UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

Wanajitapa wana maarifa ya kushinda ila wapiga kura hawana. Nijuavyo ushindi ni kura sasa watueleze hayo maarifa anayosema kiongozi wa chama chao wako tayari ku face nguvu ya umma iwapo hawatakubaliana na hayo maarifa?

Haswaa!
 
Jaman if tumelogwa?list ilikuwa name watub11 VP engine?baba nae yumo VP hawamzungumziii?wawe fair play nape alisema makonda nae tens kapewa udsiii VP nalo
 
Nasikitika kama hayo ndio mawazo ya vijana wa ccm.... Taifa letu kwa sasa linahitaji mabadiliko na wakati ndio huu!!!! Ccm imekaa madarakani kwa mda mrefu na hakuna maendeleo yenye tija kulinganisha na muda na rasimali tulizotunukiwa! Ccm imejaa uchafu, rushwa, wizi, ufisadi na uozo wa kila aina ambao hauvumiliki tena!!!! Sasa ni wakati wa mabadiliko na ccm baaaaasi tena
 
Vijana wanapotumika na kumhusisha Mungu kwenye mipango ovu inasikitisha kama mtaingia magogoni yanini mumuwaze EL
 

Makondoo kutoka Zanzibar ndiyo yanatumiwa kutoa matamko huku wenzao wa bara wapo kimya kwani mziki wanaujua, kwani tulishuhudia yale mazee kutoka hukohuko Zanzibar yakitoa waraka za kipuuzi kama hizi ambazo hazijengi zaidi zinazidi kuidhalilisha CCM

Shaka Hamdu Shaka (MNEC)
Naibu Katibu Mkuu UVCCM (Tz) Zanzibar
6. Agost 2015

 
Hekaya hii eti imetoka kwa vijana.

Hekaya ndeefu haina la maana
 
TAARIFA YA UMOJA WA VIJANAWA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) KATIKA MAZUNGUMZO NA WAANDISHI WA HABARI,
AFISI KUU YA UVCCM, MAISARA

Ndugu waandshi wa habari
Assalama Alaykum
Ndugu waandishi wa habari,

VCCM tukiwa ni jeshi la msitari wa mbele la CCM tunataingaza rasmi vita ya mapambano ya hoja kwa hoja katika siasa na sasa tunasema Aluta kontinua. Mapambano yanaendelea dhidi ya mawakala wa ubeberu na ukabaila waliojipenyeza katika siasa za nchi yetu, Sisi UVCCM tunawaambia kamwe Ikulu ya Magogoni kule Dar es Salaam na ile ya Mnazi Mmoja hapa Zanzibar katu haitakuwa mahamia au machaka ya kujificha Mafisadi.

Asanteni kwa kunisikiliza.

Shaka Hamdu Shaka (MNEC)
Naibu Katibu Mkuu UVCCM (Tz) Zanzibar
6. Agost 2015


Ninachokiona ni kuwa CCM Tanganyika imeshakufaa kifo cha kawaida.Kila tamko naona inatolewa kutoka Unguja.
Maalim Seif uongeza juhudi-hawa jamaa waache kutupigia Kelele.Waambie ujumbe ulioukuta Buguruni.
 
Lowasa juuuu huyu ndo Rais wa JMT amin ivo kila kitu kishawekwa Sawa
 
Huyu Shaka ndiye yule aliyekuwa anamsifia sana Lowassa,ama kweli Mungu hamfichi mnafiki
 
Sasa nimeamini kabisa CCM dawa imeanza kuwaingia taratibu. KOSA kubwa la CCM ni kutosoma alama na nyakati za Watanzania wanataka nini sasa.
 
haha ha ha ni utoto tu subirini october nyie vijana acheni nchecheto..ni mdogo mdogo lowasa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Baazi ya masanii tz nimanafik nyambafu kabisa.tena yasisumbue hati miliki tena yakandamizwe tuu maana Hanna namna.nahaya ma unguwani uvccm nasema yashndwe katka Allah yashndwe katka yesu kristu ata ktk shetan yashndwe
 
Back
Top Bottom