Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Huu ni upepo tu, utapita na La Plofeseee ataendelea luongoza hiyo secta ya miamba. Maana hakuna mwingine. Mkimkataa Tz UN wanamlilia
Kama UN wanamlilia kwanini anakubali kuja kufanya kazi tanzania na kulipwa ela za madafu?awache kutudanganya sisi watu na akili zetu bhana
 
Hivi wizara ya charles kitwanga inaitwaje nahisi hii msg ilitoka kwa kitwanga na si kwa muhongo tusubili time will tell
 
Huyu Prof ni wa ovyo sana CCM ni ile ile Mkuu.
 
Kweli kabisa hiyo niyo ilikuwa inamfanya awe mgumu kuachia ngazi maana alijuwa kuwa wenzake wataendelea kufaidi wizi alio uasisi yeye
Halafu Mungu anampenda sana jamaa, akarudishwa wizara ileile, badala aje kivingine afungue zile pump mapema na afanye kazi kwa uadilifu ili aliowaita wambea waaibike, kaendeleza ulafi wake mpaka yamemkuta. Kweli Mungu hamfichi mnafiki. Alirudi aibe kufidia kipindi alicho kaa bench. Alinywe sasa.
 
Jina tu linqsadifu matendo yake...Mama wa watu kamfukuzisha kazi kwa memo za SMS lakini mpaka dakika hii MUHONGO anabembelezwa ajipume ili awajibike
 
Tanzania nzima nnaweza kusema labda asilimia 5 tu ndiyo si waongo.
 
Ni mtazamo tuu!

Mh. Muhongo amekuwa na maadui toka akatae kutoa vitalu vya Gesi kwa baadhi ya "" wenye nazo"

Na hadi anajiuzulu ilikuwa ni fitina za watu ...lakini alipojiuzulu jmosi...jtatu ya next week akarudishwa kwenye kitengo chake cha nishati UN

Kwanini arudishwe UN ? Wanajua jamaa ni kichwa...

Na magufuli kamrudisha pale pale kwa kuwa jamaa ni kichwa...

Sasa naona Fitina zimeanza tena..Naamini 90% magufuli hamfukuza muhongo...

Ni mtazamo tuu wakuu!
Hivi kw kutumia akili ya kawaida kabisa,mtu utakiwe kama lulu na UN,sote tunajua kuwa UN wakimkubali mtu na utendaji wake huwa wanamlipa mshahara mzuri sana,ilikuwaje muhongo aje kukubali kupokea ela za madafu hapa bongo?huo ni uongo na sanaa za kujikweza
 
Magufuli akimwajibisha Muongo, nita amini huyu jamaa ni baba wa taifa wa pili
 
Do ila kutuma msg kwa subordinates wako na kumtaarifu mkulu anakuja awashe mita zilizo kuwa zimezimwa for 5yrs...... do hii kwa wenzetu angepeleka barua mwenyewe kwa mh raisi kujiuzuru.....
 
TRL nako kunafukuta mabehewa feki
Majuzi Bungeni walimuomba yule Mama ushahidi alipoukosa wakamzuia kuhudhuria vikao viwili ni ngumu sana kuongozwa na CCM,unategemea yule fisadi M/kiti wa Bunge atapitisha hoja za maana pale Bungeni.
 
Hivi kw kutumia akili ya kawaida kabisa,mtu utakiwe kama lulu na UN,sote tunajua kuwa UN wakimkubali mtu na utendaji wake huwa wanamlipa mshahara mzuri sana,ilikuwaje muhongo aje kukubali kupokea ela za madafu hapa bongo?huo ni uongo na sanaa za kujikweza
Mkuu achana nao hao wapambe, atakiwe na UN aache kutulia huko, aje afanye kampeni jua kali vumbi kuhonga wapiga kura, kukimbizana usiku wa manane, kutafuta ubunge? Au kuwa mbunge nchi hii ni kigezo cha kuingia mbinguni?
 
Mkuu achana nao hao wapambe, atakiwe na UN aache kutulia huko, aje afanye kampeni jua kali vumbi kuhonga wapiga kura, kukimbizana usiku wa manane, kutafuta ubunge? Au kuwa mbunge nchi hii ni kigezo cha kuingia mbinguni?
Wanajifurahisha sana mkuu, muhongo ni jipu kubwaaaa kama kichuguuuu
 
Hivi watanzania mmelogwa? Mbona watu wema nyie hamuwataki? Muhongo kaacha alama kwenye sekta ya umeme ni huyuhuyu aliyetuletea umeme mpaka vijijini namshauli dk Magufuli asisikilize maneno ya magazeti na watu wa humu ndani wanaotumiwa kuhujuma mawaziri wake..hii prinsipo ife ya ng'ombe wembamba kuwameza ng'ombe wanene
 
Wanajifurahisha sana mkuu, muhongo ni jipu kubwaaaa kama kichuguuuu
Jipu kubwa limeiva mpaka linajishangaa kwa nini halitumbuliwi, linaendelea kujiumua mpaka mkuu alione, litakuwa lishajipasua linavuja linasubiri kusafishwa tu.
 
Alichokifanya ni sawa na polisi kuwapigia simu wahalifu kuwa kesho kutakuwa na msako
 
Ee Mungu itazamame nchi yako na watu wako, umesema tuzihemshimu mamlaka zilizoko duiniani, lakini hii tunaona imekuwa laana
 
Back
Top Bottom