumbua mjipu.
 
Pamoja na kuwa busha nalo ni jipu lakini lenyewe halifichiki hata ukivaa msuli au kanzu, litagonga mbele na nyuma kama kengele
1455349421911.jpg
 
Naweza kuorodhesha Mawaziri zaidi ya kumi wa awamu hii nisiowaamini na kamwe Muhongo hawezi kuingi kwenye orodha hiyo.
Kwa hilo jina lako, sishangai ulichopost hapo.
 
Mbona watu wote huwa tunatumiana SMS?, acheni hizo, huyo mama alikosa point ya kujitetea akaona amsingizie mzee wa watu
Na hata kwa maelezo ya PM ni kuwa mita hizo zilifunguliwa siku moja kabla ya ziara yake. Je PM alishaongea na Prof. kumwambia kesho yake atafanya ziara pale? (Kushtukiza??)
Najaribu kuwaza hiyo sms ililenga kuagiza meter zifunguliwe kwa maana gani? Kuepusha soo la PM au Prof kumtaka huyo wakala aifungue haraka ifanye kazi kwa kutokuona mantiki ya kuzizuia kwa kigezo cha malalamiko?
Tujiulize kabla ya ushabiki...
 
Utumbo huu hata steven ngonyani (prof majimarefu) hawezi kuufanya.
 
Back
Top Bottom