Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

Mbona watu wote huwa tunatumiana SMS?, acheni hizo, huyo mama alikosa point ya kujitetea akaona amsingizie mzee wa watu

duh we kiboko yaani kweli mama mtu mzima adanganye , muhongo ni muongo sana
 
Kawaida ya Jipu ni kwamba muda ukifika hata usipolitumbua litapasuka lenyewe.

Hili limeshapasuka.. Kasi iliyobaki ni Kusafisha tu Kidonda.

Mzee!
muongo ajifichi ata siku ya uongo. Tulipiga kelele Sana kuhusu uteuzi wa huyu bwana lakini maccm yalisema tuna chuki. Wakaenda mbali zaidi yakasema hakuna hazina tulionayo kama bwana muongo. Sasa limeoza lenyewe hili dawa ni kuliwekea spirit Tu.
 
Mbona mnakimbilia tu kuona Muhongo amekosea.

Kwani kama ametuma sms kwa kurespond taarifa ya gazeti tatizo hapo ni nini? mbona na Mh PM naye amerespond kwa taarifa hiyo hiyo ya Gazetini?

Kama kumekuwa na madudu hapo bandarini kwa miaka mitano, si Muhongo aliondoka akaingia Simbachawene na Muijage (ambaye ni mtaalamu wa eneo hilo) mbona naye hakung'amua uozo huo mpaka walipotibua Jamhuri?

Muhongo sio aina ya mtu wa kulea upuuzi...na kama alituma sms hakuwa na maana hiyo mnayoishabikia huku.

Pili...siku hizi watu si hucheza tu na mitandao...mara ngapi hata viongozi wakubwa wanaingizwa mkenge na kuishia kukanusha kuwa hawahusiki na taarifa fulani za mitandaoni.

Tuwe na subira tuache ushabiki, Muhongo sio mtoto kwamba akimbilie vyomba vya habari na kujitetea kama mnavyosubiri.
 
hili ni donda ndugu limeshaoza, dawa ni kupitisha brush wire yenye spirit kali lioshwe vema.
 
Watu tulisema kumrudisha muhongo nia dhambi kwa watanzania, watu wakamtetea weee, hata wakati sakata la escrow kuna waliomtetea eti anahujumiwa? Khaaa mtu uibe fedha za uma na bado wapambe wanasema unaonewa wivu? Mbaya sana akapewa ubunge na watanzania sisi sijui nani katuroga, leo hii huyu hapa uso kwa uso, sijui wanaompenda kama hata watathubutu kunywa nae chai.

Mkuu sisi tumerogwa.... maana hatuwezi walaumu wananchi kwa kumpa ubunge Muhongo wakati wabunge wanaweza mmpa uenyekiti mzee wa nyoka wa makengeza..... sisi tumerogwa..... Muhongo aachie ngazi hii ni aibu.....
 
Mtihani wake wa kwanza huu

Haya yote ni maua ya ccm. Nani hakujua huyu mtu ni mwongo, mdanganyifu asiye na uzalendo hata? Nani hakuona alivyoambatisha vipeperushi fake kwenye utetezi wake bungeni kuwafanya Watanzania wapumbavu na kuendeleza ubabe wa ccm chini ya dolla?

Kila mtu aliona aliyoyfanya kikwte mdau kubwa la ufisadi Tanzania kuwlainda mafisadi wenzake. Magufuli ni ccm ile ile isiyosikia wala kuelewa lolote lihusulo maslahi ya taifa. Watanzania waliguna na kulalamika sana uteuzi wa mawaizri kwa kuwaweka watu ka ma muhongo, mwakyembe ambao ni dhahiri walitakiwa wawe mahakamani ama segerea. Lakin magufuli kwa kiburi hakutaka kuwasikiliza wala kuwajibu kwa staha waandishi wa habari waliohoja swali kwa ajili ya kumkumbusha.

Leo anaona namna baraza lake lilivyo na vibaraka wa ufisadi. Ni sawa na wapiganaji mamluki kutoka kwa jeshi la adui ndani ya kikosi chako. Ndiyo kazi wanafanya hawa. Ku spy mwelekeo na kuwapa mafisadi wenzao ama kupanga hatua za tahadhari ili kuharibu maboresho. Muhogo anatakiwa leo awe amesha ondolewa kwenye uwaziri. Ninashangaa magazeti hayajasema kitu.

Hawa watu ni washirika wa karibu kama si moja kwa moja na uhujumu wa uchumi na jitihada za ukombozi wa taifa.
Muhongo kupiga simu ni dhahiri anajua mchezo mzima na mpango wa serikali kutembelea kitengo aliujua. Angelikuwa si mdau wa hujuma ile, bila shaka angelichukua hatua juu ya suala la metre mara moja. Lakini kwa kumzunguka raisi na waiziri wake mkuu, anajifanya yuko nao machoni, halafu mikono inaoperate the other side. Anaamua kuidanganya serikali kwa kumpigia mdau mwenzake wafungue mita ili kufunika kombe. Upumbavu huu.

Muhongo na watuhumiw awote wa ufirauni wapelekwe mahakamani. Kwa kuwa ccm haina watu wenye sifa za kuongoza serikali, taratibu zifanyike kuwe na serikali shirikishi ya mseto kwa maslahi ya taifa. Kinyume cha hapa, yanayokuja kutokea, bahati nzuri ccm ndiyo watakoanza kuuona moto. Haiwezekani kuwafanya Watanzania taifa zima ni majuha kwa kuw atu mafisadi wanalindwa na jeshi la polisi.
 
Mkuu sisi tumerogwa.... maana hatuwezi walaumu wananchi kwa kumpa ubunge Muhongo wakati wabunge wanaweza mmpa uenyekiti mzee wa nyoka wa makengeza..... sisi tumerogwa..... Muhongo aachie ngazi hii ni aibu.....
Tena ni aibu kubwa kwa chama tawala kuwapa ridhaa ya kugombea ubunge wakati rais aliwaambia tupisheni hamfai tena? Halafu kura za maoni unasema sawa, aibu ya taifa hii na huu ni mpango wa Mungu kumfuta machozi Kafulila. Wataumbuka sana tu.
 
Hapo ndo mtaona unafiki wa jpm kama ans nia kweli asutbutu kumgusa muhongo kesho mapema cc Lumumba na anakuwaga
Kama kamwagiwa majia kabisa
 
Mbona watu wote huwa tunatumiana SMS?, acheni hizo, huyo mama alikosa point ya kujitetea akaona amsingizie mzee wa watu
Nadhani hukufuatilia ile habari ya maswali ya Majaliwa kwa mkurugenzi
 
Haya yote ni maua ya ccm. Nani hakujua huyu mtu ni mwongo, mdanganyifu asiye na uzalendo hata? Nani hakuona alivyoambatisha vipeperushi fake kwenye utetezi wake bungeni kuwafanya Watanzania wapumbavu na kuendeleza ubabe wa ccm chini ya dolla?

Kila mtu aliona aliyoyfanya kikwte mdau kubwa la ufisadi Tanzania kuwlainda mafisadi wenzake. Magufuli ni ccm ile ile isiyosikia wala kuelewa lolote lihusulo maslahi ya taifa. Watanzania waliguna na kulalamika sana uteuzi wa mawaizri kwa kuwaweka watu ka ma muhongo, mwakyembe ambao ni dhahiri walitakiwa wawe mahakamani ama segerea. Lakin magufuli kwa kiburi hakutaka kuwasikiliza wala kuwajibu kwa staha waandishi wa habari waliohoja swali kwa ajili ya kumkumbusha.

Leo anaona namna baraza lake lilivyo na vibaraka wa ufisadi. Ni sawa na wapiganaji mamluki kutoka kwa jeshi la adui ndani ya kikosi chako. Ndiyo kazi wanafanya hawa. Ku spy mwelekeo na kuwapa mafisadi wenzao ama kupanga hatua za tahadhari ili kuharibu maboresho. Muhogo anatakiwa leo awe amesha ondolewa kwenye uwaziri. Ninashangaa magazeti hayajasema kitu.

Hawa watu ni washirika wa karibu kama si moja kwa moja na uhujumu wa uchumi na jitihada za ukombozi wa taifa.
Muhongo kupiga simu ni dhahiri anajua mchezo mzima na mpango wa serikali kutembelea kitengo aliujua. Angelikuwa si mdau wa hujuma ile, bila shaka angelichukua hatua juu ya suala la metre mara moja. Lakini kwa kumzunguka raisi na waiziri wake mkuu, anajifanya yuko nao machoni, halafu mikono inaoperate the other side. Anaamua kuidanganya serikali kwa kumpigia mdau mwenzake wafungue mita ili kufunika kombe. Upumbavu huu.

Muhongo na watuhumiw awote wa ufirauni wapelekwe mahakamani. Kwa kuwa ccm haina watu wenye sifa za kuongoza serikali, taratibu zifanyike kuwe na serikali shirikishi ya mseto kwa maslahi ya taifa. Kinyume cha hapa, yanayokuja kutokea, bahati nzuri ccm ndiyo watakoanza kuuona moto. Haiwezekani kuwafanya Watanzania taifa zima ni majuha kwa kuw atu mafisadi wanalindwa na jeshi la polisi.

umeongea kwa uchungu sana!
 
hili ni donda ndugu limeshaoza, dawa ni kupitisha brush wire yenye spirit kali lioshwe vema.
Naweza kuorodhesha Mawaziri zaidi ya kumi wa awamu hii nisiowaamini na kamwe Muhongo hawezi kuingi kwenye orodha hiyo.
 
Mtihani kwa Magufuli. Hapa lazima aonyeshe uongozi. Japo namkubali sana Muhongo, kama habari hizi ni za kweli, lazima atimuliwe haraka au ajiondoe mwenyewe. Itasaidia sana kuweka trend kwenye uongozi awamu ya tano.
 
KWA NCHI ZILIZOENDELEA
KAMPUNI IKISHAJIINGIZA
KATIKA UPUUZI WA AINA
HII "HUFUTWA NA
KUFUKUZWA NCHI"
 
Watu tulisema kumrudisha muhongo nia dhambi kwa watanzania, watu wakamtetea weee, hata wakati sakata la escrow kuna waliomtetea eti anahujumiwa? Khaaa mtu uibe fedha za uma na bado wapambe wanasema unaonewa wivu? Mbaya sana akapewa ubunge na watanzania sisi sijui nani katuroga, leo hii huyu hapa uso kwa uso, sijui wanaompenda kama hata watathubutu kunywa nae chai.
Sasa sijui watasema tena ni Dr Mengi amemhujumu?
 
Back
Top Bottom