Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Tayari ameitwa Ikulu na Mkuu wa Kaya; lolote laweza kutokea' ngoja tusubilie
Apeleke tu barua ya kujiuzuru. Maana huko ni sawa na kuihujumu serikali aliyomo.
Reputation ya Magufuli itaongezeka na Muhongo atalinda heshima yake kama bado ipo.
 
Kwa serikali iliyo pita siwezi mlaumu sana maana ilikuwa na serikali ya sms ukikaidi ilikuwa lazima uungane na mgimwa so tunamsamehe kwa sababu tunajua alipokea maelekezo toka kwa jipu kubwa
 
Huyu profesa anahujumiwa kuliko mawaziri wote na hiyo inatokana na utendaji wake wa kazi.. Mh Magufuli ukikubali hili utaendeshwa sana kama jk mawaziri wako wote wataonekana wabaya.. Kaza buti hapa kazi tu
 
Huyu profesa anahujumiwa kuliko mawaziri wote na hiyo inatokana na utendaji wake wa kazi.. Mh Magufuli ukikubali hili utaendeshwa sana kama jk mawaziri wako wote wataonekana wabaya.. Kaza buti hapa kazi tu
Kwahiyo hata ule ujumbe wa simu ulitumwa na wabaya wake kupitia simu yake binafsi? Kweli jamaa wamedhamiria
 
Hahaaaa.. alitaka kumunusuru best yake asitumbuliwe sivyo... Kazi kweli kweli.

Me huyu jamaa nilichomchukia nikuwaambia Watanzania wakauze juice. Kwamba nchi itajengwa na wageni...ujinga mtupu.

Wenzetu wanapewa vipaumbele kuinua taifa lao na rasilimali zinawafaidisha wao. Sisi tunaishia kufaidisha wageni tu. Sijui hata watu wana matatizo gani vichwani mwao.
Naona Mnamukumu Mhongo hata hamjui meseji iliandikwaje acheni ushabiki wa kupitiliza , inabidi kufikiri kabla ya kusema . Je kama itaandikwa kuwa Mhe. Waziri Mkuu anakuja huko kesho ni kosa?
 
Hivi safari hii anapanda ndege class gani ?? Maana kwenye awamu ya Jakaya alikataa kupanda ndege kwenda EGYPT kisa haikua FIRST CLASS
Membe alimpa dongo kwamba anafukuza kwa sababu yeye hajawateau ,sasa ngoja tuone nani mkweli kati ya Membe na Magufuli
 
Angalia vizuri Avatar yako kaka !!!!.
Kundi la majipu ndio linalokaa chini kutaka Mheshimiwa Mhongo aondolewe na tunamtahadharisha sana Rais asichukue hatua yoyote huyu mtu ni hazina ya taifa yote haya ni kwa kuwa wamedhibitiwa vilivyo na mwaka huu mtaipata kwa wizi wenu mpaka taifa lote litakate, wizi na uzembe viondoke.
 
Ni mtazamo tuu!

Mh. Muhongo amekuwa na maadui toka akatae kutoa vitalu vya Gesi kwa baadhi ya "" wenye nazo"

Na hadi anajiuzulu ilikuwa ni fitina za watu ...lakini alipojiuzulu jmosi...jtatu ya next week akarudishwa kwenye kitengo chake cha nishati UN

Kwanini arudishwe UN ? Wanajua jamaa ni kichwa...

Na magufuli kamrudisha pale pale kwa kuwa jamaa ni kichwa...

Sasa naona Fitina zimeanza tena..Naamini 90% magufuli hamfukuza muhongo...

Ni mtazamo tuu wakuu!
Mkuu,unapozungumzia UN unazungumzia watu weupe walioungana kututawala weusi na weupe wengine kitaalam kwa kutumia sisi wenyewe.
Prof. huyu alipobeza watz kwenye uwekezaji wa gas na mafuta alikuwa akiwapigia chapuo wazungu na si ajabu alitumwa na hao kufanya hivo,kwa hiyo sishangai wao kumuita na kumpa kitengo UN pengine ilikuwa kuturubuni kuwa tumetupa 'dhahabu'. Binafsi ntashangaa km Magu akimfukuza kwan 'wanajuana watu hawa'.
 
Sipati picha kwa hiyo speech ya Kigwangalla, Muhongo anamfikiriaje!
 
Huyu Jamaaa ni muongo sana halafu anajisikia yaani ccm hakuna watu mpka jpmb kumrudisha mtu mchafu kama huyu na anaenda kumsafisha hawezi mgusa yy size yake ni watumishi wa umma tuuu.Jamaaa mnafiki sana
 
Wamenywea na kuwa wadogo kama piriton,chezea hukumu ya mungu na laana za wapenda haki wewe?
Watajuta kujirudisha bungeni, maana wanazidi kuonekana upuuzi wao na wizi wao unazidi kuwa hadharani, kumbe jamaa hakuiba tu escrow bali ameliibia taifa mapato ya mafuta kwa kipindi chote alichokuwa waziri wa nishati na madini, ndio maana alikuwa anagoma kujiuzulu si kwa kupenda kazi bali kujua anaondoka na kuwaachia watu ulaji wake.
 
12669658_1237775639585288_978554263339994292_n.jpg

Haya kumekucha Prof Muhongo matatani tena ahusika na kumtumia meseji yule mama mkurugenzi wa wakala wa vipimo.Mkurugenzi amtaja live uliambiwa hili ni jipu, ukakataa linakutumbukia asubuhi mapema.

Kazi kwako sasa

Nilimwani Magufuli,ila kwa mara ya kwanza niliingiwa na wasi wasi baada ya kumchagua huyu jamaa kuwa wazir, iman ilishuka, nadhan ni wakti muafaka sasa kwa Magufuli kunifanya nirudishe iman Amtoe huyu jamaa sasa!! Hauhitaji kuwa ulipata A advance level mathematics na Phyiscs kujua kuwa Muhongo hana akili yeyote na si mzalendo
 
Watajuta kujirudisha bungeni, maana wanazidi kuonekana upuuzi wao na wizi wao unazidi kuwa hadharani, kumbe jamaa hakuiba tu escrow bali ameliibia taifa mapato ya mafuta kwa kipindi chote alichokuwa waziri wa nishati na madini, ndio maana alikuwa anagoma kujiuzulu si kwa kupenda kazi bali kujua anaondoka na kuwaachia watu ulaji wake.
Kweli kabisa hiyo niyo ilikuwa inamfanya awe mgumu kuachia ngazi maana alijuwa kuwa wenzake wataendelea kufaidi wizi alio uasisi yeye
 
Apeleke tu barua ya kujiuzuru. Maana huko ni sawa na kuihujumu serikali aliyomo.
Reputation ya Magufuli itaongezeka na Muhongo atalinda heshima yake kama bado ipo.
Heshima ya muhongo ilishapotea tangu wizi wa Escrow
 
Back
Top Bottom