UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

Zama hizi ni tofauti sana tuwe na uangalifu maneno yetu yaweza kutuhukumu siku za usoni
 
hahaha!!!

tatizo ni kujisahau na kujaribu kuimba nyimbo zilizopitwa na wakati.

alipokuwa ccm hawakuuona ufisadi wake?
je mbona hawajazungumzia rasilimali bahari, gesi, madini, mafuta, ulipaji fidia meli ya samaki na wafanyakazi wake, wamiliki biashara ya pembe za ndovu?

Je kwanini ZANZIBAR KUNA JANJAWEED KUTOKA UVCCM?

JE KWANINI ZANZIBAR ASKARI WANAVAA NINJA?

KWANINI? IKIWA KWELI CCM HAINA UCHU WA MADARAKA ULIOKITHIRI MIPAKA?

KWANINI HUKO ZANZIBAR WATU WANATISHIWA NA UVCCM KILA UCHAO?

MWAKA HUU... WATU WATAROPOKWA MENGI.

UVCCM ZANZIBAR NAWAHADHARISHA JAMBO MOJA "MSIPIGE TIKITAKA HALI MMEVAA KIKOI BILA KABATI NDANI" MTAADHIRISHWA. WANAOWATUMIA SI KWA FAIDA YENU WALA NCHI BALI WAO. KAZI NI KWENU.
 
Hawa vijana kizazi cha fujo. Nani aliwaambia Ikulu ya ccm......Fanya mfanyayo.....mmevurugwa. political strategy ya Mbowe kiboko chenu. Imagine Lipumba angemwaga manyanga akiwa mteuliwa au akaweka ngumu kupatikana kwa mteuliwa urais wa ukawa.....
 
Tamko la kishogga, wakitaja dili inabidi wawataje na woote waliohusika kupiga hilo deal kika JK
 
UVFISISIEM toka lini mnaweza kujenga hojaa? kwi kwi kwi ebu achani masihala nyie vlaza, nyiny kaz yenu n kulamba miguu ya mabosi wenu, kujenga hoja siyo size yenu
 
Khaa!! Naona mamvi anajibiwa kutoka Zbar tu. Au bara wanasubiri hadi aishiwe risasi?🙂
 
Hahaha hahaha! Eti watasonga mbele kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.Hapa ndipo waliponichefua hasa.Ivi wanayofanya dhidi ya watanzania wanafikiri Mungu anapendezwa?Fisadi mkuu anajulikana.Hizi ni dalili za mfa maji aisee!Nyie vijana wa ccm kama kweli mnajiamini ebu vaeni njano na kijani kakatizeni Kkoo muone jinsi vijana wenzenu waliochoshwa na manyanyaso ya ccm watavyowafanya.Teh!Teh!Mwaka huu ata mfanyaje lazima mkae

Nyinyi ukawa mnapumulia mipira tu hvyo mnapoint gani ya kukaa jukwaani na kumnadi lowasa na kumchafua magufuli mpaka ss cjaiona na kampeni yeni lazma mjiandae kuwajibu wanainchi wa tz kwann fisadi mliyemzungumzia wakati yupo ccm leo anagombea ukawa kwahyo mtakuwa hamna point ya kuomba kura wala kuichafua ccm zaid ya kumsafisha lowasa wakati huo ccm inakula kuku kwa mrija kiulaini mtajuta mwaka ushindi mkubwa zaid ya ule wa jk 2005 huooo unakuja
 
Nyinyi ukawa mnapumulia mipira tu hvyo mnapoint gani ya kukaa jukwaani na kumnadi lowasa na kumchafua magufuli mpaka ss cjaiona na kampeni yeni lazma mjiandae kuwajibu wanainchi wa tz kwann fisadi mliyemzungumzia wakati yupo ccm leo anagombea ukawa kwahyo mtakuwa hamna point ya kuomba kura wala kuichafua ccm zaid ya kumsafisha lowasa wakati huo ccm inakula kuku kwa mrija kiulaini mtajuta mwaka ushindi mkubwa zaid ya ule wa jk 2005 huooo unakuja

Kukujibu mtu kama wewe ni sawa na kujitukana mwenyewe.Naona ujielewi!!
 
Kukujibu mtu kama wewe ni sawa na kujitukana mwenyewe.Naona ujielewi!!

Utajua tu kama cjielewi au najielewa octoba ukawa kuchukua hii inchi ni maneno ya kujifariji ttzo mkiambiwa ukweli mnapaniki hamuoni kama jahazi lenu linazama ccm ni mkongwe wa siasa we unajua mmeshapigwa na mbinu moja ya ccm ya kuwafanya mmpotezane slaa yuko wapi lipumba naye na bado wengine wanafata tuulize tunaojua mchezo tukwambie
 
Yaaani mnaonyesha akilizenu zilipofikia

Waandishi woteemnawaita..mnawapa huo ----- kweliiikwelii ambao mngeweka hata fb wawasaidie watukipi chakutoa kwenye press..

Kweli lowassa kawakamata..
 
Chaguzi zenu tu za kuwateua wabunge majimboni zimewashinda na kuishia kurushiana matusi na ngumi,samaki papa mwenyewe kasarimu amri sembuse nyie vidagaa
 
wasameheni maana hawajitambui hawa,akili zao zimewekwa mifukoni,
 
Jayb8989 yapo mengi ya kuzungumzia wakati watz wako gizani hakuna anaweza kufanya kazi coz umeme hamna Rais anacheza mziki na kuwashika wasanii viuno mliman city hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa na wizara hucka au tanenco hadi sasa bado hela zimetafunwa na wajanja wa ESCRO kwani Lowassa na yy alihucka?
 
Wakacheze taarabu uko na kujifanya nao eti wasanii. Waliniuzi sana Jana eti kufuli anajipendekeza kwa wasanii ili apate nae kuongelewa. Hili jina lowasa litawasumbua sana.

Huna jipya, JP nyota inang'aa mapema EL inafifia kama mshumaa.
 
Hawa watoto wa uvccm hawajipendi na wasihi wajihadhari mafuriko ya bwana mamvi yenyewe hayaangalii hiki nini au huyu nani yenyewe yanasomba kila kitu.
 
Tuambieni na biashara ya tembo mnayofanya na wachina nyie ccm majambazi
 
Back
Top Bottom