Jaluo
ID zipi hizo nasisi tuzijue?
Nani kasema eti ni lazima tuendelee kuwaenzi wezi?? Halafu siku zote??? Endelea wewe.Hoja yangu ni kwamba mawazo au maoni ya Mwl Nyerere siyo msaafu, lakinilazima tuendelee kumuenzi na kumuheshimu siku zote, lakini kufanyia tathmini za kina mambo aliyofanya ili utusaidie kwenda mbele. Hayo mengine nadhani siyo thread yake hii
- Mkuu ninaamini sana maana majuzi kuna mjumbe mmoja wa NEC ya CCM, alikuwa ananiambia bila uoga wala aibu kwamba Lowassa is the next President, well over our dead bodies!
- Hivi hapa JF kuna mliowahi kusikia jinsi Lowassa na kundi lake walivyojaribu kila mbinu kuikwamisha ripoti ya Mwekyembe isifike bungeni? Zile Millioni 4 walizokuwa wakipewa wabunge kuikataa ile ripoti zilikua zinatolewa na nani? Kwenye ripoti ya Mwekyembe, alisema wazi jinsi walivyojaribiwa kupewa magari na majumba ili wapindishe ukweli ni nani aliyetaka kuwapa magarii na nyumba?
- Hivi mnajua kwamba at one point Lowassa na kundi lake walitengeneza ripoti ya siri ambayo waliitaka isomwe badala ya ile original ya Mwakyembe, ikabidi Mwakyembe ajfiche usiku wa kuamkia kwenda bungeni maana walikuwa wakijaribu kila njia kumshambulia ili wachukue ile original ripoti, sasa leo hapa tuna mtu anayejisema wazi kwamba ni mtu wake, na kuna some of us tunataka kudanganyika na maneno machache matamu aliyoyaweka kuficha makucha yake ya kweli?
Well, this is JF sio wote hapa wasahaulifu!, na akirudi tena basi tutaenda kufukua archives zote za Richimonduli zipo humu! Halafu atuambie jinsi Lowassa alivyo malaika wa Mungu!
Phweeeeew!
FMes!
Hapo kwenye red hutaki au unabisha? Lowassa is the NEXT PRESIDENT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA ka hamtaki badilisheni uraia. Lowassa is the hardworker more than JK ndo maana mkasukia zengwe sababu mlijua atamfunika mzee mkubwa, hata sasa ushahidi upo si unaona sasa serikali inavyowayawaya Lowassa angekuwa bado waziri mkuu haya usngeyasikia, kusingekuwa na migomo vurugu wala nini sababu he knows what he is doing. Kuhusu suala la Richmond ni kosa la mfumo, vigogo wangapi wanacheza deal za kuwaibia watz ila wanapeta, afu hiyo issue hata mkulu anahusika mbona hamsemi mkaamua kumwangushia Lowassa jumba bovu kwa sababu mnazozijua nyie na unafiki wenu! EEEH? mlizani mnatoa kafara eeeh fikirini tena. Mbona ubilionea wa riz1 hamuusemi. hiyo Ndo fact Lowassa is the next Prezidaa la sivyo is the end of CC M
IKULU NI MAHALA PATAKATIFU SIO KILA MTU ANAWEZA KUKAA PALE KUWATUMIKIA WATANZANIA.
Bashe jua kwamba BABA WA TAIFA KATIKA KILA ALILOLISIMAMIA KATIKA UHAI WAKE WAPO WATANZANIA WATAYAHESHIMU MAWAZO YAKE DAIMA MILELE, HASA KATIKA KUWAPATA VIONGOZI WA TANZANIA.................
Hapo kuwa WATZ wanaheshimu mawazo ya Baba Taifa ni kweli na tupo wengi tunaoheshimu na kufata mawazo na ushauri wake narejea mawazo yake aliyoyatoa katika kikao cha NEC 1995 Dodoma. ''Kiongozi anaweza toka popote pale, lakini kiongozi bora na wa kutumainiwa na Taifa atatoka ndani ya CCM ....... na Watanzania wakikosa uongozi bora ndani ya CCM watautafuta nje ya CCM hapo nilipobold hapo ndo WATZ tumemsikia Baba wa Taifa, since CCM na viongozi wake wamezingua tunatafuta uongozi bora nje, na tutawapata. You were very right indeed
Jaluo
ID zipi hizo nasisi tuzijue?
Nafikiri busara zake alizitumia vibaya kujinufaisha, lakini jamaa anaonekana ana akili dunia nzuri.
CCM pia tuna tatizo la kutokubali ukweli na uwezo wa mtu hata siku moja huwezi kukubali uwezo wa mtu na badala yake watu ambao wana historia ya ukandamizaji na kupokonya nafasi za watoto wenzao wa tanzania na bado hata wasiwapitie na kuwasaidia baada ya kupora vyeti vyao ndio leo wanahubiri kuwa wanataka kuleta ukombozi wakweli wa mtanzania....angalia mbunge wa nzega chadema walimgundua kuwa ni mtu aliepora jina kijana mmoja aliefauru darasa la saba, na jina kla kweli la mh mbunge ni Said Nassoro, Huyu kigwangwal original ni fundi baskeli.......mwenezi wa cccm pia alipora jina la Mwigulu ambalo mwenye jina sasa ni muuza chumvi na yeye anafaidi maisha.........Wewe unachuki binafsi.....ingekuwa vema kama ungekuja na logical arguments hapa lakini ulichokujanacho nishutuma ambazo zimeelea na zinakosa mashiko. Bashe kaongea mambo ya msingi sana, na kama wewe ni CCM hiyo ndiyo tiba pekee kwa chama chenu, na sio DRAMA za kujivua gamba. Unachofanya wewe ndio kile alicho address bashe katika hotuba yake acheni kulumbana na kufikiria uchaguzi tu, wakati mna wasahau wanaowachagua na kugeuza majungu mtaji wa kisiasa......jenga hoja kama mwenzio alivyojenga na sio kuja na SIASA ZA MAJI TAKA!
Eti ni mchapa kazi.mhhhhhh Labda tumuulize Bashe Tofauti yake yeye na Lowasa kisifa za uongozi ni zipi?
Nikweli mkuu huyu jamaa ni kichwa si utani Kile kipindi walipo mchakachua huko NZEGA, Zitto alimtatafuta ili ahamie CDM na agombee NZEGA kupitia CDM nahisi kuna ahadi alipewa NA CCM hadi akakataasikuwahi kufahamu kuwa Bashe ana akili kiasi hiki....huyu jamaa angetufaa sana Cdm....wapi Zito? Tafadhali huyu jamaa tunamwitaji sana.
Wewe Bashe ni msomali rudi kwenu somalia unaingia kwenye siasa kwa nguvu kuficha uraia kama A. Kinana alivyofanya kupitia jeshi. Jamani Tanzania tunaenda kubaya sijui wajukuu wetu ikakuwaje miaka hiyo
Lampard, Hongera sana kwa kujua historia ya nchi yetu. Mimi umenijuza mengi. Bila shaka na wewe umo ndani ya UVCCM...!
Hotuba ya Ndg yangu Bashe ni nzuri sana, wengine wamehoji kama ana moral authority ya kuongea alichokiongea, wengine wamehoji kama anajenga ama anabomoa, kama analitetea kundi lake ama 'CCM'. Mimi sipendi nimhukumu, Ndg yangu huyu, kwetu kumoja na mchezo wetu mmoja! Kuna mmoja amenifurahisha sana kwa kusema 'judge the message not a messenger!' Tufanye hivyo na sisi wanaCCM tutakisaidia chama chetu na nchi yetu.
Sitaki kuhoji kama Bashe amemlenga Nape ama la, lakini je Nape naye ana kundi lake ndani ya chama na Kigwangalla naye ana kundi lake ndani ya chama ama la? Kitu kikubwa kuliko sisi sote, kuliko makundi yote ni chama na cha muhimu kwa sasa ni kusafisha nyumba yetu na kuiimarisha zaidi ili tuendelee 'kutawala' (kutawala ni neno lililotumika hapa kisomi kama tafsiri ya 'kushika madaraka', 'to rule') - japokuwa misingi ya uongozi kama ilivyo kwenye katiba ya chama chetu iko wazi na inatutaka viongozi wa chama tuwe 'viongozi' kwa maana anayoitaka Bashe katika hotuba yake!
Kwa kiasi kikubwa, Bashe ameweka mtazamo wa kujenga image mpya ya chama kupitia kutatua matatizo ya wananchi kijamii na kiuchumi. Na huu ni mtazamo ulio kwenye vichwa vya wengi wetu ndani ya CCM, japokuwa kuna wengi pia wana taswira tofauti ya kukirudishia chama umaarufu wake ulioanza kushuka. Nao wana haki ya kufanya hayo.
Wakatabahu,
HK.
Du! This is very interesting!!!!!!
Lampard = Hkingwangalla in real life (Au mnataka nitoe ushahidi?). Lampard anamcriticize Bashe tena anaingia personal ile ya ukweli ukweli, the same Lampard in the pen name anajitokeza kwa jina halisi la Hkingwangalla na kumsifu Bashe. Eti hawa ndiyo vijana wa CCM wa kutuletea maisha bora kwa kila mtanzania. Thubutuuuu!
- Ndg william sikutaka kukujibu ila nikusaidie kwakuwa umekuwa nje ya nchi inawezekana huna taarifa nyingi za hapa Nyumbani,sikumjadili mangula usitafute chaka la kuficha maovu ya Baba yako hili la malecela kuhusika na EPA limeongelewa kwa mud mrefu na Vyombo vya habari hapa Nyumbani,ukiongelea UFISADI malecela nae ni FISADI tena ni miongoni ambao mwalimu Nyerere aliwataja katika KITABU chake alichoandika kuhusu HATMA YA UONGOZI WA NCHI YETU,thats why nilisema tukiongelea swala la UADILIFU wewe BINAFSI NI ZAO LA VIONGOZI WASIO WAADILIFU dont take it personal ,kinachoumiza taifa leo kuna ambao wamekuwa sehemu ya mfumo mbovu ,sehemu ya matokea ya mfumo huo lakini mbele ya PUBLIC wanajionyesha ni watu wema sana kama ulivo wewe,hatuwezi kujadili UFISADI,ama UADILIFU tukakuacha wewe Nje thats why niliamua kufunga mjadala wa LOWASA na kuomba let us not agree on this.
-Niweke record sawa sawa katika hili sikusema niko hapa kushindana bali nilisema tufunge mjadala huu wa lowasa kwani huu si wakati sahihi wakujadili hoja ya lowasa na nimekuwa clear kwamba tusubiri muda ufike kama atagombea na kuteuliwa binafsi kama mpiga kura nitampa kura yangu unless nipate hoja,sababu za msingi sio hizi hoja zako eti nilienda texas kupiga picha,mara ooh tulipambana kubenea akadhurika tutajuaje kama wewe na wale walioaminisha umma kwamba ni wapambanaji walikuwa sehemu ya mkakati ili mfanikishe mnayotaka basi mumdhuru kubenea ili kujenga imani na kufanikisha mpango wenu.Swala la kubenea kuumizwa kinyama halikuwa jambo jema,lakini ni makosa vilevile kutumia maumivu ya kubenea kuhalalisha ile sinema ya kuigiza.
Usipotoshe watu kwamba nilikuwa nafoka ,usiaminishe watu kwamba wewe ndo unaweza kufikiri kuliko wote waliokuwa katika kikao hicho,usiaminishe umma kwamba waliohudhuria hawana taarifa za kutosha juu ya Taifa lao,kilichokuleta speed hapa si msingi wa mjadala uliokuwepo bali ni swala la kusadikika lililojengwa na LAMPARD na hoja ya Makundi,mimi kundi langu mmelitaja na kulitamka sasa WEWE na LAMPARD kundi lenu ni lipi?mmenihukumu mm nipo kwa maslahi ya kundi flani,je nyinyi mnasimamia maslahi ya kundi lipi?na kundi hilo lipo kwa maslahi ya mtu yupi?