UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

Raisi wena na ccm yake walimshindwa lowassa nyie ndo mtamuweza?mtamtukana na kumdhalilisha sana lakini mwisho wa siku atawashinda tu..mlimshindwa akiwa CCM ( ndani kwenu) mtakuwa mna matatzizo ya akili kama mnadhani mtaweza kumshinda akiwa UKAWA(nje).
 
Hawa chipukizi wapuuzi kweli, yaani wanalinganisha matukio ya kipindi kile cha mfumo wa chama kimoja na zama hizi?
 
Jk alionyesha mtu mmoja jasiri sana ndo maana hata top 5 hakwepo na wala hakumuogopa na ss ngoja ukawa naye akose huko kama hatadandoka kwa presha mbona ccm hatuna presha ushindi jadi yetu ndo maana hatuongei sna cc vitendo tu nynyi nawaambia subirini octoba mtatafutana humu ukawa cjui kama mtapost tena habari za ukawa na mtasema mapema mnapinga matokea na mnaenda mahakani mlivyokuwa hmjielewi cc wana ccm tunamuandaa kumpokea magufuli kwa kishindo
 
yani kuna watu akili zao ni za kitumwa sijapata kuona. Kijana unaisifia CCM??? Anafaa kulipuliwa yeyote anaeisifia CCM....
 
Jk alionyesha mtu mmoja jasiri sana ndo maana hata top 5 hakwepo na wala hakumuogopa na ss ngoja ukawa naye akose huko kama hatadandoka kwa presha mbona ccm hatuna presha ushindi jadi yetu ndo maana hatuongei sna cc vitendo tu nynyi nawaambia subirini octoba mtatafutana humu ukawa cjui kama mtapost tena habari za ukawa na mtasema mapema mnapinga matokea na mnaenda mahakani mlivyokuwa hmjielewi cc wana ccm tunamuandaa kumpokea magufuli kwa kishindo

Hamna pressure kivipi mbona mnatokwa povu na matamko yaliyojaa vituko?
 
goli la mkono mwisho bafuni, jamaa mbinu zenu anazijua mnazotumia. Hvyo kuwa mpole tusubiri 25 October.

Jk alionyesha mtu mmoja jasiri sana ndo maana hata top 5 hakwepo na wala hakumuogopa na ss ngoja ukawa naye akose huko kama hatadandoka kwa presha mbona ccm hatuna presha ushindi jadi yetu ndo maana hatuongei sna cc vitendo tu nynyi nawaambia subirini octoba mtatafutana humu ukawa cjui kama mtapost tena habari za ukawa na mtasema mapema mnapinga matokea na mnaenda mahakani mlivyokuwa hmjielewi cc wana ccm tunamuandaa kumpokea magufuli kwa kishindo
 
Hawa vijana wajinga mtoto wangu wa darasa la pili ana akili kuliko hawa wanaojiiita vijana wa UVCCM.
 
goli la mkono mwisho bafuni, jamaa mbinu zenu anazijua mnazotumia. Hvyo kuwa mpole tusubiri 25 October.

Hatuna presha hata ukiangalia ktk mchakato mzma wa kumtafuta raisi wetu tulitulia wala hatujakurupuka cc nyinyi mliongojea makapi na kumfanya eti ndo mgombea na pia hata vijana baadhi tunaona wngi wao viongoz ukawa ni njaa tu na kutaka madaraka mpaka mkauza chama kwa bilioni 12 kwa lowasa sasa ngoja ccm tuwaonyeshe kuwa cc ni jeuri ukawa tunaisambaratisha yote hyo
 
Masikini watoto wa ccm wanasukumizwa kuandika mambo ambayo yako juu ya umri wao, dah! Wanapaswa kuelewa kwamba mtu hawi mkosefu milele. Kama alikosea na amekiri kwamba aliwajibika kuinusuru serikali nzima na sio kumaanisha kuwa anakubali kuwa mwizi, unataka nini zaidi? Huyo baba yenu amepona hadi leo kwa sababu Lowasa alimkinga. Ukikaa na watu wazima kijana, kama mkubwa kwako ameharibu hewa unatakiwa wewe mdogo uombe radhi kwa kuharibu hewa na unaondoka kwa adabu ili kumnusuru mkubwa kwako aliyeharibu hewa asiaibishwe. Wenzenu tulifundwa hivyo wakati wa udogo wetu. Sasa poleni sana siku hizi watoto hamna muda wa kufundwa na wakubwa wenu maana mko busy na waya masikioni, whatsapp, telegram, viber, BBM na kadhalika. Hata wazee wenu wako busy kukusanya fedha ya wizi na kupora viwanja vya wanyonge ingawa hawaviendelezi. Ni ajali mbaya kwenu.

Kule kuambiwa Lowasa ni fisadi zamani zile ni sahihi, lakini ametubu na kuokoka lakini ujeuri wa baba zenu hawakutaka awe salama, walichukuwa nafasi ya Mungu kutomsamehe, ni kwa sababu wanajua mlokole huyu wa kisiasa akaona aende kwao walioelewa uzito wa toba yake maana ndio waliomwona na aliwaudhi sana. Wamemrudisha kundini. Ubaya uko wapi hapo? Binadamu usilipize kisasi kwa mwenzio, mwachie Mungu maana wewe huna haki ya kulipiza kisasi ila Mungu. Naye Mungu sio binadamu, anasamehe wote wamrejeaye kwa toba. Ukichukuwa nafasi ya Mungu anakukong'oli tu, unakufa na chuki zako. Lowasa huenda kaongea na Mungu wake naye kasamehewa, wewe ni nani ukamzuia riziki aliyopewa na Mungu wake (kama amepewa)??? Chuki mbaya vijana huenda msielewe leo lakini mkikua mtaelewa tu.
 
Hivi vijana wenzetu nani kawaloga? mbona dhambi zimewajaa mpaka kwenye macho hata soni hamna, hivi wewe ni mtoto wa kike kweli? au jina tu? Shame on you, Ee Mungu wangu angalia nchi hii tupe viongozi wenye huruma watu wake. ccm sasa basi. Mama Tanzania bila ccm inwezekana. Wazee, mama zetu wapendwa, baba zetu na vijana wenzangu muda wa mabadiliko ni 25 Oct pigia UKAWA. Hii nchi ni mama zao au baba zao? grrrrrrrrrrrrr
 
Wanataka vyeo hao, si walimwona mwenzao Madonda? sasa hivi mkuu wa Wilaya, ukimtukana Lowassa unapata cheo katika Serikali ya CCM,
 
security guard

Hata aje malaika kuingia ccm ufisidi hauwezi kuisha kwa maana mfumo ni uleule. Mbwa hawezi kumbwekea bwana yake hata mara moja.
 
Last edited by a moderator:
Uvccm

Mungu ameshaikataa ccm, njooni ukawa kabla milango haijafungwa.
 
Back
Top Bottom