UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

VIJANA WENYEWE UNAOWAASA WAMEDATA AKILI KWA DHIKI NA SHIDA
ajabu sana/
 
Mkiendelea kumchokoza Lowasa atawaumbua zaidi na mojoka yetu!.
 
...hivi UVCCM wapo ? nakumbuka walimtisha mzee sita eti hawatamuunga mkono kwenye harakati zake za urais, li sita likawambia uvccm haipo hai maana vijana wanao jivunia wote wapo upinzani,bhahhaahahhaaaa....
 
Mbona hawa wanatapatapa......eti UVCCM ndiyo nini?...UKAWA wanaenda kwenye kampeni za kistaarabu vita mnayo nyie MaCCM....Kina JOB ...naibu spika ndiyo wapo vitani....UKAWA TARATIBU tunaingia kwenye kampeni "UZOEFU BILA UWEZO"ni BURE!!
 
Mbona mnao mponga Lowassa ni wazanzibar tu kwanza wenyeti wa mikoa sasa UVCCM KULIKONI
 
Ninyi viccm tuanzie hapa je ni nani akina nani waliomwondoa Lowasa kwenye uwaziri mkuu?

Kwa hvo mlifanya makosa sasa mnalitupia zigo kwa CDM?
 
Mgekuwa na akili mgehama ccm,Zanzibar imebaki magofu hamna maendeleo ndo maana mmkimbilia bara babu yetu karume angefufuka akaiona znz ilivyo angepata presha angekufa tena
 
Uvccm na mama yenu Chama cha mapinduzi ninyi ni "PARAPANDA ITALIAA PARAPANDA..OOH PARAPANDA ITALIA PARAPANDAAA..
 
uvccm awana akili!wanajipa matumaini!LOWASA DAIMA!MI MWENYEWE NIPO CCM ILA KURA YANGU KWA LOWASA!LOWASA JEMBE MAKAMANDA!
 
Ningekuwa kwenye hiyo jumuia ya vijana ningewaambia tufunge midomo yetu maana hakuna wa kutusikiliza.
 
vijana gani nyie mlio nunuliwa na jk mnaenda kukatika Jana mlimani city hamna lolote hapa lowasa lowasa tuuuuu
 
ivi kati ya Lowasa na Magufuli nani anafa kuwa raisi?wanatwanga maji kwenye kinu kwakweli ccm!sasaivi kura kwa lowasa uraisi labda mbunge wa ccm ndio atapata kura yangu akiwa na sera nzuri akiwa na sera mbaya na chinjia baharini nawapa ukawa!hi nchi siyo yakikundi flani!ccm ni kikundi flani na si ccm ninayoijua mimi!ccm ina ufamilia pia!FUNGUENI MACHO UVCCM MSIWE MISIKULE KILA MARA VIJANA WANGU WA UVCCM!TUIPUMZISHE CCM TUONE MIAKA 5 WATAFANYA NINI!MTARUDI TENA BADA YA MIAKA 5!NAAPA KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU CCM IMEKUFA!
 
Wap Nape ...??Nasikia kamwaga pesa apate ubunge huko mtama....kwel ccm ni wez!!!!
 
Back
Top Bottom