UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

Bashe,

Ondoka CCM kama hupendi vyama vya upinzani ni heri usiwe na chama kama mimi. Utakuwa more objective na utakosoa vizuri sana. Ukisema sasa hivi kila mtu anakufikiria labda tu unawatetea ma-triplets. Kuondoa hayo toka huko tukosoe tukiwa huru. Usije uko-Kolimbwa bure tukapoteza mpiganaji.


Kamwe duniani na asilani ktk uhai wake huyu Bashe hawezi kuwa miongoni mwa wapiganaji...fuatilia kila linalotoka mdomoni mwake halafu fanya ku amplify then utakuta kijana kaoza kuliko matango ya E.Coli yanayotupwa hivi sasa huko ulaya..matango yale ukiyaangalia kwa macho yavutia kwelikweli kumbe ni balaa na yamejaa E.Coli na Bashe vivyohivyo, Lowassa, RA, etc all are like father..like son,ukiwaaangalia kwa sura utafikiri watu kumbe ndio wanaotumaliza bila huruma
 
Hana lolote anataka kupunguza kasi ya kuwafukuza mafisadi ndani ya CCM kwani yeye ni mwajiriwa wao. Kama kweli ana dhati ya haya anayosema kwani hayasemi katika vikao vya CCM kama vile NEC ambayvo yeye ni mjumbe?
 
Back
Top Bottom