UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

UVCCM si ndio hao wasanii walio kuwa wana muaga Kikwete jana. Vijana wanaweka rehani future yao.
 
una shabikiaaaa ccm ,wenzio washa weka watoto wao ridhi,mwiny,makamb,mgimw na wengine wengi we na ukoo wako mta mangamanga sana.
 
Wanachama wa kawaida madiwank na wabunge wanawakimbia kwa kasi ya ajabu, wabunge zaidi ya hamsini waliokuwemo bungeni wameanguka kura a maoni, bado wagombea ubunge na madiwani wananyukana kila siku af mnasema kuwa mko salama! HAMJITAMBUI nyie
 
Wanachama wa kawaida madiwani na wabunge wanawakimbia kwa kasi ya ajabu, wabunge zaidi ya hamsini waliokuwemo bungeni wameanguka kura a maoni, bado wagombea ubunge na madiwani wananyukana kila siku af mnasema kuwa mko salama! HAMJITAMBUI nyie. Ushindi bila bila mtaji wa watu ni kazi bure
 
Ni kweli kabisa, sijui watatuaminisha vipi kuwa miaka yote kumbe wanatuzushia tu mambo ya ungo, nani atawaamini tena?
 
Mgekuwa na akili mgehama ccm,Zanzibar imebaki magofu hamna maendeleo ndo maana mmkimbilia bara babu yetu karume angefufuka akaiona znz ilivyo angepata presha angekufa tena

Hahaha wenoma
 
shida umerith kwenu,,sio tatizo ccm,,mbona kuna wengine wanaishi vizuri tena ndani ya ccm hii....?
 
UVCCM wawe makini sana, wasidhani the hague ni kwa ajili ya marais tu?
 
si wajitokeze kwann wanaongelea chin chin
 
Mwaka huu ccm tutashinda kishindo ambacho ktj historia ya tz hajawai kutokea na upizani mjue kabisa mwisho wenu wa kelele ni octoba na tukimtangaza magufuli upizani ndo kwisha kabisa vyama vyote tutavitafuta kwa tochi kama tunavyovitafuta TLP na UDP cjui kma vipo ss ni zamu ya cdm na cuf baada ya uchaguz
 
Ni mwanzo mwema kwa UVCCM...Kauli thabiti na ya kiana Mapinduzi.

CCM sasa inazungumza issues na siyo watu....

Well done UVCCM Zanzibar kwa KAULI NJEMA ILIYOJAA WEREDI.

Siasa siyo UADUI na huu ni mwanzo mwema kuelekea ktk KAMPENI
 
Sasa kama Lowassa siyo ajenda na kwamba mjadala umefungwa, mambo kuita waandishi ya habari na kumzungumzia Lowassa ni ya nini?
 
Wanajitapa wana maarifa ya kushinda ila wapiga kura hawana. Nijuavyo ushindi ni kura sasa watueleze hayo maarifa anayosema kiongozi wa chama chao wako tayari ku face nguvu ya umma iwapo hawatakubaliana na hayo maarifa?
 
Back
Top Bottom